Hakika Viongozi wa Soka Nchini TFF wanapaswa nao wawe na nyuso za aibu kwa Watanzania.Toka Uongozi huu wa TFF umeingia Madarakani tumeshuhudia migogoro badala ya maendeleo ya mpira wetu.Malalamiko...
Baada ya kusemekana Kelvin Yondani, Dante na Juma Abdul kugomea mazoezi kisa kudai malimbikizo ya mishahara kuna taarifa za chini pia zinadai kocha mkuu Mwinyi Zahera naye ameweka mgomo wa kurudi...
Habari wana JF.
Leo kuna mechi kati ya Tanzania na Kenya lakini ni mechi ambyo haina mvuto kabisa.
Siasa imesababisha hii timu ya mpira ya taifa kupoteza nuru NA LEO SIJUI KAMA UWANJA WA TAIFA...
Jana nikiwa nasikiliza kipindi cha michezo cha Clouds FM saa tatu usiku nilifahamu kuwa baadhi ya waandishi wa habari wameamua kuunda kamati ya (eti) kuhamasisha ushindi kwa timu ya miguu ya...
Pambano limepigwa alfajiri ya leo katika ukumbi maarufu wa masumbwi MGM GRAND Nevada, LAS VEGAS.
Mpambano ulianza kwa mabondia wote kuviziana na kuchukukua tahadhari zote,lakini mistake ndogo...
Binafsi namfahamu kidogo tu kama Katibu mkuu wa BMT .
Sijui ametokea wapi na wala sifahamu tangu lini ameshika wadhifa huo .
Katika siku chache nilizomsikia , kiukweli amenivutia , hasa baada...
Kwako MO Dewji,
Kwanza pole kwa jinsi unavyohangaika na wazee wenye "timu yao".
Kwa jinsi inavyoonekana watu wamedhamiria kukuondoa kabisa Simba, maana haiwezekani wale wale waliokupigia makofi...
Alipokuwa Simba mnakumbuka gundu lake,akaenda nalo yanga hadi sasa matatizo tu ,simba msimu ulikuwa poa,sasa hivi karudi tu gundu la Kilomoni inaanza !
Huyu jamaa vipi?
Waziri Mwakyembe amesema wamekutana na viongozi wa TFF na kuweka msimamo kwa wachezaji watakaosajiliwa kuchezea klabu za Soka nchini.
"Mwanzo tulipata wakati mgumu kuridhia utaratibu wa wachezaji...
Kama nilivyoanza kwa kujiuliza swali je Simba na Yanga zipo kama mtaji wa kisiasa?
Muda mwingi tumekuwa tukilalamika na kulaumu kutokupanda kisoka huku ukweli ni kwamba vijana wengi mtaani...
Nimesikitishwa na mijadala mitandaoni ya kumshutumu Waziri Mwakyembe kwamba ameanzisha utaratibu mpya wa mwekezaji kuwa na 49% na wanachama 51% ya hisa. Ndugu zangu, si kweli. Utaratibu huu upo...
Baada ya Serikali kudai wanahisa wanatakiwa wawe zaidi ya 3 ktk hio 49%, Kitacho tokea ni kwa kuzigawanya hizo familia yake na kampuni yake kisha ye kujitoa na kukaa kando akisikilizia.
Ikifika...
NYOTA wa Nkana FC ya Zambia, Walter Bwalya amejiunga na timu ya El Gouna FC ya nchini Misri.
Bwalya alikuwa anatajwa kuwindwa na Simba ili kuziba pengo la Emmanuel Okwi ambaye hajaongezewa...
Wakuu natumai wote mu wazima wa afya na weekend iko poa kwenu.
Nia ya kuandika huu uzi kuomba kujuzwa iwapo mechi kati ya Tanzania na Kenya itarushwa kupitia chaneli gani maana ningependa...
Wakuu natumai wote mu wazima wa afya na weekend iko poa kwenu.
Nia ya kuandika huu uzi kuomba kujuzwa iwapo mechi kati ya Tanzania na Kenya itarushwa kupitia chaneli gani maana ningependa...
Mwakyembe tumia akili mzee. Unatupa lawama bure vijana tukiporomosha matusi
Tanzania inao vijana wangapi nchi za nje wakijitafutia mlo kupitia soka? Je wote wapo Taiga Stars? Kama nchi zingine...
Wengi tulimuonya mo kuwa aache kufanya njia za kihuni kwa kutaka kuimiliki Simba kilazima kwa kuandika check kubwa tofauti na uhalisia kwenda kwenye club ili baadae aje aichukue Simba kwa njia za...
Simba mchakato wao mzuri ila wamekwama walipokuwa wanaupeleka haraka kuna hatua wameziruka
Na inaonesha Simba walipokuwa wanabadili mfumo wao na kuwa wa hisa, walikuwa wamemlenga moja kwa moja Mo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.