Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe leo ataweka jiwe la msingi uwanja wa klabu ya Simba ulioko Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es salaam
Hafla hiyo inatarajiwa...
Kwa Uongozi, washabiki na wanachama wa klabu ya Yanga hawanabudi kumshukuru sana Msemaji wa timu ya Simba Haji Manara kwa kuitumia vizuri nafasi yake ya usemaji wa Simba kwa kuitangaza zaidi...
Mchezo wa pili wa kufuzu michuano ya CHAN kati ya #Tanzania na #Kenya unatarajiwa kuanza saa 10:00 jioni katika uwanja wa Kasarani, Kenya
Kaimu Kocha Mkuu wa ‘#TaifaStars’ Etienne Ndayiragije...
Mjisikie mko nyumbani,Kenya ni ndugu zetu wa karibu sana.
Tunawakaribisha na kuwapa fursa ya kujipigia Yanga. Mashabiki wenu tupo tutakuja kwa wingi kutia hamasa. Ili msivuruge amani ya nchi kwa...
Kwa umati huo pale uwanja wa Taifa kwenye Kongamano la Wananchi lihusulo Klabu ya mpira wa miguu ya Yanga lazima Serikali iingilie kati kwani umati ule hautoshi kuenea hata kwa viwanja viwili kama...
Bilionea Rostam Aziz kupitia kampuni yake ya Taifa Gas ameingia kuidhamini klabu ya Yanga.
Kampuni hiyo inatarajiwa kutangazwa Leo kwenye sherehe za kilele Cha wiki ya wananchi itakayofanyika...
Habari za jumapili
Nikiwa kama shibiki wa mpira na hasa mipira ya ulaya. Natabiri wazi kua falinal ya uefa itakua ni kati ya liverpool na man city.
Tuanze na robo final.
Liverpool vs Porto. Hapa...
Mkifungwa msianze kutafuta wachawi.. huyu sijui manager jana anasema eti wachezaji vijana ni watoto.. na leo naona wamemtoa kwenye banch kelvin John..
Huu ni upuuzi na wivu.. Kijana ana 16 mpeni...
Habarini wakuu!!
Nasikia Simba Mabingwa wa ligi kuu(Msimu uliopita),
Wametoa wimbo wao kama wimbo wa Tanzania (Yaani Mungu ibariki).
Utakaoimbwa Siku ya Simba(Simba Day)
Mwenye nao atuwekee!!
Habari wanamichezo!.. Timu yetu ya Chelsea tumefungiwa kusajili kwa msimu mmoja lakini kikosi kilichopo ni hatari.
Yaan Super frank Lampard , ana kazi ngumu ya kupata first eleven, Pulisic ...
Mlioziona Jezi mpya za Yanga SC walizozizindua leo pale Serena Hotel karibuni ili muweze kutupa utofauti wa hizo Jezi na zile ‘ Reflectors ‘ ambazo mara nyingi huwa tunaziona zikitumiwa mno na...
Nimefanya muamala toka mmoja ya mitandao ya simu kwenda Selcom. Kama kawaida imekuja message kwamba hela imeingia account yangu ya Selcom na salio linaonyesha imekatwa tayari. Siku zote hufanya...
Klabu ya Simba SC ambao ni Mabingwa wa Tanzania, katika mwendelezo wao wa kujiandaa na msimu mpya wa TPL, 2019/2020 na michuano ya Kimataifa, pamoja na kuwapa burudani ya kweli kwa Wanasimba wote...
Mamilioni yameendelea kumwagika Msimbazi baada ya leo wadhamini wakuu kampuni ya Sportpesa kuwakabidhi mabingwa wa nchi hundi ya Tsh Milioni 100 zikiwa ni fedha za bonus
Simba imekabidhiwa fedha...
Wakuu Kwema,
Kuna tetesi zinasikika huku mitaani kua Mshambuliaji Hatari wa Timu ya Taifa ya Uganda, "The Uganda Cranes" aliekua akiichezea Club ya Simba, Emmanuel Arnold Okwi amesaini kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.