Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Baada ya wababe wao Kagera sugar kushuka daraja, ni vifijo na nderemo tu. Ikumbukwe klabu ya Simba haina rekodi nzuri kwa kagera kwa misimu miwili mfululizo. Msimu wa 2017/2018 mbele ya mgeni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mchezaji na nahodha wa timu ya Aston Villa iliyofanikiwa kupanda daraja baada ya kuifunga Derby County goli 2-1, Jack Grealish aeleza sababu za kuvaa viatu vilivyochakaa kwenye mchezo huo Amesema...
5 Reactions
11 Replies
3K Views
Samatta angekua Simba leo angekua Genk? Simba inatamani kuwa kama Mazembe lkn bado haiwezi kufikia level za Mazembe mwaka leo wala kesho. 1. Kumiliki uwanja 2. Kuwa timu yenye ushindani CCL. 3...
14 Reactions
52 Replies
6K Views
Unakuja Simba SC mdogo wangu hapo utapata Namba ya nani? Kwanini hupendi kusikia Mawazo ya Kaka zako ambao tunakupenda Ibra? Hivi kweli kwa Mfumo wa Kocha Aussems Wewe utapata Namba kweli ndani ya...
18 Reactions
93 Replies
11K Views
Mechi ya kirafiki chini ya udhamini wa Sportpesa Kati Simba na Sevilla ya Uhispania inatarajiwa kuanza saa moja usiku. Ikumbuke Simba haijawahi kufungwa uwanja wa Taifa mechi yoyote ya kimataifa...
8 Reactions
843 Replies
67K Views
Baada ya Yanga kuwasilisha documents zote zinazousu mchezaji Ibrahim Ajib kwa TP Mazembe Kama walivyoomba TP Mazembe wameijibu Yanga kwamba wamejitoa katika mbio za kukamilisha usajili wa Ajibu...
2 Reactions
56 Replies
8K Views
Azam wanaitangaza sana game ya Kiba vs Samata, nimejiuliza ni nani aliyefikiria kuleta game hii? Lengo lake nini? Kwanini watanzania hatupendi kuwa serious wakati mwingine? Tupo nyuma sana katika...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Hili jambo Linanikera sana mimi binafsi Samatta amekuwa ndio kipenzi cha Serikali kwa wachezaji wanaopiga gozi nje ya nchi, anazungumzwa bungeni, anazungumzwa yeye peke yake ni Kama...
9 Reactions
22 Replies
2K Views
Bilionea kutoka familia ya Kifalme Abu Dhabi, Sheikh Khaled Bin Zaed Al Nahyaan yuko katika hatua ya mwisho kuinunua New Castle United kwa kitita cha pauni Milioni 350. Sheikh Khaled yupo katika...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Maarufu kama kwa mkapa.Huu ni uwanja wa taifa letu Tanzania upo Chang'ombe-jirani na Chuo cha ualimu Duce au kambi ya JKT-mgulani. Uwanja huu umejengwa kisasa lakin miundombinu ya uwanja huu ni...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Ushabiki tuweke kando, ligi yetu ya Tanzania bara ipo corrupted, kuanzia daraja la kwanza ndiyo madudu kabisa, ligi kuu bingwa anaandaliwa kabla ligi kuchezwa Tatizo lipo TFF, nachelea kusema...
5 Reactions
155 Replies
11K Views
Je, Samatta kucheza Klabu Bingwa Ulaya na Genk ama kutimkia England msimu ujao? Samatta amefunga zaidi ya magoli 30 msimu huu akaiwa na klabu ya Genk. Mshambuliaji nyota wa mabingwa wa ligi ya...
10 Reactions
148 Replies
13K Views
Wakuu naombeni ufafanuzi kidogo kwa mwenye ufahamu kuhusu mfumo wa usajiri wa wachezaj bongo. Tunaposema mchezaji kasajiriwa kwa dau la 80 million mfano, tafsiri yake ni nini? I mean in terms of...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
katika ushabiki wangu wa muda mrefu wa mpira wa soka kuanzia mwaka 1995 (nilianza kushabikia mpira) nimefanikiwa kuona wachezaji wa aina nyingi kutoka mataifa mbalimbali wengi wao wakiwa na vipaji...
3 Reactions
69 Replies
5K Views
Kikosi cha Simba SC dhidi ya Biashara United Mchezo unapigwa saa 9 alasiri Uwanja wa Taifa. Simba tutakabidhiwa rasmi ndoo ya ubingwa wa nchi na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Kangi Lugola...
3 Reactions
42 Replies
6K Views
Baada ya mpira kuisha leo wachezaji wa Simba wameonekana wakiomba viatu kwa kubembeleza kwa wachezaji wa Sevilla. Simba ni klabu inayojinasibu kama klabu tajiri Tanzania na imejitosheleza lakini...
12 Reactions
199 Replies
21K Views
Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) mnapaswa kuionea huruma Lipuli Fc, timu hii inashiriki mashindano mawili yaani Ligi kuu na shirikisho lakini mara nyingi ratiba inazokutana nazo ni kama...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Wapenzi wa Soka mliopo nyumbani na wenye visimbuzi vya Azam Tv unaweza ukaweka MUTV Channel 404 ukajionea mechi ya kumbukumbu ya miaka 20 tangu Manchester United walipotwaa TREBLE!! Kuna wachezaji...
0 Reactions
4 Replies
728 Views
Leo nilijaribu kujipa kazi ya kufuatilia maendeleo ya timu za Afrika ambazo wachezaji wetu wa kulipwa wanazichezea huko. Wachezaji ambao nimefuatia timu zao ni Himid mao Mkami (Petrojet-Misiri)...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…