Nataka niweke vitu sawa hapa, wakati sisi watanzania tulipokuwa tunaisaport Tim yetu ya taifa, alitokea kiongozi na kusema ile Tim ni serikali ya chama cha mapinduzi na inamuwakilisha rais. Sisi...
1. Tuliingia afcon baada ya kushika nafasi ya pili chupuchupu tukose nafasi , mpaka katimu kama lesotho kalitufunga shauri ya maandalizi duni na programu dhaifu ya tff
2.Wachezaji bado hawajapata...
Namuamini kabisa RC Makonda na kama ambavyo aliahidi juzi kuwa jana Tanzania ingeshinda dhidi ya Wakenya na imekuwa Kweli basi sasa namuomba sasa RC Makonda aendelee kubaki na Timu huko huko Misri...
Tusaidiane jamani
Timu ya taifa imechukiwa ghafla
Kuna haja ya kiongozi wa kitaifa kusafisha hali ya upepo
Maana sasa kuna Timu ya Taifa ya CCM na ya CDM, na ya wasio na vyama,timu ya Taifa...
Klabu ya Yanga inategemea Kufanya ‘ Harambee ‘ yake waliyoipa jina na ‘ Kubwa Lao ‘ ikiwa ni njia ya Kujipatia Fedha nyingi za Kufanyia Usajili na Kuendesha Shughuli zote za Klabu ili mradi tu na...
Pamoja na kuwa tumechabangwa na wamasai wa Kenya lakini kuna touch and shoot ya samata ilioZaa goli kupitia kwa msuva
Lilikuwa shoot hatari lilikuwa na speed ya 90/sec
Kwahiyo touch moja tu...
KONGOLE STARS, ILA TULIWAVURUGA SANA VIJANA
KIuhalisia Tanzania imeyaaga mashindano ya AFCON rasmi na hata ndugu zetu Kenya nao wameyaaga tu licha ya kutujeruhi maana watapigwa tu mechi na...
Muda utasema, kama ni kweli walikuwa na mbinu hii, hatutasikia wakilijadili hili suala, kama wakilijadili, watalijadili juu kwa juu ili tusiwajue kama ilikuwa ni mbinu.
Na kama mawazo yangu...
Wakuu,
Kocha wetu ni dhaifu mno kusoma mchezo na kubadili mbinu. Timu inacheza vile vile hata wapinzani wanapobadili mbinu. Mbaya zaidi kilema kikuu ni kocha kutojua namna ya kutumia viungo wetu...
Serikali imeonywa mara nyingi kuhusu huyu Makonda kuwa mikono yake ni michafu kila atakalo gusa linakosa Baraka ila inadharau.
TFF nayo ikaingia mkenge, sasa ni wakati wa mavuno acha tuvune mabuwa...
Nimesikia kauli hii ikitolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda, kuwa timu ya taifa Taifa Stars ni mali ya Chama cha mapinduzi na kuwa Taifa Stars ikishinda imeshinda CCM. Kauli hizi...
Baada ya jaribio la kubaka uzalendo halisi, kupitia Timu ya Taifa kushindikana jana naomba Wazelndo halisi tuliopo Dodoma tukutane Tango Bar leo ssaa 12 jioni tufanye Tambiko la utakaso!
Tumekuwa tukizani mpira ni mchezo wa siasa ni kosa kimantiki.
Kuna watu sio wajinga wala sio werevu lakini tunapaswa kuto kuwapuuza ujinga wao. Makonda si kwamba ni mjinga au werevu lakini kila...
Wakuu wapenda Soka, kwanza poleni kwa kipigo cha jana - wengine hatukuumia sana sababu tulijua kutoka ni ngumu, Kuanzia dk ya 60 wachezaji wetu walichoka - hapo ndipo linakuja suala la NJAA -...
Raisi Wangu ni Msikivu Sana
Naomba uniruhusu mimi na Watanzania Wenzangu tukawatandike fimbo za kutosha kuanzia wachezaji na benchi nzima ya ufundi maana wamehujumu uchumi wetu kwa kuchezea...
Hongera kwako Mkenya kwa kutufunga. Leo kicheko kwako; kwetu kilio. Kesho kinyume chake. Lakini bila kujali matokeo, tunabakia "DUGU MOJA". Tukutane baadaye kijiweni tukunywe.