Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nilkuwa naona thread nyingi sana zikumsifia msemaji wa Yanga kuwa anafanya kazi kwa weledi togauti na Manara. Leo nimepita kwenye acc yake ya instagram nilivyokuta post zake nimeona naye ni...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Following Simba and Gor Mahia qualifications to the quarter finals of the CAF Champions league and Confederations cup ,Tanzania could secure four slots in the 2020/21 CAF Club Competitions ...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Mara nyingi nimekuwa naingia uwanja wa Taifa kuangalia mashindano mbalimbali ya Mpira was miguu toka uwanja wa Uhuru. Nimeonana Mara nyingi vitendo vya udanganyifu kwa wasimamizi na pia baadhi ya...
9 Reactions
21 Replies
2K Views
Siku kadhaa zilizopita ulitembea waraka kwenye mitandao ya kijamii kuwa huenda simba ikatolewa kwa sababu inatumia madawa. bila shaka yoyote itakuwa timu pinzani inayoshindana na simba ndio...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
*Sare ya Simba lawama kwa Serikali,* kitendo cha kufungia uwanja kimetuathiri sana, siku zote ili kummaliza adui tunahitaji muda mrefu wa maandalizi ikiwemo kamati zetu kuweka miundombinu vizuri...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
-Baada ya Simba kufuzu robo fainali Tanzania kama nchi tumekuwa na point 18 kwenye ranking ya Caf kwa miaka mitano 2015-2019/20 na tupo nafasi ya 12 kwenye msimamo -Achana na mataifa 10 ambayo...
17 Reactions
41 Replies
8K Views
-Siku Tanzania inacheza na Uganda kwenye pambano lililo ishuhudia Taifa Stars ikiungana na Cranes kwenye safari ya Misri kuna kitu niliwaeleza watu niliotazama nao pambano hilo. -Niliwaambia...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu Habari zenu? Safari ya simba kwenye klabu bingwa Africa aina tofauti na Safari ya Liverpool uefa champions league. Liverpool kwenye champions league msimu wa 2018/2019 ,walishinda mechi...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
manula,zana,hussein,juuko,wawa,nyoni,kotei,muzamiru,kagere,boko,okwi. nyoni atakuwa anasaidia upande wa kushoto kukaba,kotei kulia, muzamiru naye ana uwezo wa kukaba na kupiga pass,maana inabidi...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Viongozi wa simba wajaribu kufuatilia hilo Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
2 Replies
798 Views
Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ibariki Simba Sports Club Nawasilisha.
2 Reactions
81 Replies
8K Views
  • Poll Poll
Habari Wana JF Kwa wale wapenda soka, na wafuatiliaji timu yangu siku mbili tatu hizi imeamsha Jambo, si jipya lakini, nauona Kama mtihani mkubwa, kwa kocha na mechi muhimu kwa wakal wa soka...
0 Reactions
4 Replies
847 Views
Watanzani huwa ni wavivu kutumia fursa kwaajili ya maendeleo ya Taifa. Hii inatokana na kifanya kazi kwa mazoea, kukosa ujuzi na usimamizi mbovu. Mwaka 2019 tumebahatika kuwa wenyeji wa Mashindano...
0 Reactions
0 Replies
893 Views
Eti Tp Mazembe wanasema wataifunga sima 5-0!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mechi ya Tz Prisons vs Biashara fc ya Mara leo ilitazamwa na mashabiki watatu tu waliolipa kiingilio elf 3000 na jumla kuwa sh.9000/=. Nasubilia mgawanyo wa mapato
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari ndugu. Kilichoiponza leo simba kwa upande wangu mi naona ni kitendo cha kuumia Pascal Wawa. Jamaa kama asingetoka nadhani leo mazembe wangepigwa mengi kabisa. Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nilimsikia kocha wa twiga stars akilalamikia maumbo makubwa ya wadada wa congonikajisemea mweeeh,wachezaji wazuri nchi hii wanatokea kigoma na morogoro unatarajia nini?labda wasukuma na wanyakyusa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Mwaka 2019, Tanzania inaandaa mashindano makubwa ya soka la vijana barani Afrika. Mashindano haya yatatazamwa duniani kote na tutapokea wageni kutoka mabara yote. Kama Taifa, tujipange kuutangaza...
0 Reactions
0 Replies
644 Views
habari wadau.. kwa sheria za mpira mtu wa mwisho kumchezea rafu mtu ni red card.. okwi kapewa yellow.. nasikia mo ametoa usd 30,000 kwa mareferee... je kamati ya fitna imempiga mo ama...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Mzuqa wanajamvi! Habari za weekend matumaini yangu wote ni wazima na buher wa Afya. Faster kwenye mada. Keita jana usiku alifunga goli Lake la kwanza tangu ajiunge na Liver na lilikuwa muhimu...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…