Comeback ya nguvu kama kawaida ya mabingwa wa muda wote Young Africans kupitia magoli ya Shaibu Ninja na Makambo the Congolese international,baada ya kuwa nyuma kwa goli moja hadi kipindi cha...
Timu inaelewana na kizuri zaidi timu inachukuliwa kama underdog hivyo mpinzani akija na mentality hii lazima ageuziwe matokeo kama alivyofanyiwa vijibibi vya Turin palepale kwao akala kipigo.
Man...
Espanyol 0 Barcelona 4
Messi kaingia kambani x2 na ametoa assist Ya goli la pili la Dembele
Kwa walioshuhudia jinsi Messi alivyofight ktk game hii, ambayo kwake Ni game yake ya pili tangu atoke...
Hapa ni baadhi ya wachezaji wa Ufaransa waliobeba Kombe la Dunia katika ardhi ya nyumbani mwaka 1998. Je ndugu yangu mhenga unamkumbuka nani hapo kwenye picha?
Kwanza kabisa ninakupongeza kocha Zahera na wachezaji wote kwa mshikamano mlionao tangu ligi ilipoanza mpaka sasa hamjapoteza hata mechi moja. Kwa wapenzi wa Klabu jirani zetu kila mara...
Taifa letu pendwa limekuwa na timu kadhaa za taifa katika michezo mbalimbali miongoni mwao ni za soka, mpira wa kikapu ,riadha, kuongelea na kadhalika.Mara nyingi timu za soka zimekuwa zikipewa...
Habari members wenzangu!!!
Matokeo ya mechi zilizochezwa leo 10/12/2018 kama ifuatavyo.
Morocco 5-4 Ivory Coast
Egypt 4-2 Madagascar
Nigeria 4-2 TANZANIA
Baada ya kupoteza mechi zote tatu katika...
Mbwa koko alivyookoa bao mechi ya ligi
ππππ€£π€£π€£
Mbwa koko alivyookoa bao mechi ya ligi Argentina
7 Disemba 2018
Tazama wakati mbwa koko alipookoa bao katika mechi ya ligi ya daraja la tatu nchini...
Mtazamo Wang naona Azam anachkua TPL
1.Aina ya Coach waliyenaye
2.Wana vipaji vingikwa sasa hasa vijana ambao kasi yao Du hatari.
SIMBA na YANGA wajiandae kisaikolojia
Yanga walibahatika sana kupata saini ya huyu mchezaji, mimi Simba lakini Makambo ni habari nyingine, huyu jamaa akicheza timu kama Totenham au Man U basi naona kabisa watu watakavyosugua benchi...
Kwanza na'declare interest mimi ni shabiki wa Simba kindakindaki!
Nirudi kaika mada juu..Nimemtazama jama (Mwaikimba) katika mechi kama sita hivi za karibuni. Amebadilika sana! Hakosi magoli ya...
...Wakuu salaam!
Kuna mdau kaanzisha mada na kuonesha Yanga ni namba 1 kwa kuwa na washabiki wengi, binafsi nakataa. Simba ndiyo inaongoza kwa kuwa na washabiki wengi.
Sasa ili kuweka rekodi...
Huu ni uwanja wa La Bombonera, unaambiwa mashabiki zaidi ya 49,000 walijazana hivi kuangalia mazoezi π±ππ ya timu yao Boca Juniors.Thats football in its best manifestation
Tomorrow is a second...