Kati ya habari zinazo trend Leo Ni kwamba wanajagwani waachana rasmi na Golikipa wao Klause Kindoki ili kuupisha usajili wa mchezaji wa kimataifa (mshambuliaji). Je Okwi kuwa mwana jangwani!?
Juzi mechi kati ya Madagascar vs Mozambique (kwa wachezaji wa ndan) iliahirishwa baada ya timu ya Mozambique kufika Ontananarivo bila jezi.
Timu ya Mozambique ilisahau jezi kwao kwahiyo mechi...
Wakuu amani amani! Kwa wale wenye kumbukumbu naonmba kujua mchakato wote wa kuajiriwa kocha Amunike na kwamba alishindanishwa na makocha gani hadi akashinda nafasi hiyo.
Nawasilisha wakuu maana dah!
Hi Guys,
Nimeona Clouds Media Group katika vipindi vyao vya michezo wakiendesha kampeni ya kiushabiki wa timu zetu hizi mbili zenye mashabiki wengi yani Simba na Yanga, kampeni yenyewe ni hii...
Kama mada isemavyo, bila kupepesa macho naomba tff wamrudishe maximo,
Naamini kwa uzoefu wake katika soccer la Tanzania na mpira anaoufundisha wa 50% kushambulia na 50% kuzuia naamini tutafika...
Mchezaji wa Timu ya taifa ya Senegal na klabu ya Club Brugge ya Ubelgiji, Krepin Diatta mwenye umri wa miaka 20 yupo Jijini Arusha kwa ajili ya mapumziko na kutalii kwa ofa ya waziri Kigwangalla...
Nianze kwa Kuwapongezeni sana kwa Kupanda Ligi Kuu ya Tanzania Bara na hata kwa aina ya Uwekezaji wenu mzuri ambao unaratibiwa Kiustadi kabisa na Mheshimiwa Waziri Mkuu wa sasa Kassim Majaliwa...
Wakuu Yanga day Simba ingealikwa uwanja ungejaa,Yanga wameshindwa tu kujiongeza,ingekuwa strategic nzuri sana Yanga kuingiza hela kuliko hata timu za kutoka nje.
Nimesikia Kauli Mbiu ya simba Sports Club leo kwa mwaka 2019/20. Simba ni timu kubwa na kongwe na hatua iliyofikia ni hatua nzuri na tunaitakia sana maendeleo. Kwa sasa ndiyo Klabu inayoongoza...
jaman wadau naomba mnifahamishe ule wimbo unakuwaga kama soundtrack au backvocal? kwenye mashindano ya uefa champions league ni wa nani umetungwa na nai na unaimbwa lugha gani..nimejaribu kutafuta...
Kuelekea kufuzu AFCON 2021 yatakayofanyika nchini Cameroon, Tanzania imepangwa na Waarabu 2 Tunisia na Libya pamoja na Equatorial Guinea
Kumbuka Ni timu 2 za juu tu zinafuzu kwenda AFCON 2021...
Hamjambo wadau wa soka.
Kwa MAONI yangu ifuatayo ni orodha ya KIKOSI Cha AFCON 2019 kwa MAONI yangu na mchango wa Kila mchezaji alivyocheza.
1. Rais ~ Algeria
2. Ahmad elmohammad~egypt
3. Ismail...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.