Habari members!!!
Nasikia YANGA wamepigwa Goli 2 Dhidi ya Sumbawanga.
Golikipa alikuwa Kindoki.
Kwa wale waliofuatilia hii Mechi mtujuze,Upande WANGU sikuifuatilia hii kuhusu kubikiriwa wanayanga.
Mwinyi Zahera ambaye ni Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga kwa kweli anaijua sana Saikolojia ya Wachezaji. Ikumbukwe kuwa, mara alipopata nafasi ya kazi ya Ukocha Mkuu kwenye Klabu ya Yanga, Klabu...
1.imekoswa mdhamini ligi Kuu Timu zina suffer
2.Kufungia watu Maisha wasishiriki soka (fitina na visas)
3. Kuendekeza migogoro (wambura)
4. Kukosa mipango thabiti ya kukuendeleza soka.
5...
Muda si mrefu wale wababe wa kutupiana masumbwi wataingia kuonyeshana ubabe. Jamaa wametambiana muda mrefu sana na sasa umefika wakati kutimiza tambo zao. Kila mmoja ana historia yake na anao...
Kama tukiamua kuweka nguvu zetu kwenye mchezo mmoja ambao watanzania wenzangu mnaona tunaweza kuumudu na kutufikisha mbali kimataifa mnadhani ni mchezo gani tungeuwekea nguvu kubwa na kuupa...
Simba wanashiriki kilabu bingwa nawataadharisha msije na visingizio hapo mbeleni najua mtasema tulikuwa tanshiriki klabu bingwa nawaambia ukweli msipoangalia mtamaliza ligi nyuma ya azam na...
Mmiliki wa klabu ya African Lyon, Rahim Zamunda Kangezi, anapambana kuihamisha timu hiyo kutoka Dar es salaam kwenda mkoa mwingine kwa sababu ya kukosa mashabiki wa kuiunga mkono katika jiji la...
Mambo vipi Mikia na washkaji zangu wa Jangwani. Ujue kuna ukimya mmoja ambao siuelewi elewi.
Vinaongelewa vingi sana kuhusu CAF kana kwamba wataenda kutwaa ndoo ya CAF hivi karibuni ili hali Dk...
MBappe won a worldcup with his performance.
Ronaldo won a CL trophy with his performance.
Messi played an outstanding season with 2 trophies
Salah p,ayed an outstanding season, leading his team in...
Yaani tarehe Nne ( 4 ) Mtu pia ' Kapigwa ' hizo hizo goli Nne ( 4 ) kama kasimama vile. Sasa hofu yangu tu ni pale Siku TFF nao wakiipanga mechi ya Simba Sports Club na wasiojua Bondeni Bwawani...
....Napenda kuandika juu ya watani zangu Simba SC na Kuwapa Hongera juu ya Ubora na Uwezo mkubwa Walionao na Kufanikiwa kuwapa Mzigo wa Kutosha Mbambane wa Eswitini.......Ukweli usiopingika Simba...
Wana michezo wenzangu salaam.
Ukilinganisha matatizo inayopitia timu ya Yanga na mafanikio inayoyapata, bila shaka yoyote ndipo utaamini nafasi ya kocha uwanjani.
Mimi siku zote naamini mpira ni...
Bill Shankly
KILA mtu aliamini hatuendi popote, wengi walitarajia kuona tunashindwa kufuzu hatua ya 16 ya michuano ya Ligi ya Mabingwa msimu wa 2004/05.
Njia yetu ilikua ni ngumu, kundi letu...