mwingine anaweza kusema labda kwa kinshasa as vita vs dc motema pembe ndiyo mechi kubwa lakini hapana asiee sisi tunajua as vita na mazembe ndizo teams kubwa congo..sasa angalia attendance ya hii...
Yaani makwasukwasu hela nilidhani walimpa sure boy tu kumbe mgao ulikuwa mrefu hadi kwa refa.KAKATAA GOAL LA WAZI KABISA LA AZAM.
namna hii mpira wetu kamwe hautaeendelea, halafu wewe idd cheche...
Ni ukweli usiopingika kuwa kwa kipindi cha miaka mi5 De Gea amekuwa katika Kiwango cha Juu sana kiasi pasipo ubora wake Man Utd isingeweza kumaliza katika nafasi 6 za juu. Lakini msimu huu amekuwa...
Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara amesema wachezaji Emmanuel Okwi na Clatous Chama walichelewa kujiunga na kambi ya Simba mkoani Morogoro kutokana na sababu maalum na sio kweli kuwa wachezaji...
Mimi ni Simba SC damu ila sijazoea Unafiki, Ujinga na Upumbavu na nitakuwa wa mwisho pia Kuuamini. CAF kubadili Waamuzi wa mchezo Kwangu Mimi si hoja kwamba Simba SC tunahujumiwa na nimeshtushwa...
Malimwengu!!! Mmeyasikia ya Leeds United na Aston Villa??? .....Achana na sare yao 1-1 iliyopelekea SHEFFIELD UNITED KUREJEA EPL!.... Kisanga ni namna goli hizo zilivyopatikana!...nitakusimulia...
Ama kwa hakika ngoma ya watoto haikeshi , timu ya Arsenal sasa ni dhahiri haitaweza tena kuingia kwenye top 4 , na kwa kadiri ya maono yangu itamaliza nje ya 6 bora.
Ni timu ambayo inacheza bila...
Msaa jamani wanajamvi kwa wale wanao fuatilia na kujua takwimu za uhakika na matokeo ya ligi darajan la kwanza na la pili tanzania bara au kama kuna source ambayo naweza kupata hizo takwimu...
Kama kuna Timu mbili Kubwa duniani ambazo nazichukia na sitozipenda au Kuondoka Kwangu Ulimwenguni ni Yanga SC ya Tanzania na Manchester United ya nchini Uingereza. Haiwezekani Manchester United...
Mkenya Eliud Kipchoge ameshinda London Marathon kwa mara ya nne mfululizo huku Muingereza Mo Farah aliyetarajiwa kutoa
Kipchoge ambaye alivunja rekodi ya dunia ya mbio za marathonn mjini Berlin...
Hivi kuna kocha mwenye mafanikio na mtaalam wa mpira wa ulaya kama Morinyo?
Binafsi ningetamani kuona huyu jamaa anaitwa Sir Jose Mourinho. Maana sioni nimlinganishe na kocha yupi, ni basi tu...
Sijui ni kitu gani kilinikumba mwanzoni mwa msimu wa soka wa 2018/2019. Mwanzoni nilikuwa nashangilia timu inayoshinda tu kwa upande wa ulaya. Watu walikuwa wakibishana juu ya timu zao lakini Mimi...
Habari wakuu...
Leo ni siku virgin london marathon inafanyika.. nimeanzisha uzi huu tupeane updates za kinachoendelea...
hakuna mtanzania anayetuwakilisha???. Wapi alphonce simbu?? Riadha TZ...
HATUWEZI kuwa na timu ambayo zinapendelewa halafu tukafanikiwa kufanya vizuri kwenye michuano ya kimataifa. Kama tutakuwa na ligi yenye kiwango sahihi, basi tuna kila sababu ya kuwa na timu imara...
...leo hii Simba wakiwa bank-rolled na Dewji wanaonekana kuwa wapo matawi ya juu (kama Yanga walipokuwa bank-rolled na Manji). Same thing ilitokea kwa kupokezana enzi ya Gulamali Abbas na Azim...
Leo kuna mechi kali sana makamanda wangu na wapenzi wa soka...CAF CHAMPIONS LEAGUE 'SEMI FINAL, ni kati ya WYDAD CASABLANCA NA MAMELODI saa 4 kamili usiku...
Kila la heri timu langu Wydad...
YANGA WHATSAPP SUPPORTERS MAKAO MAKUU yakamilisha Mchango wake wa milioni moja kwenda katika timu ya yanga:
:
Na
Yangawhatsapp_makaomakuu
:
:
Katika Kukamilisha Malengo Ya Kocha wa Yanga Mwinyi...
Kwa mara nyingine tena Yanga wanarambishwa dawa na Mnyama Simba Sc.
Safari hii ni katika mechi kati ya KMC na Simba Sc hapa CCM Kirumba Mwanza.
Mpira umeanza
Full Time
KMC 1- Simba 2
Msimamo...
Wachezaji wa Yanga wamesema waligoma kufanya mazoezi ili kumuonyesha kocha hasira zao baada ya kumtimua Kanavaro.
Wamesema walikuwa na uwezo wa kuvumila matatizo ya klabu ila walichokataa ni...