Huu ndio ukweli ninaoujua , na hili linachangiwa sana na Abramovic kutokulifahamu soka , na ndio maana aliweza kumwachia timu kocha wa ajabu Avram Grant.
Huwezi kuacha makocha wote bora wa dunia...
wote tunajua kwamba simba walinunua eneo huko Bunju na kuanza ujenzi wa uwanja wa mpira . uwanja ule ulifikia hatua ya kuagiza nyasi bandia toka china. nadhani bwana pop anakesi juu ya jambo hilo...
Hakuna mchezaji ulioumiza kama wa Eden Hazard kutoka Chelsea kwenda kwenye viunga vya Madridi,umeumiza mno
.
Ni shabiki gani leo wa Chelsea aliyesahau uwepo wake? Kila niliyemsikia pale OT alikuwa...
Hivi aliewaloga ni nani mpaka mnaviogopa vile viti vya uwanja wa taifa?
.
Basi nendeni hata mkashangilie mmesimama.
.
.
Mfyuuuuu,, kwani mkoje? Kocha Zahera aliacha maelekezo na amerudi jana ndo...
Katika Summer slam alfajiri ya Leo , mtanange mkali uliokuwa ukisubiliwa na wengi, moja ya pambano ni kati ya Brock Lesnar na Seth Rollins
Pambano limemalizika kwa Seth kushinda ,tofaut na...
Wanayanga ni km tumerogwa,hatuna hamasa si ndani wala nje ya uwanja.Hata tuhamasishwe vp tuko bardiiiiii!!! Viongozi nao wapo kimya wala hakuna mpango wowote wa kuwaita mashabiki kesho uwanjani...
Daah!! Game ya Jana ilikuwa tamu sana ingawa ndo hivyo MAN U WALICHOMOKA NA POINT 3 HEAVY.....
Mm ni shabiki mkubwa wa Chelsea kwa utangulizi....approach ya game kwa Jana Man u walikuwa wapo...
Timu ya wanawake ya Tanzania chini ya miaka 20 wakiwa kama waalikwa wameingia fainali katika mashindano ya COSAFA dhidi ya Zambia huko Afrika ya kusini. Mchezo umeshaanza, sasa ni dakika ya 34 ya...
Yapo maneno mengi kuwa Chelsea ni dhaifu msimu huu kuliko timu nyingi za EPL, hii imetokana na vitu vitatu ambavyo me naona havina mashiko...
kitu cha kwanza,, kuzuiwa kusajili, hapa tukumbuku...
Mchezaji wa zamani wa Klabu ya Chelsea, Frank Lampard ametambulishwa rasmi kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo kwa mkataba wa miaka mitatu
Lampard aliyekuwa akiinoa Klabu ya Derby County anaenda kuinoa...
Wakuu tuweke ushabiki pembeni,Hivi Zahera amejitolea kwa Yanga kwa moyo wote?
Naona huyu kocha kuna mission yake anatekeleza pale kwenye Yanga .
Mwanzoni alipokuja alikuwa anavaa nguo za kampuni...
Heeeh...leo nipo jukwaa hili la michezo. Nimeona...Yanga leo wanashinda. Tena kwa bao nyingi tu. Hongeren sana wanayanga.
Kama T/Roller leo wakishinda...natoa offer ya mtu kunipiga piga na kimto...
Game itarushwa live AzamSportsHD na AzamSports2
Livestream link ya Simba Sc
https://www.youtube.com/channel/UC3W0zHzX_Iu3lJ20bOfYUeA?view_as=subscriber
Hakika Klabu ya Simba ni kipenzi cha Watu,pamoja na kuhamasisha Simba Day kwa siku 3,sherehe kufanyika siku ya kazi Watu wenye Simba yao wakaujaza Uwanja wa Taifa na kuingiza jumla ya Sh.380...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.