Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Jitahidi kila mara kumuomba Kocha wenu Mwinyi Zahera kuwa akiwa anamaliza Kuwapa Mazoezi ya Uwanjani Wachezaji wake basi awe pia anawaingiza Darasani ili awafundishe pia namna ya Kula Chakula na...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Viongozi wa Yanga inatakiwa mjitathimini na mbadilike muendane na wakati mambo ya kusajili kwa ajili ya kumfunga Ndanda haikubaliki ilishapitwa na wakati Kidogo Simba kaanza kujitambua na hiyo ni...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Huyu mwongozaji wa kipindi pendwa cha Sport Am anaanza kukiharibu kipindi kwa kuwalazimisha wachambuzi kuongea mawazo yake, Ni mbishi kupindukia na anawakatisha katisha mno wenzake kabla mtu...
1 Reactions
33 Replies
7K Views
Sioni sababu yoyote kuwasakama tax fosi kijiudhuru Kuliko watu wanao kuwa wanang'ang'ania madaraka
0 Reactions
5 Replies
961 Views
Sababu kubwa ni kwamba Chelsea ni Wanafiki mno kwani kama walikuwa na Uwezo wa Kucheza mpira walioucheza jana dhidi ya Chama langu pendwa la Liverpool kwanini hawakucheza mpira ule ule walipocheza...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Aliyekuwa beki wa Yanga Abdallah Shaibu 'Ninja' jana alifanyiwa vipimo vya afya kunako klabu ya LA Galaxy inayoshiriki ligi kuu ya Marekani Ninja alifuzu vipimo hivyo na ameanza rasmi mazoezi...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Miaka miwili imetimia tangu ndugu Karia aingie madarakani lakini hakuna ishu ya msingi aliyoifanya anazurura zurura tuu na wakina Makonda.
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Kwa kuwa mi ni mnazi wa Yanga nitayataja ya Simba tu wengine mtayataja ya Yanga. 1. Mnyama fc 2. Mikia fc. 3. Mbumbumbu fc 4. Sangoma fc ( Nasikia hii timu ilianzishwa na mganga wa kienyeji)...
1 Reactions
26 Replies
8K Views
Mwonekano wa Uwanja wa Mpira wa Taifa Jijini Dar es Salaam Ukipandwa nyasi mpya na si za bandia. Hivi zipi nzuri? Maana mimi nilidhani hizi bandia ndo nyasi nzuri maana ni vigumu uwanja...
2 Reactions
20 Replies
26K Views
Lampard ameleta kitu tofaut ndani ya Chelsea wamekuwa wakicheza mpira mzuri na wamekuwa wakiimarika siku hadi siku naona kabisa gari likawaka baada ya kuwa na game ngumu zinazokaribiana Mwanzo...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Hemed Suya. Kwanza nianze kwa kuwasalimu, na kuwatakia Eid l-Adh-ha Mubaarak jamii yote ya wapenda soka. Jion hii nalazimika kushika kalamu kuandika baada ya kumaliza mialiko ya nyama kutoka...
16 Reactions
35 Replies
5K Views
Chelsea ndo bingwa wa mech hii ya super cup kasoro ni kombe tu ndo hajabeba lakin vilivyobaki Liverpool wamesubiri Chelsea wameupiga mwingi sana wamecheza mpira wa kueleweka sio kubahatisha kama...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi wakuu Katika team ambazo hatuna mzaha kwenye fainal bas ni Chelsea Man city alitoka kutupiga 6 lakin tulipokutana naye kwenye fainal anakumbuka kilichotokea Arsenal alitoka...
11 Reactions
91 Replies
6K Views
Bodi ya Ligi limevifungia viwanja vitatu uwanja wa Mwadui, Manungu na Mabatini kutumika katika msimu huu wa Ligi Kuu Bara hadi hapo vitakapofanyiwa marekebisho. Akizungumza Dar es Salaam, Afisa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Date of birth 4 March 1974 (age 45) Place of birth Ledesma, Jujuy, Argentina Height 1.70 m (5 ft 7 in) Playing position Attacking midfielder / Forward Huyu ndie Arnaldo Ariel Ortega a.k.a...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Uwazi na kutokuwa na kipya kwenye utendaji wenu... Jitahidin ku-updates mapato na matumizi na kuwa na utamadun wa kuelezea mashabiki na wanachama mikataba ya udhamin mliyoingia na thaman zake na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Masau bwire kuchukua nafasi ya Dismas usemaji Yanga fc
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Wasaalam wakuu, Niingie kwa mada moja kwa moja.Ligi yetu baada ya kuisha na kutokuwa na mdhamini mkuu na hata kupelekea mshindi kutokujulikana anapewa nini, labda ni kutokana na TFF kutokufikia...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Jezi za EPL (Home and Away) kwa mwaka 2019/2020: 1. Arsenal 2. Aston Villa 3. Bournemouth 4. Brighton 5. Burnley 6. Chelsea 7. Crystal Palace 8. Everton 9. Leicester City 10...
2 Reactions
16 Replies
5K Views
Naona mpaka Sasa kimya ,jumamosi ni ngao ya hisani kuashiria ufunguzi wa ligi kuu... Lakini naona TFF Wala hamna habari na kutangaza mdhamini, achilia mbali zawadi kwa mshindi wa mwaka Jana...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom