Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nimeshangaa timu bora ya Africa inamsajili Singano hlafu wanawauza wachezaji wao tegemezi wawili kwenda Ubelgiji ambao ni Meshak Elia na Zola Singano ana miaka 27 ataipa nini TP Mazembe? Angekuwa...
5 Reactions
64 Replies
9K Views
African Sports Today Yesterday at 8:34 AM · According to the CAF club ranking, the following (16 clubs ) stand a chance to be given a bye from CAFCL preliminaries (Round of 64) to CAFCL 1st Round...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Watanzania ni watu wa ajabu sana na hasa wale wanaojiita " makamanda " yaani timu yetu ya taifa inafungwa wao wanashangilia. Mbaya zaidi wanashangilia wapinzani wetu katika mechi muhimu ambayo...
2 Reactions
49 Replies
4K Views
Kwanza poleni kwa msiba uliowafika. kwa dhati kabisa. Siku kadhaa sasa nafuatilia program mbalimbali za Azam jambo moja la bayana program zote zipo palepale ikiwa ni pamoja na nyingine za live...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Source: Azam Tv Dk 90 Jumatatu Mtangazaji: Ahmed Ally Wachambuzi: Abdul Mkeyenge Charles Abel Ally Kamwe Mwenye bahati habahatishi! Kila la heri Ramadhani Singano Kama kawaida, Singano...
7 Reactions
46 Replies
5K Views
Mzee Kilomoni sio mdhamini wa simba na wala hana hati ya Simba. Kilomoni Kilomoni, unaitakia nn Simba Kilomoni?
2 Reactions
56 Replies
5K Views
Hana vigezo vya kutwaa tuzo hiyo na wala hakuwahi kuwa navyo , ifike mahali dunia ya michezo isione aibu kuwapa tuzo wachezaji wanaostahili hata kama ni walewale kwa miaka 20 . Usishindane na...
4 Reactions
86 Replies
9K Views
Wewe bwana mdogo tumekuvumila siku nyingi sasa inatosha Kama Namba ya Taifa stars kapombe yupo tayari kustaafu akuachie ila acha kumpiga kipapai mwenzako anafamilia inamtegemea Nyie mmetoka...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Wakuu, kama tulivyoona timu mbili tulizo pangwa nazo kwenye makundi zote zimefika fainali Algeria wameifunga nigeria 2-1,Senagal wameicharaza Tunisia 1-0 (hatua ya nusu fainali) Kwa...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Naona zamu hii wazalendo kutoka pande na fani tofauti tofauti wanapita katika misukosuko ya hapa na pale. Baada ya jana mzee Makamba na Kinana kumburuza mwanaharakati huru Cyprian Musiba mbele ya...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Hii ni kwa mujibu wa mtendaji mkuu wa Simba kwamba Simba haikwenda kuweka kambi Marekani kwa kuhofia joto na wameenda South Afrika kwenye baridi. Amesisitiza kuwa tatizo siyo ukata bali tabia...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Mashabiki wengi tanzania hawana ufahamu juu ya maswala ya jezi za mpira na makampuni yakuteng’eneza jezi hizo. Kupitia uzi huu tutaeleweshana kuhusu maswala ya jezi na makampuni. Timu inatakiwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu hiki jina Taifa stars nani aliipa timu yetu yaTaifa? Linabeba ama kutangaza kitu gani kwa Nchi yetu? Ninadhani kunapokuwa na mafanikio kwa timu ya Taifa ni fursa pia ya kutangaza alama...
12 Reactions
126 Replies
11K Views
[emoji460][emoji460] SIMBA SPORTS CLUB [emoji460][emoji460] Mr Zakayo Junior Simba ya msimu huu ni nzuri na imekamilika kila IDARA na ina watu makini na watulivu sana kiuchezaji na ktk kufanya...
10 Reactions
34 Replies
6K Views
RECENT MEETINGS June 2019 Algeria 1-0 Senegal (Cairo)* Jan 2017 Algeria 2-2 Senegal (Franceville, Gabon)* Oct 2015 Algeria 1-0 Senegal (Algiers) Jan 2015 Algeria 2-0 Senegal (Malabo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Imekuwa bahati mbaya kwa Gadiel, Ajib na wachezaji wengine watano wa Simba ambao wamekwea pipa leo kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao itabidi weekend hii warejee tayari kwa maandalizi ya mechi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
...watu wameshafanya yao. Mzee Kilomoni sio tu kuwa si mwenyekiti wa baraza la wadhamini wa Simba bali kisheria hayumo hata kwenye baraza lenyewe. Asipotoa hati ajiandae kwenda jela uzeeni. Bado...
4 Reactions
45 Replies
4K Views
Ukiangalia timu ya taifa ambayo haijawahi kuleta matunda yoyote kwa taifa hili inaundwa na Mkoa wa dar es salaam kwa zaidi ya 80% Pendekezo langu timu ya taifa uindwe kwa uwakilishi wa kimikoa au...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimekaa natafakuli hv kulikuwa na sababu gani ya msingi Yanga wasipeleke timu kwenye mashindano ya Kagame? Je simba walishindwa nn nawao kupeleka timu yao kule? Mbona TP mazembe na KCCA pamoja...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba club ya Simba SC inajiandaa kutumia kiasi cha zaidi ya billions TANO kwa ajili ya kutikisa katika usajili wa Africa msimu ujao Je ni wachezaji gani tuwape mkono wa...
5 Reactions
408 Replies
35K Views
Back
Top Bottom