Mzee kilomoni amefanya mahojiano na kuweka bayana kuwa mwekezaji wa Simba Mo ni MTU mjanja mjanja mtu anayetaka kuimiliki Simba kwa kutumia mgongo wa viongozi wabovu walioko Simba wakiongozwa na...
Mzee huyu anaijua simba vizuri na pia ni miongoni mwa waliokabidhiwa timu kutoka mikononi mwa waasisi, si hivyo tu ni mtu mwenye mapenzi ya dhati na timu. Sisi wana SIMBA tunaojitambua tuko bega...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji 'MO' leo Julai 27, 2019 amefafanua kuhusu uwekezaji kwenye Klabu ya Simba SC huku akiwahakikishia wanachama na...
Na Shabani Rapwi
Klabu ya KMC imeibuka na ushinda wa mabao 2-1 katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Kariobangi Sharks ya Kenya mchezo ambao umefanyika leo Jumanne Agosti 6, 2019 asubuhi katika dimba...
Hakika napita shida kujua kwanini Mzee Kilomoni hakubali kuwa yeye si Mdhamini wa Klabu ya Simba.Nasema hivi kutokana na kauli ya RITA kuwa katika orodha ya Wadhamini wa Klabu ya Simba jina la...
Leo tuwataje wachezaji wanaocheza kibabe, wanaocheza rafu na wenye urafiki wa karibu na kadi za njano na nyekundu wawapo dimbani.
Mimi naanza na Sergio Ramos.
Naandika hapa nikiwa na hasira na uchungu mwingi.
Baada ya Malcolm kuuzwa juzi hapa kwenda zenit St Petersburg ya huko Russia..
Sasa kimeibuka kioja kingine!
Mechi yao juzi waliotoka droo...
Salam ndugu zangu. Kabla ya mechi ya Kenya v Tz Afcon kule Egypt kulikuwa na debate Kali Sana humu ndani kila upande ukishabikia kwake. Na hata baada ya matokeo ya 3-2 bado mjadala uliendelea...
MWEKEZAJI wa Simba,
Mohamed Dewji amesema
watapeleka maombi yao
Shirikisho la Soka nchini ili
kununua timu ya daraja la
kwanza. Timu hiyo itakuwa na wachezaji
wanaotoka timu yao ya vijana ya
Simba...
Uongozi wa klabu ya Simba umepanga siku ya Jumatatu, August 05 2019 utaweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa uwanja wake unaendelea Bunju, nje kidogo ya jiji la Dar es salaam
Akizungumza na...
Acha nikwambie ,ilikua ni hivi Ile inshu ya Paul Dybala, #Manchester_United na #Juventus
Inter Milan walikua kwenye mazumgumzo na Manchester united kumsajili Lukaku , mazumgumzo hayo yalitumia...
Beki wa Manchester United Eric Baily na Ivory Coast ameamua kurudi kijijini kwao Guiglo Mara baada ya majeraha kumuandama Mara kwa Mara na kwenda kujitibu huko.
Baily ama miaka mingi hajarudi...
Me binafsi ni mshabiki wa Simba lakini kuwa kwangu mshabiki wa Simba hainizuii kuwa mkweli kiukwel huu wimbo wa Simba ni mbaya lakini wasanii walioimba mrisho mpoto na tundaman walikuwa hawana...
KUELEKEA katika kilele cha Wiki ya Wananchi ya Yanga ambayo itafanyika leo Jumapili uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, mtani wao Haji Manara ambaye ni Ofisa Habari wa Simba ametupa kijembe kwa...
Wakati dirisha linakariBia kufungwa wakuu wengi tunatamani tusikie tunamuona ndgu kipenzicha watz Kyle kwenye elite cup au England.
Binafsi popote nitapomuona is OK
Kila LA kheri
Kwa kweli inahuzunisha kwa kitendo TFF walichokifanya kwa timu yetu ya miguu ya taifa dhidi ya Kenya jana tarehe 4/8.
Mechi hiyo ilikuwa inajulikana kabisa itachezwa lini lakini cha ajabu TFF...
Tangu nimeanza kushuhudia kabumbu miaka ya 1993 mpaka leo nadiriki kusema hakuna mcheza mpira aliyejaaliwa kupiga mashuti kama Michael Ballack. Mjerumani huyu hana mpinzani kabisa, je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.