Je ni kweli mchezaji mkubwa atakataa kusaijliwa?
Timu inashiriki europa, mchezaji mjinga atakataa kujiunga, ambapo msimu ujao timu inauhakika kuingia championi
Mwenyekiti wa kamati ya ushindi ya Taifa stars RC Makonda amemwomba radhi Rais Magufuli na watanzania wote kwa ujumla kwa kipigo ilichopata kutoka kwa Harambee stars.
Makonda amesema mpira ni...
No character, no experience, says Tanzania coach in brutal assessment
By Reuters
23 hours ago
By Brian Homewood
CAIRO, June 28 (Reuters) - Tanzania's first Africa Cup of Nations participation...
Mshambuliaji wa Paris St-Germain Neymar anataka kurudi Barcelona kulingana na naibu rais wa klabu hiyo .
Hatahivyo Jordi Cardoner amesisitiza kuwa hakuna mawasiliano yoyote yaliofanyika kati yao...
Kichwa chajieleza.
Matendo na maneno yake yanamfanya asikubalike. Ila ukweli ni kwamba ana ushawishi na morali ya kufanikisha azima yake.
Tubu na geuka, una mengi mbeleni
AC Milan will not take part in the Europa League next season after being banned by the Court of Arbitration for Sport
Nafasi yake itachukuliwa na Torino
Kesi nyingine inaendelea ya Manchester...
Aseeee!
Ball control, ball balance,stamina,shoot with both feets!
Ebaanaee hizo ni baadhi ya sifa zangu enzi hizo nikiwa kitaa naupiga mwingi.. Ebbana kama mtaani kwetu kipindi kile kungekua na...
Timu ya taifa ya watu wenye ulemavu 'Tembo warriors ' imefuzu nusu fainali ya mashindano ya soka la watu wenye ulemavu kwa nchi za Afrika mashariki na kati
Makonda ameanzisha project nyingi sana. Na nyingi hatuna feedback zinaendeleaje sasa hivi. Ila hatujasikia lolote kuhusu kuwekeza kwenye michezo ya vijana kuanza kada za chini kabisa. Ili safari...
Wakati mmoja kulikuwa na mazungumzo mengi juu ya Stars na uwakilishi hafifu wa Zanzibar. Zikaja kelele kuwa wanaojadili hili ni kuchanganya mchezo na siasa. Wazanzibari hawa utashangaa kama kweli...
Yupi ana tattoo nzuri, yupi ana mbaya.
Ipi ina ujumbe, ipi ina kijembe. Mimi nimevutiwa na za Mephys Depay, Sane, Amartovich na Sergio Ramos.
Karibuni.
Nimeona hii habari ikiwa inatrend kwenye mitandao ya kijamii baada ya kupostiwa na Azam Tv kule kwenye Instagram.
Kwa presha hii ya Makonda, Emanuel Amunike atakuwa ameingiliwa majukumu yake. Na...
Yapo mengi ya kujifunza kutoka na jinsi timu yetu ilivyofanya kwenye mashindano ya AFCON:
1) Mabeki hawakuwa wanajuamini kiasi cha kushidwa kumiliki mpira kiufundi badala yake kubutua (au...
Wanaofikiri na kuwaza kwa mapana ndio watanielewa.
Mungu anawapenda sana wadanganyika na anaendelea kutumia uwezo wake kuhakikisha mkoloni mweusi anaondoka ofisini kwa wakati aliopanga yeye.
Ni...
Labda itokee Angalau mchezaji awe mzuri kweli Kweli .... Lakini kuwa na mchezaji wa kiwango cha kawaida tu halafu mfupi sana mmh ifikie Mahala swala la physical appearance na skills yote...
Nikiwa kama Mtanzania sijaridhika kabisa na kejeli ambazo wakenya wanatufanyia mitandaoni , Uungwana ni vitendo , hata kama wametufunga lakini hali hii haikubaliki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.