Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wakuu jana Messi kaendelea kuonyesha kuwa bila Barcelona hawezi kushine baada ya timu yake ya Argentina kulambwa 3 kwa moja toka kwa wahuni wa Venezuela hii inaashiria kuwa messi ni kama wifi...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
SABABU ZA UZALENDO KUNITOKA NI HIZI HAPA. 1- Walioteuliwa kuunda kamati ya uhamasishaji siyo wanasoka. Hakuna hata mmoja aliwahi kuichezea timu ya taifa, wengine ni watu wenye scandal mbaya kama...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimelazimika kutoa chonde chonde hii baada ya kuwasikia kwa masikio yangu baadhi ya wanasiasa wakihamasishana kuvaa sare za chama siku ya mechi. Ni vema kama sote tukavaa kitaifa zaidi kwani kama...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Nikilitizama tu kundi alilopo taifa stars naishiwa na iman ya kuipa nafasi team yangu ya taifa. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Closed
Serikali haina dini ila watu wake wana dini! Tanzania haina dini ila watu wake wana dini! Watu walishatahadharisha mapema tu hapa! Haya mambo ya misalaba kwenye jezi ya taifa sinunui hata Kama...
9 Reactions
719 Replies
77K Views
TFF wametukosesha hizi fainali wallahi. Game ya kwanza ya Lesotho ilichezwa kana kwamba ni game ya kirafiki baina ya Yanga na Namungo Fc. Majority were not aware as well ikachezewa Chamanzi huko...
3 Reactions
5 Replies
893 Views
Burundi ni nchi ndogo sana ukilinganisha na Tanzania lakini leo wamefuzu walikuwa wanahitaji dro tu zidi ya Gabon na wameipata mechi imeisha moja moja Yani kwa kweli tusipo fuzu itakuwa aibu na mi...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Hapa kuna mambo mengi sana yameingizwa humu, kuna zawadi, kuna watu wana wasupport wafunge na kuna vipaji. Siku ya leo ndio tutapata jibu sahihi ya kitakachotokea leo, ile nguvu ya uchawi...
0 Reactions
0 Replies
763 Views
KILA LA KHERI TAIFA STARS, NI ZAMU YETU AFCON2019. Leo 12:15pm 24/03/2019. Taifa Stars leo Jumapili jioni itashuka Uwanja wa Benjamin Mkapa kuandika historia ambayo vijana wengi wa kizazi kipya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kule Ulaya na mataifa mengine ambayo yameendelea kisoka,inapotokea kunahitajika hamasa kubwa ya kujenga morali kwa wachezaji na mashabiki basi wale wachezaji Nguli wastaafu hutumika sana...
42 Reactions
105 Replies
11K Views
Nimefanikiwa kuliona pambano hilo lililofanyika jijini Nairobi,Kwa kweli mtifuano ulikuwa mzuri kwani Mabondia wote walikuwa wakishambuliana kwa zamu,hadi mzunguko wa 5 Hassan Mwakinyo...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Burundi leo iimetoka sare ya 1 - 1 na Gabon na hivyo kufuzu kwa fainali za Afcon huko Misri. Taifa Stars itashinda kesho na hivyo kuungana na Uganda na Burundi kwa safari ya Misri. Source ITV...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Wazee wa kuweka mkeka hivi hawa jamaa jamaa wanaotoa fixed results za kwenye matches wana ukweli wowote maana sikuiz naona wamejaa kila kona. Embu tupeane uzoefu wasiwe wanawapiga watu kizembe...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Alipo Andika kwa Mara ya kwanza msemaji wa Yanga Dismas Teni ,huu upuuzi wa kuwekewa sumu,nilitegemea TFF mngemtaka Athibitishe mkakaa kimya, sasa hili limeshakuwa tatizo kila timu itakayo fungwa...
8 Reactions
30 Replies
4K Views
Kwa mfano Lesotho wakishinda hata kwa goli moja tu, Jee Taifa stars watasonga mbele?
1 Reactions
68 Replies
6K Views
WALIOHARIBU BONGO MOVIE NDIO WANAHAMASISHA TAIFA STARS ISHINDE... Kwa masikitiko makubwa jana nimeona kamati ya kuhamasisha timu ya taifa kushinda ikiongea na wandishi wa habari. Nikajaribu...
26 Reactions
42 Replies
5K Views
Wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea kambi ya wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Mwenyekiti wa Kamati ya Saidia Taifa Stars Ishinde, Paul Makonda amesema watatoa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kenya na Burundi Leo wamefuzu kwenda huko misri. Kwanini sisi kichwa cha mwendawazimu tushindwe?? Pia hela alizoahidi kutoa #bashite atoe kweli. Tuna maombi mawili Sisi tushinde Cape Verde...
0 Reactions
4 Replies
951 Views
Baada ya Kenya na Uganda kufuzu Mapema kwenda hatua inayofauata ya michuano ya AFCON2019, leo Burundi nayo imeungana nao kwa kufuzu baada ya kutoa sare dhidi ya Gabon! Ikumbukwe Burundi...
0 Reactions
1 Replies
936 Views
Japokuwa Yanga ni team yangu lakini kwa hili naomba niwe mkweli. Hao viongozi wetu waliokuwa wanamwaga mabilioni ya hela kwenye klabu kumbe zilikuwa za ufisadi! Hela zinapigwa Serikalini halafu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…