Mchezaji John R. Bocco wa timu ya Simba katika mechi na Mwadui iliyochezwa hivi majuzi huko Shinyanga alipata kadi nyekundu hivo kwa taratibu za kimataifa inapaswa akae benchi mechi inayofuatia...
Natangaza kubet nyumba ya urithi.. iwapo hapo jpili tutafungwa na hao kina bocco
..na kwanza naskia bocco hachezi hiyo jpili... ni aibu kubwa sisi wa kimataifa kufungwa na simba au mbumbumbu...
kwanza nitoa pongezi kwa Luca Modric kwa kuwatoa hawa jamaa wawili waliotawala hizi tuzo miaka kumi sasa!
Mwaka huu hakuna cha Ronldo wama Mesi! mtu mzima kwachukua!
Mesi alienguliwa kabla ya...
Kuelekea mechi ya Kariakoo Derby au Ilala Derby baina ya Simba na Yanga Jumamosi mengi huwa yanazungumzwa. Kuna wachezaji mastaa huwa wanang'aa na kujikuta wanatukuzwa na mashabiki wao. Pia kuna...
Bila kumung'unya maneno wanazi na wazandiki wa soka duniani hawamtendei haki Luka Modric. Wamekuwa wakimu-underrate na kumuona mchezaji wa kawaida.
Lakini kwa misimu kama mitatu Luka yupo katika...
Ni uwezo mdogo wa kukata vipande stahiki vya kuonesha, ni ushamba au ni nini?
Highlight ya mpira wa miguu u-tube haiwezi kuwa dk 30, 20 au hata 15, labda ka ni ya mieleka
Hivi unakaa nusu saa...
Goli bora "Puskas Award" -Mohammed Salaa (Liverpool vs Everton)
Kocha Bora -Didier Deschamps ( France )
Kipa Bora - Thibaut Courtois ( Real Madrid & Belgium)
Kocha Bora Wa Wanawake- Reynald...
Tofauti na zamani mabeki walikuwa wanakaba tuu ila sasa mambo yamebadilika sasa hivi mabeki wa pembeni ni kama mawinga.. tucheki hapa top ten ya mabeki wa pembeni hatari...
1:marcelo_ huyu...
Tarehe 30/09/2018 itakua ni mwendo wa ....
Intro:
Simbaa.. Simbaa.. Simbaa.. Simbaa.. Simbaa../
(Meeesen Selektaaa)
Simbaa.. Simbaa.. Simbaa.. Simbaa.. Simbaa../
Verse 1:
Simba chama la wana we...
Huyu ni mfanyakazi uwanja wa Taifa akiwa katika maandalizi ya kuutayarisha uwanja kuelekea mchezo wa leo TPL.
Inawezekana vipi huyu mfanyakazi wa uwanja huu kuu wa Taifa, asiwe na vifaa vya...
Leo (23/09/2018) wachimba dhahabu toka Mwadui wanamkalibisha Bingwa Mtetezi wa TPL, Simba SC katika muendelezo wa ligi kuu.. Mechi hii inapigwa katika dimba la CCM Kambarage lililopo hapa mkoani...
Yanga SC na Singida United ni ngumu kuwatenganisha ...
Kwanini?
Shabiki lia lia wa Yanga SC, Mwigulu Nchemba.. Ndiyo mlezi wa Singida United ... Leo timu yake inafungwa, eti anashanglia ...
Baada ya sie wakimataifa kumpapasa mwigulu na team yake.. sasa anaefuatia ni huyo mbumbumbu na yule kocha wao mwanamieleka hatari hulk Hogan!! Tarehe 30 sio mbali sanaaa.. halafu ole wenu mng'oe...
Yanga kwa sasa ipo hoi kiuchumi hadi kufikia kutembeza bakuli lakini itafanya vizuri sana uwanjani kwa kuwa haina cha kupoteza kwakuwa hata usajili wao sio wa kutisha kama wa wapinzani wao wa jadi...
Naye si mwingine bali ni Meddie Kagere a.k.a MK14. Mpaka sasa katika ligi zote dunia hii hakuna kama yeye. Kwanini? Ungana nami.
Huyu mnyama mpaka sasa kafunga goli 10 peke yake. Mchanganuo wa...