I am confused just like when young African fan or Simba fc fan disgusted by performance of the club. Man utd fans are almost tired with the drama of the management. The says who knows who, and who...
Club ya Chelsea imekumbana na adhabu ya kutokufanya uamisho wa wachezaji kwa miaka miwili na shirikisho la soka duniani FIFA,Adhabu iyo inakuja baada ya chelsea kufanya usajili wa mchezaji...
Mbunge wa Mtera Mh. Lusinde hivi karibuni akihojiwa na Clouds FM aliponda kitendo cha Manji kutangaza kurudi ktk nafasi ya uenyekiti wa Yanga wakati alijiuzulu mwenyewe. Alifananisha kitendo hicho...
Mara nyingi timu yetu inapohitaji matokeo hata ya sare huwa tunafungwa hata kama tunacheza na Timu mbovu lakini kunapokuwa hakuna haja ya matokeo hata kama tukicheza na Brazil tunaweza kuwafunga...
Naomba nieleweke sio kwamba naiombea mabaya taifa stars ila najaribu kueleza dalili za taifa stars zitakazosababisha kutopata matokeo ya kueleweka dhidi ya lesotho.
Kwa uzoefu wangu wa...
Wadau kutokana na changamoto ya bando inayoweza kumkuta memba yeyote humu ndani.
Naomba kwa niaba yao tuwe tunatupia ratiba na matokeo ya mechi Kali za ulaya kila siku kwenye Uzi huu.
Asanteni
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, amemweleza wazi Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Yusuf Manji, kuwa aache kuichezea Serikali, kama bado ana mapenzi na klabu...
Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Obrey Chirwa atajiunga Azam FC, kesho anategemea kusaini mkataba ndani ya mabingwa hao wa Afrika mashariki na katizamani wa Yanga Obrey Chirwa atajiunga Azam FC...
Huwa najiuliza sana na kukwazika pale ninapoona wachezaji vijana wa Tanzania vijana kabisa damu inachemka wanastaafu wakifikisha miaka 30!
Sijui tatizo ni nini ila ningetegemea wakipige mpaka...
Hii ni baada ya juhudi zake za kuipata bure timu hiyo kugonga ukuta .
Wanayanga wanashangazwa na mtu ambaye ni kiongozi wa yanga ambaye ana uwezo wa kuitafutia yanga udhamini mkubwa lakini eti...
KAMA KUNA WAKATI UMEFIKA N SASA YANGA KUONYESHA UMOJA WAOO
YANGA ITAONGOZWA NA VIONGOZI WANAOTAKA WAO KAMA.WANA YANGA NA SI VINGINEVYO
TUSIRUHUSU DAMU ZA SIMBA KUINGIZWA JANGWANI KAMWE
YANGA...
Shirikisho la soka nchini TFF kupitia Kamati ya Maadili, limewafungia Mwenyekiti wa matawi ya klabu ya Yanga, Bakili Makele na Katibu wa matawi ya klabu hiyo Boaz Ikupilika kujihusisha na soka kwa...
Mkurugenzi Mtendaji wa Sports Pesa Tarimba Abas akizungumzia michuano ya Sports Pesa Super Cup inayotarajiwa kuanza Januari 22 mwaka 2019.
Na Zainab Nyamka,Globu ya jamii
KLABU ya Mbao FC...
Habari wanaJF,
Yanga timu yangu pendwa kabisa imekuwa ikipitia kipindi kigumu kwa takribani msimu mmoja na nusu hivi tangu uongozi uanze kuyumba na kupalaganyika,timbwili lilianza baada ya Yusuph...
Ukiacha ile ya kukimbia na mpira kama mwendawazimu sijui wenyewe mnaitanga kudribble, ni kipi yule andunje anamsogelea yule fundi wa mpira? Mbona kama karibu kila kitu kazidiwa? Najua wengi...
Niwe muwazi na mkweli, toka kustaafu kwa beki wa kati wa zamani wa Man Utd, Leeds United, QPR na timu ya taifa ya England bado sijaona beki wa kariba yake barani Ulaya.
Rio ni miongoni mwa beki...
Pamoja na ukweli kwamba MO ni kada mtiifu wa CCM na Hans Pope ni Chadema lakini kule kandandani hawa ni wamoja. Mo amemteua Hans Pope kuingia katika bodi ya Simba katika nafasi zake sita kama...
Hivi kinachomchelewesha kujiuzulu huyu jamaa ni kitu gani , analindwa na nani na kwanini ? lengo la kiongozi yeyote ni kuendeleza soka kwa kuhakikisha vilabu vinawezeshwa kiuchumi ili viweze...
Hivi Serious Yanga mnakubali huu mtego wa Manji?. Sio kwamba simtaki Manji bali Yanga kwa sasa inahitaji viongozi wapya ambao watakuja kuinusuru klabu hali mbaya kwa sasa kwenye klabu wachezaji...