Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kelele za kumtaka wenger aondoke zilitapakaa kila kona kutoka kwa mashabiki wa Arsenal, natamani kujua baada ya Wenger kuondoka mnaionaje Arsenal? Imeanza kuonesha dalili ya kuwa mnavyotaka?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF), limetangaza ratiba ya michuano ya mabingwa wa Afrika na Kombe la Shirikisho barani Afrika katika ngazi za vilabu. Katika ligi ya mabingwa barani Afrika...
4 Reactions
94 Replies
17K Views
Jamani kitaa kuna fursa nyingi zinazoitaji uthubutu tu, unaanza kufuta jasho kwa noti. Wazazi wengi wa kileo wanapenda kuwarisisha watoto Wao ujuzi wa kitu Fulani. Sasa mid nimeona kuna fursa ya...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Tuwatakie mechi nzuri yenye fanana na kila lililo shari Mungu awaepushie.Binafsi nawatakia ushindi mnono wa goli mbili tu. Wewe je
1 Reactions
30 Replies
3K Views
ALL THR BEST MTANI HUWA KWENYE UTAIFA SINAGA ROHO MBAYA MH AMEMSHUKURU LOWASSA KUWEPO KTK MAENDELEO YA NCHI NA KUSHAURI WAONDOE UÇHAMA KWENYE MAENDELEO YA NCHI ELSE WATAISHIA SEGE........ sasa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mzuqa Sasa vile vinywaji vimekosea nini hadi havibamize chini? Kanichekesha sana. Kwanza kapiga buti kreti ya kwanza ya vinywaji halafu akainua kreti ya pili nakuibamiza chini in a wild...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Huyu mama anachezesha vibaya, Angalia hata sasa hivi mechi inayoendelea ya wanawake CUF south Africa vs Mali ZBC 2
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Leo kwenye mechi kati ya simba sc na Lipuli fc kumetokea vitendo vya kishirikina.Ilipofika muda wa mapumziko mchezaji wa simba Dilunga alikataa kutoka kwenye pitch ya uwanja mpaka pale wachezaji...
2 Reactions
27 Replies
7K Views
Mourinho azua vituko tena Old Trafford Arsene Wenger alifukuzwa uwanjani kwa kupiga teke chupa za maji alipokuwa meneja wa Arsenal walipokuwa wanacheza Old Trafford mwaka 2009.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wa ndugu, Naizungumzia Taifa Stars kuelekea Afcon 2019. Kwanza Taifa Stars ikienda sare dhidi ya Uganda mwakani tayari imeshajitoa wenyewe kuelekea Afcon. Mungu ajaalie Taifa Stars 5-0...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
MENGI SANA JARIBUNI KUBAKIZA MACHACHE JAMANI WENGINE WANAFUNGUA WANAKUTA POST ZA 2012 WANAVAMIA SIO KWA UBAYA WANAJUA ZA KARIBUNI MSAADA PLS
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nikili wazi kabisa mm ni mfatiliaji wa mechi wanazolusha azam tv iwe ligi ya spain, ligi kuu tanzania bara au mechi za CAF kiukweli kabisa wamejaliwa watangazi wazuri wa mpira. Mwanzoni wakati...
1 Reactions
34 Replies
10K Views
Nikifikiria mechi iliyo mbele yetu ya kufuzu AFCON, naona ni mechi rahisi sana kwetu. Lakini kinachoniwazisha zaidi ni kwamba ni mechi ambayo kwanza Refarii atakua na wasiwasi sana na maamuzi yake...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Je! Unakubaliana na mimi kuwa huyu ndiye king of football kuwahi kutokea since dunia iumbwe!! Wachache sana watakuja kupinga lakini huu ndiyo ukweli wenyewe.
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna mtu humu simkumbuki aliwahi kuandika uzi usemao "Taifa starrs hatuendi Cameroon" ,ilikuwa hata kabla ya mechi na lesotho na alitoa pointi zake, na aliongea kwa kujiamini sana, naanza...
0 Reactions
1 Replies
550 Views
Jezi za mbabane zinauzika kama njugu huko mitaa ya twiga Tukutane taifa Uzalendo mwisho leo
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo kutakuwa na mtanange wa kukata nashoka kwenye moja ya viwanja bora kabisa nchini, uwanja wa kaitaba huko bukoba, yanga atakuwa akitafuta points tatu muhimu ili kujikita kileleni mwa ligi na...
11 Reactions
204 Replies
17K Views
2566 League One Sunderland - Barnsley 1X 1.40 2556 League One Bristol Rovers - Gillingham Over(1.5) 1.24 1195 UEFA Champions League Bayern Munich - Benfica Lisbon 1 1.32 1280 UEFA Champions League...
2 Reactions
1 Replies
615 Views
Game 2 8193 Primera Division Real Sociedad - Celta Vigo X2 1.90 4121 Serie A Cagliari - Torino X2 1.38 5523 Liga 1 Madura United - Psis Semarang Over(1.5) 1.16 4970 Ligue 2 Metz - GFC Ajaccio 1...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…