Hii sasa ni dhahiri kwamba tatizo si Maombolezo tena ( Maana yameisha kwisha ) , bila shaka tatizo laweza kuwa kuishiwa haki ya kuonyesha kabumbu la Afcon .
.........Kama siyo DSTV potezea kabisa .
Tumeshuhudia Lionel Messi kwa muda mrefu akisota na timu yake ya Taifa kuipa mafanikio tangu kombe la Dunia 2006 hadi mwaka jana 2018 tofauti na mafanikio makubwa aliyoiletea klabu yake ya...
Aliyekuwa beki wa Simba SC Zana
Coulibaly amewasili katika uwanja
wa ndege wa N'Dijili uliyopo Congo
Kinshasa kwa ajili ya kukamilisha
usajili wake na club ya AS Vita ya
Congo, Zana aliachana na...
Bondia gwiji Man Pac amempiga tozi nyangema Keith Thurman katika pambano liloenda mpaka round ya 12.
Round ya kwanza Thurman alidondoshwa chini kwa ngumi za kushtukiza za Man PAC.
Kiufupi round...
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) imemfungia maisha mwamuzi wa zamani wa kimataifa ambaye pia ni Katibu wa Chama Cha Waamuzi Tanzania (FRAT) Oden Charles Mbaga kwa kujihusisha...
Kesho ni siku nzuri kwa wapenzi wa ndondi, dunia itashuhudia mapambano ya kuvutia kati na 'Legend' aliyegoma kustaafu Senator Man Pacquiao kutoka ufilipino dhidi ya bingwa anayeshikilia mkanda wa...
Wadau nadhani ni wakati muafaka wa TFF na Bodi ya Ligi kubadilika kiutendaji.
TFF na Bodi ya Ligi wamekuwa na kawaida ya kupanga ratiba kabla ya CAF kutoa ratiba yake hali ambayo inapelekea TFF...
Kutokana na Simba itabeba ubingwa wa caf champions league msimu ujao sasa tumerahisishiwa
Shirikisho la soka Afrika limebadili sheria ya mechi za fainali
sasa mbungi kuputwa uwanja usio na...
Leo Argentina amefuta uteja kwa Chile kwenye Copa America na kujinyakulia ushindi wa tatu japo Captain wao akitolewa nje kwa straight redcard dk 38 tu ya mchezo huo.
Kwa matokeo hayo ni wazi...
Mzuqa wanajamvi
Usiku wa Leo utakuwa tulivu, amani Na usingizi mnono usiokuwa Na bugdha. Aidha kesho pia tutashinda kwa furaha Na amani. Hawa watu kwa mdomo tu dah afadhali wametulizwa kama wa...
Michuano ya kombe la mataifa ya Afrika inatazamiwa kuanza kutimua vumbi ijumaa tarehe 21/06/2019 kwa mechi kati ya wenyeji Egypt dhidi ya Zimbabwe
Michuano hiyo itahusisha mataifa 24 ambayo...
Wadau nimekuwa nafuatilia sana nyuzi mbalimbali humu juu ya Klabu ya Simba.Pia nimemsikia Mzee Kilomoni akisema anayo Hati Klabu ya Simba na haitoi.Najiuliza kwanini Mzee Kilomoni anakuwa na Hati...
Wakuu huyu jamaa mwanzo mwisho amekuwa jukwaa la VIP,tena kiti special ,hata ile kombe ndo alileta mezani,kwanini huyu jamaa kachaguliwa kuliko wachezaji wote waliopita au kuliko wote waliostaafu?
Kwa miaka 39 hatukuwahi kuingia kwenye mashindano ya Afcon...now tumepata nafasi...naona watanzania wanaiombea vibaya timu yetu...kweli sisi watanzania Ni pasua kichwa...Mungu atusamehe...
Kufutia "comments" alizozitoa mshambuliaji wa FC Barcelona na Timu ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi,kwenye mchezo uliowakutanisha Argentina na Brasil
Kwenye mashindano ya COPA AMERICA chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.