Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars leo kinaingia Uwanjani kuwakabili timu ya Taifa ya Kenya Harambee Stars katika mfululizo wa michuano ya fainali ya mataifa ya Afrika AFCON2019...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
TAARIFA KWA UMMA KILA LA HERI TIMU YA TAIFA, TAIFA STARS Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kupitia kwa Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe. Freeman Mbowe kimetuma salaam za kuitakia kila...
9 Reactions
626 Replies
46K Views
Msuva anaweka kambani dhidi ya kenya
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Siku zote zawad pekeee kwa wenye roho mbaya Ni Mungu kuonyesha baraka tele kwa wale wafanyiwao husda. Ukiona mtu analichukia taifa lake hata katika familia,ukoo,na marafik hufanya wivu,na husda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi nimeangalia kikosi dhaidi ya mara 10 sijajua kwanini Ulimwengu kaanza. Msuva nae ni kiungo kumbe?
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mechi ya Leo kati ya Tanzania na Kenya imelipua pia chachu ya uhasama ambao unaletwa na siasa kutokana na kauli mbalimbali za viongizi, wasanii na raia wa kawaida. Je, uhasama huu ndani ya mpira...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
1.Mfumo wetu wa elimu hauturuhusu kukosea. 2.Anayepata A nyingi darasani ndio anayebebwa na mfumo,anayepata B mfumo unambeba mpaka anayepata C pia. 3.Tuliosoma bila vikwazo mpaka tunafika vyuo...
0 Reactions
9 Replies
913 Views
Tumekuwa na matatizo haya kwenye mambo mengi sana sijajua ni tabia za kikoloni au la lakini ni lazima tujue kuwa mpira sio mchezo wa miujiza sana Mpaka Senegal wamekuwa hivi walitumia miaka...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu sasa, tumekuwa tukichukua wachezaji wengi wa nje kuja kucheza ndani kuliko sisi tunavyochukuliwa kwenda nje, je hii ina maana kuwa hata sisi wachezaji viwango vyetu ni duni au ni...
0 Reactions
2 Replies
651 Views
Anaandika SALEH ALLY (wa salehjembe blogspot) WABUNGE walitaka kumtoa roho CAG, kisa aliwaita dhaifu, tena aliyeongoza vita hiyo ambayo wao waliita ni dharau ni Spika Job Ndugai. Huenda lilikuwa...
1 Reactions
1 Replies
865 Views
Wadau nimekuwa nafuatilia nyuzi mbalimbali humu juu ya Hati za Simba na Yanga. Kuhusu Hati ya Simba inasemekana anayo Mzee Kilomoni, japo sijajua kwa nini awe nayo mtu binafsi wakati ile ni Klabu...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
taifa sttars ilifuzu miaka 39 baada ya kukaa nje ya uringo wa kimataifa. Baada tu ya kufuzu ndipo tumeona miamba ya siasa chafu za nchi hii wanajitokeza kuikumbatia timu. hapa kuna bashite & co...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa mara nyingine tena katika historia ya michezo Tanzania, limerudi tena jambo la ajabu na la kijinga, la watu wasio na utaalamu wowote na soka kuongelea soka bila kujua hasa ni nini wanaongelea...
1 Reactions
6 Replies
869 Views
Kiwango cha Umasikini Africa bado ninkikubwa sana na ukiangalia mechi zote ukiacha tu ya wenyeji utaona viwanja ni vitupu. CAF sijui wanapata wapi pesa za kuendesha Mpira Africa ila kwa kweli...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa hizi siasa chafu za CCM na serikali yake kwenye mpira wetu. Leo nimefunga na kuomba Taifa Stars IFUNGWE irudi nyumbani kuunga mkoo jubudi. Kumbe Taifa stars inawakilisha serikali ya CCM...
3 Reactions
1 Replies
699 Views
Huyu mzalendo anajua kuhamasisha,anaujua na kuupenda mpira analeta hamasa ndani na nje ya uwanja hana matusi na anafurahisha Angalia kati ya watanzania walioenda misiri kuwasapoti wachezaji wetu...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Dah!!!! Jamaa mama wale wa dada wa uswahilini yani kama angekuwa mwanamke sijui ingekuwaje? Uraia no mwingereza ila kiswahili kama chote. Kanywa pombe zote kuanzia bia, ulanzi mpaka mbege. Wale...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
1. Kikosi cha jana dhidi ya Senegal alikipinga Yeye au alisaidiwa na akina Karia pamoja na Mwakyembe? 2. Ni kwanini ana Chuki sana na Wachezaji Nyota wanaotoka Klabu ya Simba Sports Club? 3...
19 Reactions
107 Replies
9K Views
Mshambuliaji machachali aliyekuwa anawasha moto kit team ya Chelsea na ubelgiji aliye sajiriwa na Real Madrid je ataweza kuziba pengo la Ronaldo lililoshindwa kuziba na Gareth Bale na Kareem Benzema
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naona kila mtu anasema Taifa stars ni mbovu, hata kufungwa na Senegal watu wengi wanasema tulistahili, sasa kama tuliyajua haya tulihamasishana kushinda kwenda afcon kufanya nini?? Kwenda kugawa...
0 Reactions
4 Replies
950 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…