Team za spain mara nyingi zimekuwa zikifanya vizuri katika michuano hii mikubwa ya ulaya kwa ngazi ya vilabu. Zina mikakati haswa pale zinapotinga fainali, hasa kwa Barca na Real Madrid. Hii ni...
Habari ndiyo hiyo. Ile baiskeli ya mbao imeanza kulegea. Coastal ilitangulia kupiga goli kipindi cha kwanza kabla ya Yanga kuchomoa.
Coastal imecheza ikiwa pungufu.
Habari wakuu
Leo ni usiku mwingine wa maajabu ya UEFA champions leagu ambapo man city anaenavaana na spurs
Nipende tu kuwataarifu kuwa, hii mechi gardiola ataikamia kwa kutaka kufunga magori...
Jana kuna clip ilikuwa inatembea ikionesha jinsi Rais Magufuli akiwa anashangilia ushindi wa Taifa Stars akiwa Ikulu.
Akiwa anashangilia alifika katika dining room, ambapo kuna watu wawili...
Wadau mlio wengi mtakubaliana nami juu ya maada hapo juu.Tumeshuhudia vilabu vyetu vikicheza mpira Mchana wa saa 8 huku hali ya hewa ikiwa ya joto sana karibia nyuzi joto 34 kwa miji ya Dar,Tanga...
Niko katika presha kubwa sana na hii game vs fc porto away.
Lakini tunaamini maamuzi ya makocha,mipango yao na mifumo
Lfc anfield
Ynwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikitika kuona Tanzania yenye wingi wa watu inapokuja mambo ya kitaifa kuna mushkeli.
Niulize hivi hii Serengeti boys ina wachezaji toka mikoa ipi?
Dar peke yake au?
Naomba niwasalimu wana JF wote.
Nasikitika kuona Yanga wakichangishana Mara kwa Mara ili kupata FEDHA ya kuendeshea timu.
Naomba nilete njia mbadala ya kuondokana na hali hii kwa WANAYANGA...
Nampongeza Rais Magufuli kwa kutoa wazo la kujumuisha wachezaji kutoka jeshini kwenye kikosi cha timu ya Taifa cha mpira wa miguu. Hali hii itazidi kukifanya kikosi cha timu ya Taifa ya mpira wa...
Mchezaji Mstaafu wa Timu ya Taifa ya England na Klabu ya Manchester United, Paul Scholes atuhumiwa kwa kushiriki kubashiri(betting) matokeo ya michezo ya mpira wa miguu
Kwa mujibu wa Chama cha...
ikiwa agg inasoma 0 1 Spurs ilishinda ikiwa kwao, leo ni ndani ya etihad stadium the citizens wapo nyumbani.
utabiri wangu MANCITY WIN&GG city anaqualify kwenda semi-final
Ratiba ya vipora ya Simba ligi kuu imetoka na kuonyesha maajabu ya Soka kwa kulazimisha kucheza mechi 7 ndani ya siku 15 huku akilazimika kutoka Mkoa mmoja kwenda mwingi ndani ya siku 2.
Ratiba ya...
Kocha wa Simba kupitia mtandao wa Twitter ameonyesha kushangazwa na ratiba ya TPL isiyozingatia afya za wachezaji huku alisema ratiba hiyo haitekelezeki akizingita mechi zingine zinachezwa saa 8...
Kwa ratiba mmeshapangiwa na inaonekana kuwa tight sana kwa nini msigawanye vikosi viwili?
Nadhani mna wachezaji wa kutosha na wenye uwezo, gawanyeni kikosi kimoja kinacheza huku kingine kule ili...