Ukiiona clip hii utakubaliana nami kuwa watu kuisemea mabaya Taifa Stars sio jambo la ajabu.
Paulo Makonda aka Daud Bashite ni mvurugaji wakipimo cha juu kabisa.
Mtanzania aliyeko kwenye picha hapa chini alikuwa anatuinjoi tu, kumbe mwenzetu alijua mapema tutapigwa miradi 3 mikubwa (stiglas, Sgr na Drimlaina) na jirani zetu Kenya.
Awali nilisema hivi:-
Kwa kumtuma huyo Bashite eti sijui akafanye nini huko Misri kwenye mashindano ya AFCON ndo karoga timu kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, huyo Bashite ndiye anayeenda kuitia timu...
Anaitwa Gerson fraga,ametokea ATK inayoshiriki ligi ya India,amewahi kupita katika klabu ya Gremio ya Brazil,pia amepita ktk timu za vijana za Brazil chini ya miaka 17 ambapo alikuwa nahodha ktk...
Wana jamvi mtanisamehe. Kuna kitu kinanikera kuhusu Timu yetu ya taifa, aka taifa stars. Ni mda sasa hatufanyi vzr kweny mashindano ya kimataifa, tunashindwa hata na mataifa jiran kama Kenya...
Umejifunza nini kuhusu mchezo wa mpira na hamasa za wanasiasa?
Je, ni sahihi kufanya propaganda kwenye mpira badala ya kuwekeza?
Tunarudije na zile mbwembwe za Dodoma na Dsm?
RC Makonda anasimamia ilani ya CCM juu ya utekelezaji wa sera ya michezo. Ametimba Cairo kuhakikisha anarudi na majawabu ya kuwapa wananchi pindi watakapohoji kunako 2020.
Amunike yeye anatimiza...
Kuna habari zinasikika ya kwamba nguli wa soka wa harambee stars Victor Wanyama anayekipiga EPL na TOTENHAM HOTSPURS alipopata habari kuwa gavana wa darisalam anakwenda cairo kuangalia mechi dhidi...
Huwezi kuvuna husichopanda!
Tungeshinda isipokuwa asili ya Watanzania sisi siyo watu "aggressive" ni watu wa kuridhika na mafanikio madogo madogo!
Simply we are normal people with small minds...
Timu yetu ya Taifa (Taifa Stars)Kesho ipate ushindi wowote ule dhidi ya Senegal,hata suluhu na kichwa cha habari hapo juu kinakwenda kutimia.
Hapa nilipo niko na...
Mpira sio ramri chonganishi za waganga wa kienyeji, bali mpira ni sayansi iliyosheheni uzakendo wa kweli hasa kwa wachezaji wenyewe pindi mashindano yanapotokea.
Yaani taifa stars ili washinde...
Hakika nimeshtushwa sana kusikia kuna wachezaji wa Mabingwa wa Soka Simba wameachwa kwenye Usajili na wengine wamesajiliwa na Vilabu vya ndani na nje ya Nchi.
Ni vema Klabu ya Simba ikawa na...
Kwa waliompendekeza amunike kuwa kocha wa taifa stars nadhani alikua usingizini.
jamaa ni mzito ata kufanya maamuzi ya kufanya sab. Mwenzake wa kenya yuko very shap. Anajua nini maana ya mpira...