Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Me ni mshabiki wa Simba ila ningependa timu ya yanga ifanye vizuri mechi za caf ili tuwe na timu nyingi za Tanzania lakini pamoja na matamanio hayo ila niliangalia kiuhalisia naiona kabisa ni...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Wakuu Kwema? Hapo Kabla kwa mara ya kwanza, timu ya Yanga ilifanya tamasha lake la kutambulisha wachezaji wake wapya iliyowasajili msimu huu, pamoja na wanaoendelea. Tamasha hili lilikwenda kwa...
20 Reactions
43 Replies
8K Views
Jakaya Kaamua kufunguka haswaaa! Cheki clip hapo chini. Nimefikiri sana namna mzee wetu alivyofikisha ujumbe kwa Sisi wana yanga. Safar ya mpira tz bado ndefu.
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Mara ya mwisho Dynamo kuchukua ubingwa ni 1991 wakati huo wa uingereza akiwa Leeeds united https://en.wikipedia.org/wiki/Zambia_Super_League mikia msitupigie kelele
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Tuwe pamoja 0' Mpira unaanza 1' Ajib anapanga shambulizi golini ila linadhibitiwa 2'Yanga wanaliandama lango la township rollers, Kessy anapiga mshuti lakini unatoka nje 04' Township...
7 Reactions
346 Replies
30K Views
Leo Yanga wanaendelea kucheza mchezo wa kujipima nguvu na kujiandaa na michuano ya klabu bingwa afrika hatua ya awali ambapo watacheza na township rollers tar 10 siku ya jumamosi mpaka naandika...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
IGA UFE THIS IS NEXT LEVEL [emoji91][emoji881][emoji91]
3 Reactions
12 Replies
38K Views
Wakuu, nimetatizwa na uamuzi wa uongozi wa klabu ya Simba kuandaa mechi ya kirafiki na timu ya AFC Leopards tena ikichezwa hapa nchini wakati timu yetu ya Taifa ikicheza katika mashindano na timu...
1 Reactions
101 Replies
8K Views
Ni rasmi sasa kwamba Paulo Dybala atajiunga na Tottenham kwa dau la €70M akitokea Juventus. Mnasemaje wash'kaji wangu wa nguvu mnaopenda soka ?
5 Reactions
35 Replies
3K Views
Kama Haji Manara hasingekuwepo. Mpira wa nchi hii ungekuwa ulishakufa siku nyingi. Kaburi lake lingekuwa limeota nyasi, na Msalaba wake ungekuwa umeanza kufutika maandishi. Huu ni ukweli mchungu...
5 Reactions
26 Replies
4K Views
Utofauti mkubwa ninaoouna uliopo baina ya timu hizi ni:- 1.Yanga inaviungo ambao si wanyumbufu,hawana ubunifu wa kuutoa mpira eneo la katikati nyuma kwenda mbele. 2 .Hawana umiliki mzuri wa...
9 Reactions
44 Replies
6K Views
Hawa wanacheza zaidi ya nafasi moja uwanjani kwa ubora na ufanisi uleule. Kwa wastani wachezaji walio wengi wana uwezo wa kucheza nafasi moja tu kwa ufanisi lakini mchezaji kiraka ana uwezo wa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kiufupi mechi ilikuwa nzuri na ya kuvutia hasa kwa pande zote mbili yaani Simba na Dynamos.Sharaf shiboub kiungo kutoka Sudan kama ataendelea na performance hii basi tutamsahau kabisa James kotei...
10 Reactions
28 Replies
4K Views
Mi si shabiki wa timu yoyote ile ila kwenye ukweli basi fitna tuweke pembeni, nimeicheki Yanga jana, pia nimecheki game zao za Pre-season, Pia nimecheki kikosi chao kila idara.. Naombeni niwe...
6 Reactions
29 Replies
5K Views
Dirisha la uhamisho la majira ya kiangazi litafungwa Alhamisi. Je unadhani ni klabu ipi imejizatiti kabisa kusajili wachezaji bora zaidi ?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mara zote tumekuwa tukiaminishwa kuwa serikali haiwezi kuruhusu sherehe, mikutano na maandamano siku na saa za kazi kwa kisingizio watu wafanye kazi ili kujenga nchi ya viwanda! Cha kushangaza...
2 Reactions
59 Replies
6K Views
Huyu Mbrazil tumepigwa. Mkubali, mkatae ni heri ya Said Ndemla "Ball dancer". Shiboub "Muhogo Mchungu" yuko vizuri
3 Reactions
46 Replies
5K Views
Kiungo wa kati wa timu ya Kenya Harambee Stars na Tottenham ameishtaki kampuni ya Menengai Oil kwa kutumia picha yake bila ya ridhaa ya mchezaji huyo. Victor Wanyama sasa anataka fidia !
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Atajiunga kama kocha mchezaji kwa mkataba wa miezi 18 , atajiunga na Derby January 2020 baada ya mkataba wake wa sasa kumalizika huko Marekani
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hii ndo tofauti kwa Makocha pamoja na mashabiki wa Simba SC na Yanga SC katika kupokea matokeo uwanjani. ••Simba SC ikifungwa mashabiki wa Simba, wanaona ni hali ya mchezo wanakubali na kwamba...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Back
Top Bottom