Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kila laheri SIMBA wawakilishi wa Nchi Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Nawatakia ushindi mwema TP Mazembe bana ba Lubumbashi ushindi huu uwafikie wanao penda timu bora
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau vipi mkeka wa leo, hebu tupia jicho hapa halafu weka comment yako ili twende sawa. Sent from my iPhone using JamiiForums
0 Reactions
0 Replies
602 Views
Ikitokea Simba kesho imemfunga TP Mazembe. Mimi ntaponda ponda mapumbu yangu kwa nyundo yawe kama uji. Moderators muuache uzi huu nisipoweka ushahidi wa picha hiyo za mapumbu nliyoponda ponda...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Hiki kikosi cha 2012 ndio kilichompiga yanga 5-0 vs kikosi cha simba kilicho draw 0-0 vs to mazembe , kikosi kipi bora zaidi? kama ulipokea usisite kutoa tena
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naamini wote mnamkumbuka Fernando Torres El Nino. Jamaa alipotoka Atletico Madrid kwenda Liverpool alikuwa wa moto sana. Alipofika Liverpool hakuhitaji apewe muda, aliuwasha moto kwa haraka...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Ronaldo iga bas mfano kwa mwenzako. ligi zote ulaya anaongoza yeye kwa assist na magori kwanin usiwe wew? Fanya bas na we ukiwa juve Apo.
0 Reactions
0 Replies
634 Views
—Kwanza napenda kumpongeza sana Muhammad D. Ni moja ya watu ambao wanamchango mkubwa kwa Simba kufika ilipofika. Huyu ni mmoja wa wamiliki wa Simba mwenye hisa kubwa kuliko yeyote as per...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Mpaka leo sijaelewa ni kwa nini Yanga walikuwa wanajiita wa Kimataifa?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mtanange wa leo kati ya Simba na TP mazembe ulikuwa mkali sana na wa kusisimua. Hongera sana Timu ya Simba mchezo mliouonyesha leo hakuna mfano. Mmecheza kwa uelewano mkubwa sana na kwa asilimia...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Najiandaa kuhama nchi Simba akishinda Lubumbashi Uongozi wa Jamii Foroum Simba akishinda mnipige ban ya maisha nawa takia ushindi mwema TP Mazembe bana ba Congo piga mutu mukono ya nyani yaani...
0 Reactions
79 Replies
5K Views
Wingu tayari limetanda angani, litayaangusha maji yake na vyura watapata makazi Tukutane kwa mchina
1 Reactions
5 Replies
824 Views
Nalipiga baragumu, wa bara na visiwani, Sikie pate fahamu, wote mje uwanjani, Simba wamevaa njumu, mazembe jasho kwapani, Wote mlio timamu, tukutane kwa mchina. Tukutane kwa mchina, wote mlio...
3 Reactions
12 Replies
954 Views
Simba imepangwa na TP Mazembe ya DR Congo kwenye mechi ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye droo iliyochezeshwa mjini Cairo Mamelodi Sundowns wakikutana na Al Ahly, Horoya AC vs Wydad...
4 Reactions
523 Replies
43K Views
Katika barua pepe iliyotumwa na TP Mazembe kwa CAF, ambayo tovuti ya timu hiyo imeiweka bayana, inasema kuwa: Uongozi wa TPM umeianisha njia kadhaa ambazo si za kimichezo ambazo Simba SC...
3 Reactions
51 Replies
7K Views
Msikilize Samatta kwenye link hii https://boiplus.co.tz/samatta-simba-ni-bora-kuliko-mazembe/
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu, Nashauri timu yetu ya Simba ijiandae kimkakati na kiufundi dhidi ya kasi ya ajabu watakayo kuja nayo As Vita, Simba waepuke kabisa kisababisha faulo kwenye 18 au kona.Manula ajiandae na...
2 Reactions
54 Replies
5K Views
Mechi iliyopita kati ya stars na ug mlijionea utapeli wa hawa watu, waliuza ticket nyingi zaidi ya uwezo wa uwanja. Watu walijaa hata pa kuchungulia hamna ile ilikuwa ni hatari Hawa watu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania kujitokeza kwa wingi leo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kushangilia Twiga Stars ili ishinde mabao mengi na kujiweka katika nafasi nzuri ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…