Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kariobangi ni timu inayokuja juu hapa afrika mashariki ambapo mapema mwaka huu imetoka sare na Everton na hivi karibuni imetoka sare na YANGA AFRIKA wako vizuri karriobange
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Klabu ya Arsenal imekamilisha usajili wa mlinzi David Luiz kwa dau la £8M akitokea Chelsea. Luiz sasa atatinga jezi nambari 23 ! Kwa mpigo !!!
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwema wakuu? Hii inahusu Kenya tu? Haita athiri na hapa Tanzania?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Level ya vilabu simba ni timu inayo kuja kwa kasi sana kwenye soko la Digital Walianza na Page za Instagram twitter na Facebook official mpaka wakapata Verification Wakatabulisha Chanel yao ya...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Miaka kama 4 nyuma mzee mmoja au mbaba alikuwa anatupigia story na yeye ni mshabiki wa yanga sana ,alisema frank domayo alivyotua yanga wazee walimpa baraka nyingi ndio maana akawa anang'ara sana...
3 Reactions
35 Replies
6K Views
Ndondi ni mchezo uliotoa magwiji wengi walioheshimika duniani kama Muhammad Ally, Mike Tyson, Evander, Lewis, na wengine wengi. Kwa miaka kadhaa mchezo huu uliokuwa maarufu duniani ulionekana...
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Abdallah Shaibu Ninja amewasili Marekani na kujiunga na miamba ya MLS, LA Galaxy ambapo amepata fursa sasa ya kucheza pamoja na gwiji Zlatan Ibrahimovich katika klabu hiyo. KILA LA HERI.
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Shirikisho la soka barani Afrika CAF, kupitia ukurasa wake wa Twitter wameipongeza Simba SC na kuongeza kuwa klabu hiyo inaenda hatua nyingine ya kuwa Vigogo wa soka Afrika. "Hongera Simba SC...
12 Reactions
86 Replies
8K Views
Hata kabla ligi haijaanza huko Catalunya. wanazengo hawamtaki kocha Ernesto Valvede. Yaani mashabiki wamechoka sasa na valvede. Pia kwenye mitandao jana na juzi mashabiki wengi walipendekeza pep...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Yanga walianza kufunga first half kupitia kwa Deus Kaseke, na baadaye kwenye dakika za lala salama (dk.94) Malindi wakasawazisha na hivyo mpira kuisha kwa magoli 1 - 1. Niliyobaini kwenye...
9 Reactions
28 Replies
5K Views
Tupo Kariakoo Dar. 130 Uhuru Street opposite Benjamin Mkapa School. Good Quality at affordable prices.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Wana yanga wenzangu wenye mapenzi mema na hii team mimi kwa upande wangu aina ya mpira anao ucheza yanga siulewi mimi kwa upande wangu nashindwa kuelewa kama ni mfumo mbovu au tatizo ni nini. Kwa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kulingana na takwimu zilizotolewa na kampuni ya Selcom, Simba imevuna zaidi ya Milioni 376 kupitia Tamasha lake la Simba Day lililohitimishwa uwanja wa Taifa juzi Mashabiki zaidi ya 58,000...
10 Reactions
62 Replies
8K Views
ile haikuwa na namna lengo ni kushindana na Yanga eti,maonesho yooote ni kujisumbua kushindana na Yanga,lililokuwa linawakaanga na kuwakereketa moyoni na mashabiki wao.wao Yanga wala hawana...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Michezo ya nyoka kwa sasa imekua maarufu saaana, na watu hupenda kuiangalia saaaana hasa michezo ya chatu, Lakini kwa hii michezo ya kurushiana nyoka hivi imeonekana kuua watu wengi kwa presha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Vipi betting ni hasara au faida? Yupo mtu anayeweza tengeneza steady flow ya income kwenye football betting pekee? Yaan siyo kuwin huge amount au jackpot bali kutengeneza steady flow income Na...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
Mabingwa wa watarajiwa wa CAF Championship leo wanahitimisha Simba Day,This is Next Level. Shamrashamra zimeendelea mitaa yote ya Dar na mikoani kuelekea jioni ya leo kushuhudia kandanda saaafi...
23 Reactions
468 Replies
47K Views
Hawa mabinti hawajawahi kutuangusha.
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Matunda yote haya yote ni kutokana na uwekezaji mdogo wa Simba msimu uliopita, leo tunaona watani wetu nao wakifaidi matunda. Sasa leo ntapiga hesabu ndogo tu kukuhakikishia kwamba mpira wa leo...
15 Reactions
59 Replies
5K Views
Picha bora ya mwaka huu,huyu mchoraji ametumiwa nauli aje kuonana na muwekezaji wetu MO.
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom