Mimi ni mwanamichezo ninaefahamu kuwa michezo ni ajira,furaha na afya.Kwa sasa duniani kote wanamichezo wamekuwa miongoni mwa matajiri duniani.
Hoja iliopo tunamwomba Mwenyekiti wa CCM akubali...
Hakuna ubishi kati ya hao jamaa watatu mmoja atatwaa uchezaji bora wa dunia, lakini Leo Messi ana nafasi kubwa zaidi hadi sasa.
Mo Salah atatwaa iwapo tu liverpool itakuwa klabu bingwa ulaya na...
- Shirikisho La Soka Visiwani Zanzibar "ZFA", Limetangaza wanaowania tuzo katika Vipengele Mbalimbali Baada ya Ligi hiyo kufikia mwisho kwa Klabu ya KMKM kuwa Mabingwa kwa msimu huu; Vipengele vya...
PARIS, Ufaransa
MWANARIADHA wa Afrika Kusini, Caster Semenya, ameshindwa katika kesi muhimu dhidi ya Shirikisho la Riadha Duniani (IAAF), ikimaanisha kuwa shirikisho hilo litaruhusiwa kudhibiti...
Baada ya Messi kufunga goal 2 leo dhidi ya Espanyol. Na Barcelona kuibuka na ushindi wa goal 2-0. Hatimaye Messi amefikisha goal 31 na assist 12 .Hii ni ktk mechi 27 tu alizocheza Kwenye Laliga...
I am a true fan of CHELSEA fc and I see the next king of Real Madrid is the Chelsea super Star eden hazard. The Belgium is happy at Chelsea but he is very interested to his future club at Spain...
Ukiona kitu chochote hadi ' Purely Talented and Charismatic Fella ' Mimi GENTAMYCINE nakipenda / nakikubali basi juu ya kwamba hata Malaika wa Mbinguni na Mwenyezi Mungu nae anakipenda na yupo...
Akina Pele, Maradona, Ronadinho, etc - hao woote wamepita.
Lakini je, nani kati yao aliyemzidi Messi kwenye uchawi wa ku-dribble (msisahau na kufunga pia)??
Embu mchekini huyu wizard kwenye hii...
Ahadi yangu ipo pale pale kama nlivyotoa week iliyopita. Ikiwa simba leo itashinda nitaponda ponda Mapumbu yangu kwa nyundo mpaka yawe uji uji halafu niyakojoe.
Wadau wa WWE hii superstars shakeup mnaionaje? The New Day Big E’ sijui kilichotokea amebaki Kofi na mwenzake na sasa wamemuongeza KO, huku the Shield naona Roman Reigns na Dean Ambrose wameingia...
Baada ya kujikusanyia point za kutosha mikoani mnyama anarejea Dar ndani ya uwanja wa uhuru kucheza dhid ya maafande wa JKT TANZANIA
KAA NA MIMI NDANI YA DK TISINI NIKULETEE UPDATES ZA HUU MTANANGE
Dah! yaani nilitamani kuvunja video pale nilipoona refa anaongeza dakika 7' tukio hili limesababisha kuwavunja nguvu wachezaji wa jkt na kuweza kufungwa,,
Ila Simba Sc mmebebwa na refa! dakika 7'...
Timu ambayo nashauri TFF ndiyo iichague Kucheza na Klabu ya Sevilla ya Hispania ( Spain ) iwe na Sifa Kuu zifuatazo:
1. Iwe Timu Tajiri Tanzania kwa sasa na imeiletea Sifa Kubwa nchi ya Tanzania...
NA
NIHZRATH NTANI
WAKATI mwili wake utakapokuwa ukishushwa katika ardhi ya mji wa Rosario.Ni kilomita 300 kutoka mji mkuu wa Buenos Aires nchini Argentina.
Ni ardhi ile ile iliyowameza...