Ilikuwa kama vile Morata asajiliwe na Man Utd na Lakaku asajiliwe na Chelsea. Lakini imekuwa kinyume chake. Man Utd wamemsajili Lakaku na Chelsea wanamsajili Morata.
Wapo wanaodai kuwa Lakaku ni...
Watu wana maneno sana wakati Ronaldo yupo Real Madrid akifunga magoli 40+ kwa msimu kuna baadhi wakaanza maneno eti Ronaldo anabebwa na kina Benzema kwani wanalazimika kumpasia yeye tu ili afunge...
Hivi walitumia vigezo gani walitumia kumchagua uyu ndugu karia
RAIS wa taasisi kubwa kama tff anashindwa kushwawishi wadhamin kuja kuwekeza pale
Yaani yupo yupo tu na program anazozileta zisizo...
Wakati Ronaldo Luiz Nazario De Lima aliposajiliwa Inter Milan mwaka 1997 alikuta jezi namba 9 inavaliwa na mshambuliaji mahiri wa Chile, Ivan Zamorano.
Hivyo kutokana na sababu za kibiashara...
Patashika la mtifuano wa ligi kuu ya Tanzania bara TPL, linatarajia kutimua vumbi leo Ijumaa Novemba 23, 2018 na kesho kutwa ambapo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam mabingwa wa nchi...
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imepitisha majina ya wagombea nyadhifa mbalimbali za uongozi ndani ya klabu ya Yanga.
Nafasi hizo ni zile za Uenyekiti, Umakamu na zile za...
-Basi la mashabiki lililoenda Lesotho kuisapoti timu yetu ya Tanzania kwenye mchezo kufuzu Afcon 2019 kupitia Mbeya hadi Afrika Kusini sasa limegeuka basi la Walevi na wafanya Starehe. Basi hilo...
Timu ya mpira wa miguu wa Ufukweni ya Tanzania imetwaa ubingwa wa michuano maalum ya Beach Soccer ya Copa Dar Es Salaam 2018 baada ya kuichapa Uganda 2-1 kwenye mchezo wa fainali
Nafasi ya tatu...
Huyu jamaa hana uwezo wa kucheza timu kubwa! Hajui kukontroo mpira, ana touch mbovu, ni mzito sana na mwisho huwa haonekani kwenye mechi kubwa, kwa kifupi ni mzigo na hafai kuwepo kwenye timu...
Kombe pekee walilokuwa wana nafasi ya kushinda ni lile la Carabao Cup ambalo wameondoshwa jana baada ya kufungwa 2-1 na Bristol City ya daraja la kwanza.
Hivyo amebaki kwenye Michuano ya Ligi...
Alex sanchez ni miongoni mwa majina ya wacheza yanayo tajwa sana katika dirisha hili dogo la Usajili na inaeelekea Mchezaji huyu mashuhuli wa kimataifa wa Chile atamwaga wino na mashetani wekundu...
Mnamo Novemba 21, 2018 TFF iliiandikia barua klabu hiyo na kuitaka ibadili jina lake kutoka 'Young Africans Sports Club' na kuwa 'Young Africans Football Club'
Katika barua hiyo iliyoandikwa na...
Wakuu leo naona tunapigwa kabisa kwakweli tujipange kuvumilia maumivu
=====
UPDATES
Kikosi cha timu ya Taifa cha Tanzania 'Taifa Stars' leo kimeshindwa kuandika historia ya kukata tiketi ya...
Naweza kusema TFF imesahau majukumu yake.
Haiwezekani kila kukicha ni malalamiko kwenye taasisi hii ya kisoka.
Hebu angalia kuanzia uendeshaji wa ligi za mikoani, madaraja ya chini na hasa daraja...