MWENYEKITI wa kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Ally Mchungahela ametangaza rasmi uchaguzi mkuu wa Klabu ya Yanga kwamba utafanyika Mei 5 mwaka huu.
Uchaguzi huo...
Habari wana jamvi, najua kuna jukwaa la sport ila pia lakin umu wanaolitembelea hili jukwaa ni wengi , nna swali huwa linanitatiza sana , wachezaji huwa wanapewa no nyuma ya jez 1-11 lakini kuna...
6th February 2019
Tunisian club alleges food poisoning led to 8-0 loss
A row has developed between Tunisia’s Club Africain and TP Mazembe, after the Tunisian club suggested that food poisoning...
Moto wa Mnyama Mkali Simba SC, Mabingwa wa Nchi kuendelea Kuwaka tena kwenye mechi ya Ligi Kuu Tanzania TPL, dhidi ya Mbao FC kutoka jijini Mwanza.
Simba SC pamoja na kukusanya mapato ya alama...
Tofauti na kujihakikishia kitita cha kiasi cha fedha za kitanzania Bilioni 1.2 watakazopata mshindi wa tatu (3) na wa nne (4)kila mmojawapo kwenye makundi ya timu nne nne (4) zitakazounda makundi...
kama shabiki wa the gunners ninaamini leo ni fursa ya kipekee kupanda mpaka nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi kuu England.Je wachezaji wetu wamejipanga kwa kutosha? hayo yote tuachie dakika 90...
Habar wakuu kwa wakati tofauti kumewahi kutokea wachezaji wa familia moja iwe kwa wakati mmoja au kufuatana kuchezea vilabu vya ligi kuu ya football kwa mfano Haruna Moshi Boban na Idd Moshi...
as i i said from the heading above
I wanted spurs to lose, but i dont want liverpool to win the league title and most importantly i certainly do not want Man City to win the league either call it...
Tuwe pamoja kwa updates
Kikosi cha Simba
Kikosi cha Al Masry
Wachezaji wanaingia uwanjani, muda wowote mpira utaanza..
00'Mpira umeanza
01'Mpira unaonekana kuanza kwa kasi kila timu...
CAF super cup-Final..
Esperance De Tunis and Raja Casablanca.
Mechi itapigwa leo saa moja kamili usiku...
North African giants Esperance of Tunisia and Morocco’s Raja Casablanca renew...
Wakati msimu wa Ligi Kuu Tanzania na Ligi ya Mabingwa Afrika inaanza, Mashabiki wa Simba wa Dar es salaam walikuwa wanaona Bocco uwezo wake ni mdogo sana na hivyo wakawa wanamzomea kwenye mechi...
TAIFA STARS YAPOKONYWA USHINDI DHIDI YA UGANDA NA KUKOSA NAFASI YA AFCON
CAIRO MISRI
Timu ya soka ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imepokonywa ushindi dhidi ya Uganda katika mechi yao ya...
Ule mtambo wa mabao wa Gor Mahia pacha wa Meddie Kagere inasemekana ametua Bongo kumalizana na bosi wa Wana-robo fainali-CAF Championship Simba SC.
Tuyisenge ambaye anawaniwa pia na AS Vita...
Yani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa
kocha mkuu wa simba patrick leiwig amesema mchezaji wenye kipaji kikubwa mwinyi kazimoto hayupo kwenye mipango yake ya timu kutokana na matatizo ya kinidhamu, tangu aache na kocha ufanisi wa...
Mh waziri ndie anaestahili wengine walitakiwa kuwa wajumbe tu..
Kila kitu makonda yeye ni nani? Nashangaa kamati yote imejaa mashabiki tu wasema hovyo na watu wa skendo.
Ushindi wa Taifa stars...
Heshima kwenu wanajamvi.
Natoa tahadhari kwa TFF na watanzania kwa ujumla kuwa makini na propaganda za kisiasa zinazofanywa na mkuu wa mkoa wa Dsm Paul Makonda kila anapozungumzia maandalizi ya...
Baada ya mashabiki na wanachama wa yanga kulalamika kwa kipindi kirefu kuwa ligi yetu inavitendo visivyo vya kiungwana(michezo ya pesa) hatua sasa zimeanza kuchukuliwa...
Makuampuni makubwa ya...