Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Christiano ronaldo Leonel messi Neymar jr Eden hazard Antoine griezman Luis suarez
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Mechi imekwisha huko Zanzibar, na Simba kujinyakulia ushindi mnono wa goli 5 vs Gulion Fc 0
0 Reactions
12 Replies
4K Views
AJENDA ZA MKUTANO MKUU MAALUMU WA MABADILIKO YA UENDESHAJI WA KLABU YA SIMBA Kuhakiki idadi ya wanachama waliohudhuria mkutano Kufungua mkutano Kuthibitisha ajenda Hotuba ya rais Kuwasilisha...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nipo kijiwe Kimoja cha kuangalia Mpira,Man utd akipiga mtu Goli 4 mashabiki wengi hasa wa Arsenal&Chelsea walikua wakisema Westham ni Wahenga Kisa kina Zabaleta,Joe hart ndio maana wakala Viboko...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Naomba niulize, hiv unawezaje kupata ma agent wa tim za nje ya nchi,, au hta tim kubwa hapa bongo zenye maslah mazur,, ushaur plz Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
1 Replies
596 Views
Lilikuwa jambo lenye maono makubwa sana kwa Josep Nunez kutumia muda mwingi ofisini kwake kusoma karatasi za Johan Cruyff. Karatasi zilizokuwa na mawazo yenye thamani kubwa kuliko thamani ya...
6 Reactions
14 Replies
3K Views
Just an advice kwa mzee wetu mpendwa afanye usajili alooo naona kombora moja tayari limegoma kufyatuka au sijui la pili itakuaje,tumezoea kuona yale mabango ya Wenger Out Mwishoni mwa ligi ila...
0 Reactions
0 Replies
752 Views
Naomba yeyote mwenye kumbu kumbu ya kikosi cha mwisho kucheza ligi kuu timu ya PAN AFRICAN FC
0 Reactions
1 Replies
652 Views
Nilikuwa nawaangalia kwa dharau sana kwa jinsi mlivyokuwa mnajibaraguza kwenye media , nilijua mtashindwa vibaya sana ! Kwanza ni bahati kupata hata kura 9 . Mmeingia kwenye uchaguzi hata bila...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
WAKATI SISI TUNAMUITA KIUNGO WETU MPYA WENZETU WANAMUITA MCHEZAJI WAO WA ZAMANI TUNAPASWA KUJIULIZA UPYA WA KIUNGO WETU NO UPI? ....SIKU ZOTE MASHABIKI WENZANGU WA SIMBA UWA HAWANIELEWI...
5 Reactions
33 Replies
8K Views
Nataka mumpatie jibu mapema...Kama akili zenu hamjashikiwa na Manara.
8 Reactions
53 Replies
6K Views
Mwamuzi maarufu katika mchezo wa kandanda nchini Somalia amepigwa risasi na kuuawa karibu na nyumbani kwake mjini Mogadishu. Osman Jama Dirah, ambaye alisimamia mechi za kanda na kimataifa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Its us Again believe me Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
1 Replies
556 Views
Nilianza kuguna siku ya mtibwa ila nikajipa moyo bado mitambo haijakaa fresh itachanganyia tu ila kwa nilichokiona leo kwenye mechi ya mlandege ni aibu aisee. Acheni kucheza kama james delicious...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Sasa hivi yuko nafasi ya tatu...tumuombee.. ===== At 40km point, with just over a mile to go, Kenya's Geoffrey Kirui leads in 2:01.36. Ethiopia's Tamirat Tola is 52 secs back in 2nd...
29 Reactions
356 Replies
42K Views
Nipende tu kuchukua fursa hii adhimu kuweza kuwashukuru sana na mno Waandaji wote wa Mashindano ya Mpira wa Kihuni / Kisela wa Ndondo Cup kwa kuweza kunifanya niweze kupata faida Kubwa ya Kuuza...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
1 Replies
975 Views
Tufanyeje ili tusajiliwe tucheze england Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nigeria's Ogenyi Onazi denied work permit to join Birmingham By Oluwashina Okeleji BBC Sport, Lagos Nigeria's Ogenyi Onazi played at the 2014 World Cup in Brazil however the Super Eagles have...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naona Barcelona leo hakuna cha kumjaribia mitambo mzee zizou/Zidane kaamua kuwasha mitambo moja kwa moja,Mitambo ipo safi ina watts za kutosha kibongo tunaweza sema ni mtambo wa Kinyerezi...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…