Mwaka unaisha nikiwa mpenzi wa hasa mziki nakuletea nyimbo 20 zilizonigusa sana mwaka 2018 nawe unaweza weka zako
20- kwangwaru by hermonize
19-call what you want by taylor swift
18-perfect by ed...
Wadau, kuna baadhi ya watu wanabeza uwezo wa samatta kuwa ni wa kawaida, nadhani hawamfatilii , jamaa kwa sasa yuko kwenye kiwango cha hali ya juu hata kucheza Epl, na ndio maana club yake wamempa...
UONGOZI SIMBA SC WAWAMWAGIA FEDHA WACHEZAJI
Uongozi wa Mabingwa Tanzania Bara Simba SC kwa kushishirikiana na Muwekezaji wao Mohammed Dewji (Mo) umetimiza ahadi yao kwa kikosi Cha Simba SC kwa...
Wakuu habar za mda huuu baada ya salam nitoe pole kwa Mashabiki wenzangu wa Simba kwa kutolewa ktk mashindano ya shirikisho japo nimefirahi timu yetu ya nyumbani ya mkoa wa kigoma kusonga mbele...
Baada ya chama kutupa zawadi ya Christmas wana msimbazi ni wakati wa kumuuliza anataka zawadi gani kutoka kwetu
Je unataka kukaa madale ?
diamond tutamtimua
Je unataka kuwa msemaji wa simba ...
Baada ya simba kupata gori moja na mpira kuisha mashabiki wa Simba walifurah sana swali hv Nkana wanawaaonaje kwamba itakuwa rahsi kuwafunga mechi ya marudiano
Draw ya makundi ya kombe la klabu bingwa barani Afrika (Caf Champions League) itafanyika Cairo Misri siku ya Ijumaa December 28 na klabu ya Simba itawakilishwa na mwenyekiti wa bodi Swed Kwabi...
Kipindi nakuwa nilitokea kuwa mnazi kindakindaki wa timu ya Simba, ingawa kwa sasa sio kwa asilimia zile zile nilizokuwa nazo kipindi kile. Wakati ule nilitokea kuvutiwa na baadhi ya Majina ya...
Me ni mshabiki name mwanachama wa Yanga SC, but nilipata wasaa wa kwenda Taifa na kuangalia game ya Simba na NKANA, dah Nimejifunza mengi Sana,
..moja, Mpira ni BIASHARA NZURI SANA UKIIJULIA...
MIKIA kila jambo wao wanaona jipya! Wakimataifa, wababe wa soka nchini tushaujaza uwanja wa Taifa mara kibao, tushacheza group stage michuano inayoandaliwa na CAF, Kila hatua ama jambo mnaloliona...
hivi nyie vyura mtacha lini ushoga.Jana mkana alivyoshinda gori la kwanza mlishangilia mpaka wengne mlijinyea. Lakin mkubwa chama alivyo wakalisha wanaume zenu red devils mkanza kija kwa simba...
Kutokana na taarifa ya kuondoka kwa mshambuliaji wa kimataifa wa club ya Simba, Emmanuel Arnold Okwi nikiwa mtanzania mzalendo na mwenye kuitakia mafanikio timu pekee inayowakilisha Jumuiya ya...
kwa mara ya kwanza nimewekeana na mtani wangu kiasi cha shilingi laki moja endapo mtabeba ubingwa
ni kwel ligi ni ngumu lakini nawaamini hasa ukizingatia yanga katuacha point nyingi...
Kuna uzi ambao bado una hang hapa ubaoni uliowekwa na ndugu yetu aka Louis II kua mbwana Samata kijana wetu anaecheza huko belgium ati hana lolote na kwamba ati anabebwa na bahati tu ! Hakuishia...
Guinean club Horoya AC staged one of the greatest African club comebacks to defeat Libyan visitors Al Nasr 6-2 in Conakry on Sunday and book a Caf Champions League group place.
Trailing by three...
Simba leo ilikuwa waondoke. Na aliyekuwa awaondoe ni mzee wetu mmoja wa hapa hapa Tz tena Dar.
Wale makomandoo waliozuia watu wetu wasiingie Taifa tutawatafuta tu tuwachape kama mlivyowachapa...