Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Dan Odhiambo Osok ataendelea kukaa rumande hadi Julai 8 atakapopelekwa tena Mahakamani kwa tuhuma za kumnajisi Mwanafunzi wa Kike Mahakama iliamua kutompa dhamana baada ya Mwendesha Mashtaka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Leo tena,Brazil imenyukwa na Uholanzi. Hadi naingia hapa ilikuwa mbili bila. Uholanzi wametwaa nafasi ya tatu na Brazil ya nne. Argentina ya Messi haikufungwa na Uholanzi. Argentina ni imara...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa mtu aliefuatilia mechi kati ya Algeria na Senegal, Algeria ni mapande ya Mtu jamani yameshiba kisawasawa ukimpush tegemea kudondoka tu 😀😀 ,,inshort majamaa yana nguvu halafu marefu. Akina...
2 Reactions
54 Replies
6K Views
Wakuu fanyeni mpango wa link hii si ya kukosa muda mchache ujao....
0 Reactions
7 Replies
942 Views
Nahodha wa Taifa stars Mbwana Samatta amesema Afcon ni mashindano makubwa yanayohitaji umakini na mipango na kwa maana hiyo Taifa stars bado ina safari ndefu sana kuyafikia mafanikio ya kweli...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu nataka kujua kwa saa za kibongo ni saa ngapi? Make nataka niushuhudie.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
TAIRONE SANTOS DA SILVA. Ni mchezaji wa zamani wa vilabu vya : [emoji778]2009-12: Esporte: Mechi 18 [emoji778]2012: Cerâmica: Mechi 0 [emoji778]2013: Canoas: Mechi 7 [emoji778]2013: Cianorte...
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Ligi ya Mashujaa mtaa kwa mtaa mkoani Lindi iyozinduliwa hapo juzi tarehe moja na mkuu Wa wilaya ya kilwa ndugu Christopher ngubuyagai imeendelea hapo Jana kwa kuheza michezo kadhaa ambampo...
1 Reactions
1 Replies
727 Views
Watanzania bhana yaani kila ukipita pamoja na Wachambuzi wenu Uchwara utasikia kuwa eti leo Taifa Stars a.k.a Makonda CCM FC huko Misri itaifunga Algeria na Kusubiria Best Loser ambapo Tanzania...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
FOXES REJECT £70M MAGUIRE BID Manchester United’s improved £70m bid for Harry Maguire has been rejected by Leicester, Sky Sports News understands. United moved ahead of rivals Manchester City in...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimemwangalia kijana wetu anaecheza kwenye ligi bora duniani huko uingereza ama kweli Benchi la ufundi la Taifa stars halipo serious pale hatuna mchezaji ndugu zangu Yule mambo ya mpira sidhani...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ameeendelea kuwadanganya viongozi wa Simba aliowaweka mfukoni!!! Leo tena amesaini million 250 hewa kwa club ya Simba kwa kutangaza bidhaa zake na club ya Simba Huyu magori anatumika na Mo...
10 Reactions
59 Replies
6K Views
Hili kundi haliwezi kutoa best loose. Wote wanarudi kuja kuwaangalia wenzao kwa televisheni.
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Paul Makonda si mtaalamu wa saikolojia, Paul Makonda hana taaluma ya ukocha wa mpira wa miguu. Lakini anapewa airtime ya kutosha kwenye timu ya taifa ilihali tunao legendary kibao kama Ally...
0 Reactions
3 Replies
770 Views
Aise wajaruo wanatisha kwa footboli, by the way wakenya na watz mpande matatu(3) kurudi kwenu
1 Reactions
2 Replies
785 Views
Timu ya mpira wa kikapu ya Tanzania imefungwa mechi zote kule UGanda kwenye mashindano ya Kanda ya tano afrika. Kenya ilishika nafasi ya kwanza,ikifuatiwa na Misri, Uganda, Rwanda na mwisho...
0 Reactions
3 Replies
956 Views
Nakwepa sana kitu kinaitwa chuki, nakwepa mno visasi... Chuki huzaa kisasi na kuviziana.... Kuombeana mabaya na kushindwa Kama Taifa tulipitia vipindi tofauti vya chuki... Achana na chuki ile ya...
39 Reactions
170 Replies
14K Views
mimi ndimi. Hawa mapimbi ni timu yangu ila kwasasa nataka nihamie niende man city! hawa makima kusajili wanasajili wachezaji wa kawaidaaaa, utadhani wanaenda kushindana na NAMUNGO FC! kwa style...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Wadau nadhani yaliyotokea Misri kwa Timu ya Taifa sote ni Mashahidi.Timu imecheza mechi 3 ,imefungwa jumla ya magoli 8-2 na kuwa ya mwisho ktk kundi lake na kisha kutupwa nje ya mashindano raundi...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wanajamvi? Kwa bahati mwaka huu tumefanikiwa kuingia AFCON ili hali mi mpaka sasa sijui tumpe nani sifa za mafinikio hayo ya kuiwezesha timu yetu kwenda huko kwa mafarao. Nashindwa wa kumpa...
0 Reactions
4 Replies
621 Views
Back
Top Bottom