Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mimi ni mpenzi wa Klabu ya Simba.Kwa kuwa klabu yetu inaendeshwa kibiashara na kisasa naushauri uongozi wa klabu kurekebisha Nembo ya klabu iwe ya Kimataifa.Mapungufu ya nembo hiyo ni pamoja na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Leo nilienda kuiangalia timu yetu ya Taifa ilipokuwa inamenyana na Uganda. Kuna baadhi ya kero nilizokutana nazo naomba niwashirikishe. 1. Watu wanapiga kelele hovyo hovyo kiasi kwamba kuna limtu...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
mapenzi ya wachezaji vipenzi vyao? au ni ufahamu mdogo wa mchezo wa Football? Hebu jitokezeneni tukufahamuni
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Leo timu bora kabisa katika ukanda huu wa CECAFA, Rwanda ilikua dimbani dhidi ya timu bora Africa yenye ukuta wa Berlin Ivory Coast katika mechi za kuwania kucheza AFCON. Matokeo ni timu ya Rwanda...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Salamu wanamichezo. Leo ndo ile siku tuliyokua tukiisubiri kwa hamu sana, pale Mnyama mkali kabisa mwituni, Simba SC atakapokua akipambana na timu bora kabisa toka nchini Kenya, AFC Leopards mida...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Mpaka sasa TPL imekosa ushindani kabisa.. Ligi imeanza Bingwa kashajulikana mapema naye si mwingine bali ni Simba SC. Njia pekee ya kuwapa changamoto hawa mabingwa watarajiwa, ni kuigawa hii timu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wadau naombeni mniambie kama Leo tulivyoangalia mechi ya timu yetu dhidi ya Uganda mapungufu yalikuwa wapo? na je kunapengo la mchezaji wa simba lilionekana miongoni mwq wale walioenguliwa...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Limezuka wimbi katika miaka ya karibuni vilabu vyetu vimekua na wasemaji yaan spokesperson/spokesman kawaida. Swali la kujiuliza je, wanasaidia kukuza soka letu la bongo au wanadidimiza ? Niweke...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
#KIGEZO GANI KIMETUMIKA KUMCHAGUA MLEZI WA SERENGETI BOYS? Kwa ninavyo jua Mimi kazi huwa rahisi na yenye matokeo chanya zaidi endapo kama Anaeifanya ni mzoefu wa kazi hiyo au ni mwenye...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Ni gazeti ambalo linaandika hasi kuhusu club ya Yanga. Hi
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa miaka kumi na tano iliyopita, Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United na timu ya taifa ya England ambaye kwasasa anakipiga katika klabu ya Everton alikuwa katika fomu ya juu sana. Ni...
6 Reactions
25 Replies
4K Views
Kwa wale wapenzi wa Soka la Tanzania watakumbuka jinsi Vilabu chini ya FAT vilivyokuwa vinacheza mechi za kujipima nguvu kwa timu au vilabu kutoka nje ya nchi kwa mialiko ya Chama cha Soka FAT...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wanajf tujiulizeni maswali kuwa taasisi ya FIFA ni chombo huru? au inafanya mambo yake chini ya taasisi zingine maana sielewi kabisa juu ya ufanyaji kazi wao , haaa linapokuja swala la...
0 Reactions
2 Replies
694 Views
This is Simba na katika hili bado Simba SC ndiyo Washindi. Na tunamtaka Mnaijeria wenu safari ijayo asiishie tu Kuita Wachezaji Saba wa Simba SC bali kutokana na uzuri wa Wachezaji wa Simba SC na...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
8 shots vs Leicester City 9 shots vs Brighton 23 shots vs Tottenham 21 shots vs Burnley Hakuna bahati hapo, mabadiliko yanatokea ndani ya United. Kuelekea katika international break takwimu za...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
1. Chelsea 2. Man city 3. Liverpool 4. Tottenham Sorry for my best club Man United Mdau weka na wewe prediction zako hapa halafu tukutane mwakani mwezi wa 4
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Ni kweli kwamba Mchezaji Mohamed Banka kutokea Zanzibar ambaye amesajiliwa na Yanga SC amehukumiwa Kifungo cha miaka miwili kwa Kosa la Kutumia dawa za Kulevya aina ya Bangi / Bange. Sitaki...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Ni miaka takribani mitano sasa toka Man Utd walipotwaa ndoo ya Ubingwa wa EPL chini ya uongozi wa Legendary, Sir Alex Ferguson. Miaka mitano ni mingi sana, hapo ndani ya miaka mitano kumetokea...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tuwe serios katka mechi 12 Tupate hata sita(6) wanamichezo Tupo wengi TUMECHOKA KULIWA KAULI MBIU (1.)Sunderland - Fleetwood ?? (2.)Lincoln city - Crawley town ?? (3.)Blackpool - Bradford City...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Watoto wa Ferguson(Man u fans)
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…