LIGI KUU ITALIA: Klabu ya Juventus yatwaa ubingwa wa ligi hiyo baada ya kuinyuka Klabu ya Fiorentina kwa mabao 2-1 na kufikisha alama 87
Magoli ya Juventus yamefungwa na Alex Sandro na Pezzella...
#TotalAFCONU17. Rekodi ya Serengeti Boys katika fainali hizo:
Aprili 14: Tanzania 4-5 Nigeria
Aprili 17: Uganda 3-0 Tanzania
Aprili 20: Tanzania 2-4 Angola
Kiungo wa Kagera Sugar, Behewa Sembwana amefariki dunia leo alfajiri kutokana na kuugua tumbo.
Kiungo huyo amesumbuliwa na maumivu ya tumbo kwa muda mrefu, hali ambayo ilimlazimu kufanyiwa...
Juventus ndiyo timu ya kwanza katika ligi tano bora Serie A, La Liga, Bundesliga, Ligue 1 na Premier League katika historia ya kushinda ubingwa wa ligi ya Italy serie A misimu nane (8) mfululizooo...
Leo Simba wamefanya mazoezi ya upigaji penati kwa kujiandaa na hatua hiyo Kama mchezo utaisha 0-0 kule Lugumbashi na TP Mazembe wachezaji okwi, kagere, Bocco, nyoni , mkude na chama walijifua kwa...
Wadau, kama post inavyojieleza hapo juu. Hii ni kwakuwa napataga tabu sana napokuwa katika mihanhaiko sehem ambapo hawaoneshi mipira, hivyo napataga wakat mgumu kufaham matokeo ya mechi mbalimbali...
Karibuni kwa live updates kwenye mchezo huu wa leo
Mpira umeshaaanza hapa...
Dakika ya 2’ Yanga wameanza kwa kasi hapa lakin Paul Nonga anautoa mpira nje pale
Dakika ya 4’ Yanga wanaenda...
Nilijiuliza toka awali kama ilikuwa sahihi pale Mlezi wa Serengeti Boys, Mh Mengi alipotoa ahadi kwa wachezaji wa Setengeti Boys ya kitita cha TZS 20m/- kila mmoja kama timu ingefuzu kuingia...
Hii misemo nimezoea kuisikia ikisemwa na mijimama ikiwa ni lugha ya kumtambulisha mpenzi mvulana ambaye kiumri ni mdogo.
Hii inanifanya nifikiri huenda hata hii timu inayoitwa Serengeti...
- Miamba wa Soka kutoka Nchini DR Congo, Klabu ya TP Mazembe rasmi imetangaza kuwa Rais wa Klabu hiyo, Moïse Katumbi Chapwe amerejea katika nafasi yake ya Mwenyekiti wa klabu hiyo baada ya kuishi...
Wapenzi wa mpira hebu tuwe wa kweli kwa hili.CAF imeteua waamuzi kutoka nchi 33 za Arica kati 54.Kwa ujumla katika hizo 33 Tanzania hatumo,sio refa tu hata msaidizi jamani.Mwinyi Zahiri kocha wa...
[emoji818] Naam ilikuwa ni mwaka 2005, kwenye nusu fainali ya Uefa Champions League iliyozikutanisha timu kutoka jiji la Milan, yaani Ac Milan vs Inter Milan.
[emoji818] Game ya kwanza iliisha...
Juzi jumatano mechi za ligi zlichezwa wakati wa lunch (saa nane). Coastal union vs Simba na Mtibwa vs Yanga . Lengo la bod ya ligi ilkuwa ni kutoa mwanya kwa mashabiki kujitokeza uwanja wa taifa...
Pima mafanikio yako ndani ya TFF kwa muda ambao umekaa hapo TFF. Makonda anakupotosha vitu vingi sana kwa kutaka UKUU WA KILA JAMBO. Mifano mingi ipo... hana jambo ambalo aliweza kulifanikisha...