Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ukiachana na ushabiki wenu wa mpira wa simba na yanga, ukachimba zaidi utaibuka na mambo mapana sana juu ya uanzishwaji wa timu hizi mbili, Lengo kuu la Nyerere na Karume kuanzisha timu hizi...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kocha hajafukuzwa Benchi la Ufundi halijaguswa Wachezaji hawajachunguzwa au kuwajibishwa Viongozi hawajafukuzwa wala kuhojiwa Timu iliyofungwa na Simba katika mechi ya kwanza ilishamtimua Kocha...
13 Reactions
64 Replies
7K Views
Simba imepigwa na Al Ahly, sasa ni wajibu wao kukaa chini na kufanya tathmini kwanini walipigwa. Kwanza ni kujidanganya sana kuwa Simba inaweza kuifunga Al Ahly, timu yenye rekodi nzuri mno...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Huu mjadala imetawala kwa sasa duniani kote nani zaidi kati ya Mess na Maradona.. Binafsi Mess ni bora zaidi ya Maradona, licha ya kwamba Maradona sijamwangalia wakati wake zaidi ya kwenye...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Watu wangu wa Arsenal tusikufe moyo ni Ten minutes past,and anything can happen in football,Bado tuko strong nikaa man city wanataka ku revenge na sisi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
823 Views
Klabu ya Simba ya Tanzania inayoshiriki michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika hatua ya makundi iko mbioni kuweka rekodi barani Afrika kwa kuwa timu ya kwanza kufungwa magoli mengi katika hatua ya...
4 Reactions
41 Replies
9K Views
Fear factor ninile hali ya kuogopwa na timu mbali mbali mara ukutanapo. Hii factor huzisaidia sana timu kubwa kuweza kupata matokea mazuri ikiwa hata imecheza vibaya sana dhidi ya timu za...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Tume chapa zamaleek 4-2 hio ni ka 2-0 munaona ni home advantage ama Gor iko tu fiti,ama tukienda kwao wata revenge Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Mechi 6 za mwisho kat ya Yanga na Al ahly. Kwetu Yanga 0 - 0 Al ahly. Kwao Al Ahly 2 - 0 Yanga Taifa Yanga 1-0 Al Ahly Kwao Al Ahly 1 - 0 Yanga , tukatolewa kwa matuta 5 - 4. Apo Al ahly...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Tumeangalia mechi ya Al Alhy na Simba huku wachezaji wazawa watatu tu Aishi Manula, Jonas Mkude na Rashid Juma wakipata nafasi ya kuanza wengine waliobaki ni hawa tunaowaita wa kimataifa, kwa muda...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Waweza sema kama Beberu (Aussems) hajakidhi matakwa ya Mo na Manara kuifanya Simba iwe kama Mazembe au Barcelona basi Mo akampigia magoti Masoud Djuma Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
3 Replies
842 Views
Muna ona aje?Kariobangi sharks kweli wata beat Everton,I think everton inaeza shinda maybe 2:1 Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa tofauti kubwa ya kiwango walichoonyesha dhidi ya AS vita na kisha Al Ahly, hawataweza kuwafunga hata hapa nyumbani, watachezea japo sio goli nyingi kama za ugeninu wakijitahidi Wakienda...
5 Reactions
14 Replies
3K Views
Simba ni kama WAKURYA wababe wakiwa TARIME wakija dar wanauza mayai. Ile ni aibu KUBWA haijawahi kutokea kwa kilichofanyika sinto kaa kuwasamehe hawa watu bora niwe shabiki hata Wa netboll...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Kwa muda wa kama wiki tatu hivi nimeanza kuangalia ligi kuu ya nchini ujerumani. Game ya tarehe 26 january kati ya Freiburg na Hoffenhaim iliyoisha kwa ushindi wa hoffenhaim kushinda 4-2. Hii game...
1 Reactions
2 Replies
905 Views
Tumekusia juzi kwenye mkutano maneno uliyosema kuhusu ndugu yetu aliyeumizwa na risasi 32. Ila nakukumbusha yaliyomkuta mwenzio Alhaji Omary Juma wa Yanga . Una nyumba ya vioo halafu unaanza...
1 Reactions
0 Replies
815 Views
Nikiwa Shabiki kindakindaki wa yanga.. nimeamua kuweka bet iwapo underdog fc watamfunga Al ahly.. basi ntampa mdau dadangu aende kujipigia mpaka achoke! najua haiwezekani coz mbumbumbu...
9 Reactions
90 Replies
6K Views
Nilishasema huyu mtu hana tofauti na malinzi, Rais alikuwa Sir leodiger Tenga tu hawa wengine wamekuja kuzoa utajiri tu Kumbe alimfungia wambura ili azitafune bila kelele
3 Reactions
65 Replies
5K Views
Wapenda sport wenzangu mnatambua kuwa kesho 2/2/2019 kuna mchezo kule Misri. Sijaona Chanel ya TV ikijinasibu kuturushia matangazo hayo mubashara kama ilivyokuwa kule Congo. Hivi ni Chanel gani au...
1 Reactions
23 Replies
8K Views
Hawa tff wamekuwa sababu kubwa ya wadau wa Michezo kukimbilia mahakamani, hebu angalieni suala la kakolanya wamelikalia kimya huku mchezaji akiendelea kuharibu kipaji kwa kukaa bench, wanategemea...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…