Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ukiiona clip hii utakubaliana nami kuwa watu kuisemea mabaya Taifa Stars sio jambo la ajabu. Paulo Makonda aka Daud Bashite ni mvurugaji wakipimo cha juu kabisa.
2 Reactions
41 Replies
4K Views
Mtanzania aliyeko kwenye picha hapa chini alikuwa anatuinjoi tu, kumbe mwenzetu alijua mapema tutapigwa miradi 3 mikubwa (stiglas, Sgr na Drimlaina) na jirani zetu Kenya.
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Awali nilisema hivi:- Kwa kumtuma huyo Bashite eti sijui akafanye nini huko Misri kwenye mashindano ya AFCON ndo karoga timu kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, huyo Bashite ndiye anayeenda kuitia timu...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Anaitwa Gerson fraga,ametokea ATK inayoshiriki ligi ya India,amewahi kupita katika klabu ya Gremio ya Brazil,pia amepita ktk timu za vijana za Brazil chini ya miaka 17 ambapo alikuwa nahodha ktk...
0 Reactions
77 Replies
7K Views
Wana jamvi mtanisamehe. Kuna kitu kinanikera kuhusu Timu yetu ya taifa, aka taifa stars. Ni mda sasa hatufanyi vzr kweny mashindano ya kimataifa, tunashindwa hata na mataifa jiran kama Kenya...
0 Reactions
5 Replies
653 Views
Umejifunza nini kuhusu mchezo wa mpira na hamasa za wanasiasa? Je, ni sahihi kufanya propaganda kwenye mpira badala ya kuwekeza? Tunarudije na zile mbwembwe za Dodoma na Dsm?
3 Reactions
19 Replies
2K Views
RC Makonda anasimamia ilani ya CCM juu ya utekelezaji wa sera ya michezo. Ametimba Cairo kuhakikisha anarudi na majawabu ya kuwapa wananchi pindi watakapohoji kunako 2020. Amunike yeye anatimiza...
2 Reactions
52 Replies
4K Views
Kuna habari zinasikika ya kwamba nguli wa soka wa harambee stars Victor Wanyama anayekipiga EPL na TOTENHAM HOTSPURS alipopata habari kuwa gavana wa darisalam anakwenda cairo kuangalia mechi dhidi...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Najua kuongea kitswana lugha ya Botswana wanashangilia sana msuva ,na mbwana Samata Kama Btv television ya Botswana kama mnaipata angalieni
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Huwezi kuvuna husichopanda! Tungeshinda isipokuwa asili ya Watanzania sisi siyo watu "aggressive" ni watu wa kuridhika na mafanikio madogo madogo! Simply we are normal people with small minds...
1 Reactions
4 Replies
879 Views
Naomba kuuliza unaandika lakini? All the best bro!
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Timu yetu ya Taifa (Taifa Stars)Kesho ipate ushindi wowote ule dhidi ya Senegal,hata suluhu na kichwa cha habari hapo juu kinakwenda kutimia. Hapa nilipo niko na...
4 Reactions
68 Replies
6K Views
Kwa Uzalendo na Umoja unaofanywa na Wachezaji wetu wa Tanzania Mwenyezi Mungu awe Pamoja nasi, Tuwafunge wa Kenya.
0 Reactions
9 Replies
785 Views
Mpira sio ramri chonganishi za waganga wa kienyeji, bali mpira ni sayansi iliyosheheni uzakendo wa kweli hasa kwa wachezaji wenyewe pindi mashindano yanapotokea. Yaani taifa stars ili washinde...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Hakika nimeshtushwa sana kusikia kuna wachezaji wa Mabingwa wa Soka Simba wameachwa kwenye Usajili na wengine wamesajiliwa na Vilabu vya ndani na nje ya Nchi. Ni vema Klabu ya Simba ikawa na...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Warudi Naivasha wakale gideli ..na kuku ya kuchomea.. Link hii BONYEZA HAPA
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Kwa waliompendekeza amunike kuwa kocha wa taifa stars nadhani alikua usingizini. jamaa ni mzito ata kufanya maamuzi ya kufanya sab. Mwenzake wa kenya yuko very shap. Anajua nini maana ya mpira...
1 Reactions
7 Replies
895 Views
Back
Top Bottom