Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ni mapumziko hapa Chamanzi Kcca wakiwa wanaongoza kwa goli 1-0 huku mtibwa wakionyesha kiwango kibovu kabisa kuanzia benchi la ufundi hadi wachezaji ndani. Kwa mpira huu ni ngumu sana vilabu vya...
6 Reactions
57 Replies
4K Views
Ndoto ya muda mrefu ya kiungo fundi Tanzania mwenye Kipaji cha kuzaliwa Haruna Moshi Boban kukipiga ndani ya klabu kongwe na yeye historia ya kipekee Afrika "YANGA" imetimia Mpaka sasa dk ya 10...
3 Reactions
14 Replies
4K Views
Kitendo kilichotokea leo sijawahi waza kuna siku ntashingilia mikia.bao la chama lilinifanya nishangilie huku nmekunja uso na kujawa huzuni sana. Sielewi ilikuaje lakini nlijikuta nmeamka na...
9 Reactions
8 Replies
3K Views
Mechi dhidi ya Ruvu shooting alifunga bao la ushindi kavua jezi, kashangalia baada ya mechi kama kachukua ubingwa. Hizi sio tabia za wachezaji proffesional anaonekana anabahatisha. Ona Chama...
14 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari zilizonifikia hivi punde tu zinasema kwamba ' Makomandoo ' wa Simba SC katika hali ya Kuonyesha kuwa hawana ' Utani ' kabisa hasa kuelekea Mechi yao ya Kesho dhidi ya Nkana Red Devils jioni...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
Ama kwa hakika awamu hii inasikitisha mno ! Kulikuwa kuna juhudi zilizofanyika ili game ya Simba vs Nkana ichezwe jumamosi au jumatatu ili kuwapa nafasi watanzania wengi kuhudhuria mapokezi ya...
18 Reactions
59 Replies
11K Views
Ebwana wanaJF Mzuka! Leo hapa Copenhagen mchana nilikuwa najinyoosha kidogo nikakutana na waafrika wenzangu wanne. Nikamuomba mmoja anipige picha kwenye simu yangu. Baada ya kunipiga tukaanza...
9 Reactions
10 Replies
4K Views
Hawa Nkana red devils kesho watavaa jezi gani wakuu? Kwa ule mpira walionesha wiki iliyopita kwa mtu yeyote mpenda mpira mzuri, mpira wa burudani basi ile ni timu ya kwenda kuipa support? Narudia...
2 Reactions
82 Replies
7K Views
Tumejitahidi hadi hivi sasa kwa Nguvu za Giza na kuna Goli 2 ila na Wao pia watapata Goli 1 hivyo ' Upepo ' bado unaweza ukawa siyo mzuri Kwetu. Na hali hii imekuwa ngumu hivi Kwetu kwakuwa kuna...
4 Reactions
39 Replies
6K Views
TUZO YA MESSI ZAWADI PEKEE AMBAYO ANASTAHILI MWANADAMU HUYU NA NIHZRATH NTANI JNR Jioni moja, ukiwa umejipumzisha nyumbani. Umri wako sio ulionao sasa, wakati huo. U mzee ,mwenye mvi nyingi...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Kufanya biashara ya kuonesha mpira wa miguu; Fursa pekee iliyoko nyuma ya pazia! Mpira wa miguu ni mchezo unaopendwa sana hapa duniani. Ni mchezo pekee ambao unawashabiki wengi tena wa Lika zote...
7 Reactions
1 Replies
4K Views
Simba itapata bao Tu bila shida lakini kuwazuia Nkana wasipate bao ndiyo itakuwa kazi ngumu Kwa Simba.
8 Reactions
282 Replies
26K Views
tarehe 19/12/2018 arsenal draw no bet Chelsea GG bayern munich over 1.5 first half GOODLUCK [emoji94]
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ili jiji litulie na sisi yanga tuwe na amani na mwendelezo wa kipigo kwa wapinzani wetu nkana wameingia hapa jana na sasa wanakutanishwa na mzee wetu mutu ya kongo. Mlidhani kwa kumtambua yule wa...
7 Reactions
49 Replies
6K Views
Kwa walioangalia game Ya Juventus Na Young Boys Juzi ambapo kama kawaida Cr7 Ameanza mwanzo mwisho Cha kuuliza hapa watu wanapata wapi uthubutu wa kulinganisha uwezo wa Messi Na Christian Ronaldo...
11 Reactions
109 Replies
12K Views
Zingatia:Kabla sijaenda mbali zingatia hili-katika mara zote walizokutana Simba SC haijawahi kuifunga Nkana au kutoa droo pale Kitwe,Zambia.Halikadhalika NKANA HAIJAWAHI KUIFUNGA au KUTOA DROO NA...
16 Reactions
70 Replies
12K Views
Yule kiongozi wa vyura ambaye yumo katika orodha ya washtakiwa wa mheshimiwa waziri, yeye pamoja na mchezaji anayecheza nafasi ya beki katika kikosi cha timu ya Nkana FC, wameonekana mkoani...
2 Reactions
22 Replies
6K Views
Wakuu utabiri wa hali ya hewa jijini Dar es Salaam unaonesha tarehe 24/12/2018 kutakuwa na jua kali na hamna dalili yoyote ya manyunyu wala mvua. Kuna mtu huwa anategemea mvua miaka yote ili...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Yule mchezaji wa kimataifa anaewasumbua wazungu samagoal ametimiza miaka 23 Leo hongera kwake Ikumbukwe samata amejifunga mkataba mpya klabuni hapo hadi 2021 ambapo kwa mwezi anakula milioni 500
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ole Solskjer,ameleta furaha kubwa na ari ya ajabu,ushindi wa bao 5 nisalam tosha kwa Jose,kwa walimchoka
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…