Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kuna wimbo mmoja nimepita sehemu katika mishe mishe zangu nikausikia.. Unaimbwa hivi. Nanukuu.. Mwambie farao nimeokoka sitorudi tena misri naenda Kanani!! Sasa nikajikuta nashtuka nikawaza kuna...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ball control ndio mchawi namba moja kwa vijana wetu almost timu zote za premier league sana tatizo ni hilo Kwa Sie tuliocheza mpira miaka ya nyuma kidogo ilikua afadhali sana na tulikua na...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari ya alasiri, Mimi ni mama ninataka kujiunga na mashindano ya magari ninaomba kujua ninapaswa kufanyaje ili nipate nafasi ya mimi kushindana. Ninapaswa niwe na sifa gani? Nina leseni na...
3 Reactions
18 Replies
4K Views
SWALI 1: Umesema una mipango ya kuimarisha kikosi chako katika msimu ujayo ikiwemo kuongeza nyota kadhaa. . Je mipango yako itakamilika vipi wakati klabu haina pesa? na Je una njia mbadala yoyote...
7 Reactions
22 Replies
3K Views
Ni wazi kwamba Mo Dewji anapigwa hela zake na matapeli yaliyomzunguka. Mazee ya ten percent yameokota wachezaji feki huko nje kwa kushirikiana na mzungu wanadai wanawafanyia majaribio yanawapa...
18 Reactions
78 Replies
10K Views
TAARIFA YA MONACO KUMFUTA KAZI THIERRY HENRY NA KUMRUDISHA LEONARDO JADIM "Klabu yetu inapitia changamoto kubwa sana. Niko tayari kukiri kwamba mimi binafsi nawajibika kwa hali hii. Tunapaswa...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Kiukweli binafsi mimi ni mpenzi wa Simba, ila kusema ukweli ni kuwa mpira wa Tanzania bado sana. But hamna anaepinga kwa sasa Simba ni club bora hapa Tanzania kwani mpira wao uwanjani wanaonana...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Amsema Yanga sio maskini hadi kuwa ombaomba. Amesema katika uchunguzi wake wa juujuu amegundua Yanga inamashabiki zaidi milioni 5, amesema mashabiki hao kila mmoja akichangia 2500 kwa mwezi ni...
6 Reactions
23 Replies
4K Views
Usiku wa siku ya Al hamisi kuamkia siku ya Ijumaa ya Mechi yao dhidi ya Bandari FC kwenye michuano ya SportPesaCUP. Wachezaji 7 wa Simba SC wakiongozwa na Maestro mwenyewe Haruna Hakizimana...
3 Reactions
13 Replies
5K Views
Wakuu, Waziri Mkuu was zamani wa Kenya, Leo alikuwa mgeni rasmi kwenye fainali za sportpesa, mara tu baada ya kikabidhi kombe kwa Kariobangi Sharks, ameonekana anataka kuanguka, ilibidi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naangalia mechi hapa kati ya simba na mbao kiukweli vijana hawa wa simba sc kuna haja ya kujipanga haswa kwa michuano ya kimataifa maana kuna wachezaji hawajitumi kabisa mtu kama kichuya bado...
5 Reactions
53 Replies
5K Views
Binafsi kama shabiki mkubwa wa Yanga bado namuunga mkono kocha Zahera kwa uamuzi wake wa kukataa kumrudisha kakolanya kama kipa wa Yanga. Kitendo alichofanya hakivumiliki na kilileta madhara...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Klabu ya soka ya Simba inakabiliwa na ratiba ngumu ya michezo yake ya ligi kuu pamoja na ile ya kimatafa ambapo mara baada ya michuano ya Sportpesa Super Cup inayoanza 22/01/2018 hadi 27/01/2019...
2 Reactions
8 Replies
7K Views
Nimekata tamaa ni wachezaji wa klabu ya Simba kutoka na aina ya uchezaji wao wa kutaka kushangiliwa "Show game". Wachezaji hawajui kuwa kila dakika timu inataka goli wanatumia muda mwingi kupiga...
12 Reactions
91 Replies
9K Views
Haiwezekani hata kombe dogo tu hili tunakosa Ivi mpira wa Tanzania mbona haubadiliki miaka yote Tunakwama wapi ? Nani ameturoga yaani wachezaji hawana ubunifu kabisa aise ..! Sent using...
6 Reactions
56 Replies
4K Views
Niulize chochote kuhusu offer za meridianbet nitakusaidia au option yeyote inayokusumbua
2 Reactions
66 Replies
29K Views
Mo kawekeza hela,wachezaji wazuri ila hamna matokeo mazuri,kocha hana haja kulaumu mtu ,hana mbinu mbadala Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
22 Replies
4K Views
-Kuna uwezekano klabu ya Eveton ikacheza na klabu ya Simba badala ya bingwa wa mchuano ya Sportpesa Super Cup 2019 kutokana na timu zote ambazo zimeingia Fainal hazidhaminiwi na kampuni hilo...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Kwa wale mashabiki halisi wa Simba (Mnyama / wekundu wa Msimbazi) hiki ndicho kikosi kitakachokabiliana na AFC Leopards ya Kenya uwanja wa Taifa kuanzia saa 10 na robo jioni. Sent using Jamii...
7 Reactions
179 Replies
22K Views
Miaka yote tumekua tukipeleka kikosi cha pili sportpesa lakini this time tumepeleka mashine zetu zote...inatokeaje tunafungwa na bandari tena kwa overcome hivi mbna hii aibu kubwa kwa taifa...
3 Reactions
53 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…