Mazoezi burudani.
Ukiachana na mazoezi makali ya kijeshi ambayo hufanywa kwa malengo maalum, mtu anaweza kuuweka mwili wake kwenye afya imara kwa kufanya mazoezi huku akiburudika.
Ingawa wengine...
BREAKING NEWS:
Shirikisho la CAF limesema, Simba itaanzia moja kwa moja hatua ya makundi ya klabu bingwa. Aidha afisa habari wa CAF Bw Junior Binyam amesema timu ya UD Songo ya Msumbiji iliyokua...
Wanaongoza wizara ya michezo hawajui lolote kuhusu soka ushahidi ni waziri wa sasa
Asilimia kubwa ya viwanja vinavyochezewa ligi kuu ni mali ya ccm lakini Hawana muda wa kuviboresha viwanja...
Salute :
Kwa muda mrefu sasa nimekua nikisikiliza maoni ya wadau mbali na viongozi wa nchi na soka nchini
Nilicho gundua ni kitu kimoja pale linapo kuja swala ambalo hata kipofu anaweza kuona...
Hii ni taarifa kutoka kwa Mh Waziri wa Michezo Mh Harisson Mwakyembe , ambapo amedai ili kumiliki hisa zinazofikia 49% za club ya soka basi hakuna budi wawekezaji hao kuwa angalau watatu na si...
Yeye kama Waziri tokea Mchakato mzima wa Uwekezaji wa Klabu ya Simba alikuwepo, alihusishwa na natambua huku nikiwa na uhakika kuwa mara nyingi kama Waziri alikuwa anakuwa Consulted na akawa...
Kwanza niseme Mimi ni Simba lialia ila tamko la leo la Waziri Mwakyembe limenifanya nitafakari sana na kurudisha kumbukumbu zangu nyuma. Ikapelekea kuunganisha dots kwa matukio ya kukwamisha...
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba Mulamu N'gambi amesema kanuni ya kutaka asilimia 49 za hisa kumilikiwa na watu kuanzia watatu, imekuja wakati Simba ikiwa tayari imepata muwekezaji...
Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Ndayiragije Etienne amemteua John Bocco kuwa nahodha wa timu ya Taifa kwa wachezaji wa Ndani, akisaidiwa na Juma Kaseja, Kelvin Yondan na Erasto Nyoni.
Timu hiyo...
Kwakuwa nia yenu ni Kumkomoa Mo Dewji na mmesema kuwa mnataka Wawekezaji wawe Watatu ili wote wapate Mjumuisho wa Umiliki wa 49% kwa Klabu yetu basi na Sisi wana Simba SC wenye Akili kubwa, pana...
Natambua kuwa Yeye kama Yeye alishasema kuwa anang'atuka hapo kama CEO baada ya Miezi Sita ili apatikane CEO mwingine na kama Simba SC itahitaji Mchango wake basi imtumie katika mambo makubwa na...
Ni muda sasa umepita sijamsikia kwenye VPL, dogo alivuma sana kwa muda mfupi na kupotea ghafla, ninachokumbuka alitofautiana na viongozi wa simba sports club kwasababu za maslahi na kutimkia azam...
Tumesikia baadhi ya wachezaji wa Yanga wakiwa wamegomea mazoezi kutokana na kutokulipwa mushahara yao.
Lakini cha ajabu waziri wa michezo badala atoe tamko kwa club jinsi yakufanya ili waweze...
Kwa kitendo ulichofanya cha kutaka kuihujumu timu yetu ya simba tunasema hatuna imani na wewe tena kwenye mpira wa miguu. Hii timu ya simba sio timu ya serikali bali ina wanachama wake ambao...
Serikali kupitia Waziri wa Michezo Harison Mwakyembe amesema uwekezaji kwa vilabu vya Simba na Yanga ni 49% na uwekezaji inabidi uhusishe kuanzia watu watatu na sio mtu mmoja kuhodhi asilimia 49...
Nimeburudika Sana na hii game ilikuwa more fire bando langu alikuenda bure.Hiv ndio niliviona katika hii game
1.chelsea wamepata kocha
Moja Kati ya vitu ambavyo lampard amevileta Chelsea ni...
Club ya Yanga imeingia haitiani baada ya kupangwa na Township Rollers ya Botswana kwenye michuano ya CAF Champions League hatua ya awali.
Mara ya mwisho team hizi kukutana Yanga walifungwa goli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.