Kocha Ndyo kikwazo!! Amepanga Kikosi Mavi Tena Mavi!!
Sitaki Hata Kumsikia Yule Kocha Na Kuanzia Leo Sifuatilii Mechi Za Stars Mpaka Akibadilishwa!!
Haiingi Akilini Bado Dk 10 mpira Uishe Ndyo...
Huu ndio ukweli uwezo wa kocha Amunike ni mdogo na hawezi kuleta mabadiliko yoyote, ni aheri tungebaki na kocha wetu mzawa Salum Mayanga japo naye alikuwa na madhaifu yake fulani ambayo naamini...
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyemba amesema akifika Tanzania atamueleza Rais wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kuwa kilichotokea kwenye mchezo dhidi ya Lesotho...
Habari zenu wadau,
Hivi hii timu ya taifa huwa inakosea wapi, katika hali ya kawaida si mshabiki sana kiasi ya kuwa napoteza muda kuangalia game za mpira, hata pale inapocheza timu ya taifa ya...
Mshambulizi Hatari wa Mafarao wa Misri na Wekundu wa England Mohamed Salah amelazimika kumuomba radhi kupitia Ukurasa wake wa Twitter Binti mdogo aliyejiri Uwanjani na Bango lililomtaka awahi...
moja ni wakati wa Rais Ali Mwiny timu ya simba ikapoteza na mzee akakata mguu akatoa na ule msome wa kichwa cha mwendawazimu kila kinyozi hujifunzia kunyoa ,mbili rais Kikwete mpaka kamlipia kocha...
Naomba niweke wazi yaliyojaza moyo wangu!
SIKUFURAHISHWA na Kauli za Mkulu ,sipo alipoongea na wachezaji wa Timu ya Taifa!Kwangu zile zilikuwa ni kauli za kukatisha tamaa!
Kwa hatua hiyo mimi na...
Tunaomba TFF imuondoe kocha mkuu wa taifa stars Amunike
Ni wazi watanzania tumepoteza mechi ya leo kwa uwezo mdogo wa kocha Amunike
Mechi ijayo dhidi ya uganda haitakiwi kumkuta Amunike na benchi...
Napata mfadhaiko mkubwa pale timu yetu ya taifa inapofungwa tena kiboya kabisa....kwa ugunduzi wangu mwembamba, nimegundua kuwa Tatizo la Timu yetu ya taifa kufanya vibaya ni huyu Kocha (Amunike)...
Walahi kwa mpira huu,na kocha huyu bora tuendelee kucheza mchangani na ni bora tufungwe ili tusiende AFCON Cameroun maana huko tutakuwa daraja au timu ya kuchukulia pointi
Fikiria tupo kundi moja...
Jamani muwe watulivu serikali yenu sikivu kwanza inafanya uchunguzi kujua kama ni kweli imefungwa?
Pili itakaa kikao na kujua kama mbunge anaweza kuhama chama chake na kuunga mkono juhudi...
LEOOOO NIMEJIFUNZA KITU KIMOJA KUMBE TIMU KUSHINDA SIO LAZIMA IJAE MASHABIKI UWANJANI
WAPENDWA MLIOANGALIA MTAELEWA KWAMBA ATUTAKIWI KUJAA UWANJA WA TAIFA ILI MGANDA AFUNGWE NA STARS
VIJANA...
Inawezekana kabisa ila inabidi tuache ujanja.
Inabidi tuanzishe shule ya kitaifa ya mpira,tuwe na watoto kuanzia miaka 7 waanze kufundishwa mpiara,klabu ziwekeze kwenye academy.
Tuwe na scouting...
Taifa stars lesotho
18
Mechi itachezwa tarehe 18 na namba 18 ni shufa inagawanyika kwa mbili..Tanzania namba yake ya kitabibu ni 20,Lesotho namba yake kitabibu ni 12 hivyo Tanzania na Lesotho...
Boxing(masumbwi) na riadha huko tumekua tukifanya vyema historia ni shahidi.
Nadhani mmeona hata hivi majuzi kwa mwakinyo. Katutoa kimasomaso.
Ila kwa Mpira; tutaunguza muda na fedha.
Simba na...
Ndugu zangu Wadau wa soka nchini Tanzania na wapenzi wa timu yetu ya Taifa kwa namna mlivyouona mchezo ule kati yetu na Walethoto kuna uwezekano wa kusonga mbele?
Mimi Nina hofu ukizingatia mpaka...
Hiii TAIFA STARS cjui ni namna gani..timu Leo haikuwa hata haieleweki inacheza kwa namna gani..hakuna flow of play kabisa..Lesotho ni team nzuri ila nadhani imefanya juhudi kusoma michezo ya TZ...
Swala la Uzalendo Tanzania ni zaidi kujitoa muhanga yaani Kila sekta inakatisha tamaa.
Mara huku Rushwa, Miundombinu mibovu kibaya zaidi siku hizi Kumeibuka maradhi Mapya TAIFA STARS.
TAIFA...