Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Juma Kaseja Said Swedi Ramadhani Wasso Boniface Pawasa Patrick Betwel Buba ' Mmasai ' Seleman Matola a.k.a Veron a.k.a Mzambia Steven Mapunda ' Garincha ' Shekhan Rashid ' Fundi ' Joseph Kaniki '...
22 Reactions
99 Replies
22K Views
Manchester United atamtandika Liverpool nusu fainali huku Tottenham ikitandikwa na Juventus nusu fainali ya pili Tukutane Madrid God first
1 Reactions
133 Replies
10K Views
download wimbo wa mzee wa Bwax NAIPENDA YANGA kisha ujipige jichuukue video ukiwa unaucheza kisha tupia instagram, youtube, snap chat na kokote kwingineko kama hawa wakongo walivyofanya kwenye...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Haina ubishi, kila mtu anaona timu zetu zote, kwanzia Taifa stars, Twiga stars, na madogo wetu Serengeti boys... Tutaenda kombe la dunia kwa njia gani kama sio vitu...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
T P Mazembe of DR Congo beat Tanzania 's Simba 4-1 to reach Africa Champions League semis Ambapo Clouds TV : Simba walazwa unono Lubumbashi. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
7 Replies
1K Views
naanza na mimi kwa kusema sababu ni hii "kulinganishana kati ya simba na yanga" nasema hivi sababu nimeona shabiki wa simba mwaka huu kitendo cha kuingia robo fainali wakaanza kuwazogodoa yanga...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Povu baada ya kufungwa na Mtibwa. Ashauriwe kujikita na mechi zake,kama uendeshaji au maamuzi yana shida basi izungumzie game zake tu. Hili la kurukia progress ya Simba na kuihusisha na kushindwa...
6 Reactions
62 Replies
6K Views
Kwanza kabisa niwapongeze wachezaji, bechi la ufundi na uongozi kwa ujumla wake. Robo fainali ni hatua kubwa sana. Kwa mimi naona bora tumetolewa kwani hata kama tungeshinda mbeleni tungepata...
4 Reactions
97 Replies
8K Views
Kama mnavojua timu ya Taifa ya vijana wa chini ya umri wa miaka 17 inashiriki michuano ya kutafuta bingwa wa afrika .Tanzania ni mwenyejeji wa mashindano husika.Hata hivyo pamoja na kuwa mwenyeji...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wadau wa soka hasa mnaoumizwa na matokeo ya kikosi chetu cha serengeti boys katika kashindano yanayoendelea sasa. nitangaze interest yangu kwanza. Mimi ni mtu wa Bara kwa kuzaliwa na...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Makonda akasimama akiwa na kipaza sauti na kumwambia Mengi ambaye ni sawa na baba yake.kuwa anampa order...siyo ombi.ni amri kuwa kwenye vyombo vyake vya habari vyote issue iwe ni serengeti Boys...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Je mpira wa kurushwa ukirushwa mpaka golini na goli likaingia bia mpira kuguswa na ama na mchezaji au kipa ni goli? Iwapo goli ya kujifunga inahesabiwa ya aliyejifunga iwapo yeye ana magoli 20 na...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kabla ya Vipigo vya Nigeria na Uganda maoni yao yalikuwa haya…… Serikali kupitia Wizara na Waziri Mwakyembe “ Hii ndiyo Timu inayoenda Kututoa Kimasomaso Watanzania na hili Kombe tutalibeba hapa...
12 Reactions
17 Replies
2K Views
Ahadi hiyo imetolewa na Mlezi wa timu ya vijana Serengeti Boys Dkt.Reginald Mengi pamoja na Kamati ya kuhamasisha ushindi wa timu hiyo inayoongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar, es salaam, Paul Makonda...
1 Reactions
54 Replies
6K Views
Club hicho kinachoshiriki ligu ya seria A ya italy kimefikia hatua hiyo kutokana na matokea mabovu yanazozipata club pindi wapigapo picha na msanii huyo Inaripotiwa baada ya mchezaji wa dortumund...
6 Reactions
7 Replies
2K Views
Kim said he was happy at the improvement of the players, despite the challenges he was facing within the Tanzania Football Federation (TFF). Maoni yangu : Sina chuki na kocha mkuu na Benchi la...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Nipeni Jibu,, Mkishindwa Nipeni Mji;
0 Reactions
5 Replies
825 Views
Kwa wale wasio fahamu matokeo ya mechi za leo Coastal Union 1 Vs Simba Sc 2 Mtibwa Sugar 1 Vs Yanga 0 Baada ya mechi za leo msimamo ni kama unavyosoma hapo juu Yanga ikiwa imebakiwa na mechi...
9 Reactions
26 Replies
6K Views
ET ooh! mimi juve wameninunua kwa ajili ya uefa! haya mshapgwa rudisheni goli mbili kama nyie wanaume! juv 2 ajax 3 on agg. juve anatakiwa apige goal2 hapa ndio apite.
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Daaah aisee jana imeniuma sana, inshort nimeshindwa hata kulala sababu ya Manchester city. mimi ni shabiki mzuri sana wa hii timu ila nimeamini siasa zimeingia kwenye mpira, lile goal la mwisho...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…