Huyu jamaa anajiita mchambuzi wa soka hapa Tanzania.. Lakini uchambuzi wake ni uchambuzi wa kubomoa, kuponda na kuondoa ari ya soka waliokuwa Nayo watanzania ...uchambuzi uliojaa fitina na chuki...
Simba msimu huu ina kikosi kizuri (sio kipana) kuliko ilivyowahi kutokea misimu mingi sana iliyopita. Lakini Simba ya msimu huu ni mbovu sana kuliko Simba ya misimu mingi iliyopita. Hii inakatisha...
Kipigo cha mbwa mwitu alichopewa Simba na AS Vita Club kilitabiriwa na mtaalamu wa uchambuzi wa soka ndugu Shaffi Dauda mara tu baada ya makundi kupangwa.
Shaffi aliweka bayana kabisa kwamba...
Wanasema mwanadamu hutakiwi kuwa kasuku kwenye maisha,sababu kasuku ni ndege mwenye maneno mengi lakini hawezi kuruka angani umbali mrefu.
Tai "Eagle" ni ndege asiye na maneno mengi lakini huruka...
Nilishasema kitambo ili soka la nchi hii lifanikiwe inabidi tuwe na mipango thabiti kuelekea mafanikio..basi kati ya moja ya mikakati iwe ni kuzifutilia mbali hizi klabu mbili kubwa kongwe na...
Kwa hili la kufungiwa na FIFA sijui ataenda mahakama gani tena imrudishe kujihusisha na soka,
Nadani ni wakati wake sasa kijihusisha na netbal, au hata kua mishen town tu, mana alishazoea kupiga...
Wakuu, mtakumbuka timu ya Azam ilipata kushiriki ' bonanza ' kama hizi huko Uganda na Zambia.
Wakubwa, Yanga na Simba, wakalalamika na kwa kuwa wanasikilizwa na TFF Azam FC ikapigwa marufuku. Na...
Mshambuliaji mpya wa klabu ya Cardiff City aliyeweka rekodi ya usajili ndani ya timu hiyo, Emiliano Sala alipata nafasi ya kutuma ujumbe mfupi wa sauti ndani ya ndege kwa baadhi ya ndugu na...
Hivi kweli kocha anayetafuta ubingwa wa sports pesa anatumia michuano hiyo kama trial match kwa shopping ya defenders na attackers ama kweli Manara na profesa wake Aussems!
Sent using Jamii...
Edo Kumwembe, najuwa mnamfahamu vizuri sana huyu mchambuzi, ni mmoja katika wachambuzi bora kabisa hapa Tanzania + Shaffii Dauda...na bila kumsahau Adriano Gulliani, hutu ni Makamu Raisi AC...
Wadau naombeni mwenye kujua anieleweshe mimi hapa,
Ivi timu inayochukua ubingwa wa kombe la spotpesa inachukua kiasi gani cha pesa?
nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
WAMBURA NA MPIRA!
1997, uwanja wa Uhuru ulifanyiwa ukarabati na baadaye yakafanyika mashindano maalumu kwa ajili ya kuuzindua. Kamati iliyosimamia hayo, iliongozwa na mtu mmoja aliyeitwa Michael...
Kocha wa timu ya Monaco ya nchini Ufaransa, Thierry Henry asimamishwa kazi
Hatua hii imechukuliwa ikiwa ni miezi 3 tangu apewe jukumu la kukinoa kikosi hicho cha AS Monaco
Kwa muda wote huo...
Ikiwa nyumbani Monaco imepigwa bao 4 kwa nunge na timu mbovu ya Club Brugge ya Belgium , Kipigo hiki kinamaanisha kwamba Henry hajawahi kuonja ushindi tangu ateuliwe kufundisha Monaco , ameanza na...
Kuelekea hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa Afrika, baada ya kuwakwaruza vilivyo JS Saoura ya Algeria, kwa mikwaruzo mitatu bila majibu, DOZI Kimataifa kuendelea.
..Mwana Kulitaka Mwana...
nani ni straika/foward bora kuliko mwingine kati ya hawa hapa???
HERITIER MAKAMBO~YANGA,,, MEDIE KAGERE~SIMBA,,, ENOCK ATA~AZAM na AMBOKILE~MBEYA CITY.
weka ushabiki pembeni, kuwa mkwel,,, tujue...
Julai 2003, Chelsea FC ilinunuliwa na bilionea wa kirusi, Roman Abramovich, kutoka kwa 'babu madevu', Ken Bates. Septemba mwaka huo huo, RA 'akamnunua' mtendaji mkuu wa Manchester United, Peter...
Wakimataifa juzi wamebamizwa na Kaliobangi kutoka kenya kwa bao 3-2 Wakaugeuza Uwanja wa taifa kuwa Jukwaa la Ngumi.Ndio maana Fifa inataka neno sports lisitumike badala yake kuwe na neno...