Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ikumbukwe wakati wanatawazwa mabingwa wapya wa vodacom premier league watani wa yanga a.k.a wahapahapa fc untill further notes walisisa kuvaa medani za mshindi wa pili..walihisi kuwa wao ndio...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Mfanyabiashara tajiri raia wa Nigeria Aliko Dangote, ambaye anaorodheshwa kuwa mtu tajiri zaidi Afrika, amesema kuwa atamfuta kazi meneja wa Arsenal, Arsene Wenger, ikiwa atafaulu kuinunua klabu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo kwenye kipindi cha sports bar cha clouds FM wameshindwa kuonyesha mambo aliyoyafanya mchezaji mwenzetu/Wa kwetu Tanzania, nikimaanisha Mbwana Samatta Cha kushangazi zaidi ktk havari za...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Kiungo wa kimataifa wa Klabu ya Simba Haruna Niyonzima amefunguka na kudai haikuwa jambo rahisi kwa yeye kutoka Yanga kwenda kuchezea Simba ila anamshukuru Mungu kwa kuwa yeye ndiyo mpangaji wa...
1 Reactions
38 Replies
8K Views
Afrika Mashariki ina nchi za Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na Sudani Kusini. Kote huko mpira wa miguu unachezwa barabara. Lakini Je ni nchi ipi ina ligi bora zaidi kutokana na vigezo vyako?
1 Reactions
13 Replies
11K Views
Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage ameitaka timu ya Mabingwa wa ligi kuu Tanzania Bara Yanga, wajiandae kupokea...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATANO 16.08.2017 Chelsea wanajiandaa kutoa pauni milioni 50 kumsajili beki wa Tottenham Danny Rose, 27, baada ya mchezaji huyo kushutumu sera za usajili za Spurs. (Sun)...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
PSg leo akishinda 3 kavu na Neymar akitupia kambani bao la tatu wakiwa ugenini kule kwa akina Messi ulikua msiba mzito baada ya kuchenjuliwa na Real madrid mikwaju 3 kwa moja tena wakiwa uwanja...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
Nachukua nafasi hii kuipongeza KAMATI ya utendaji kuamua KUMSIMAMISHA UANACHAMA MZEE Kilomoni kutokana na kufungua kesi mahakamani.Pia kumwondoa katika BARAZA la wadhamini la klabu.Mzee Kilomoni...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Klabu ya Ndanda imesaini mkataba wa mwaka mmoja wa udhamini na kampuni ya Motisun. Tangia nifuatilia mpira na ligi ya Vpl naona makampuni ya watu wenye asili ya nje kusaidia vilabu vyetu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kufuatana na link hii Tracking, Track Parcels, Packages, Shipments | DHL Express Tracking , rufaa (nyaraka za rufaa) imepokelewa leo. So wanasimba tuwe mavumilivu wakati tunasubiri majibu.
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Uchaguzi TFF umeshafanyika jioni ya leo ambapo Rais, Makamu wa Rais na wajumbe kadhaa wamechaguliwa. Rais mteule ni Wallace Karia, Makamu wa Rais ni Michael Wambura. Mchanganuo wa Kura kwa...
6 Reactions
216 Replies
39K Views
Trh 27 August 2017 dunia itasimama kwa muda kushuhudia mtifuano wa masumbwi. MoneyTeam aka weusi team huko kambini ni balaa,snoopydog alitembelea na kumpa shavu mtu wake wa nguvu Mayweather. The...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Maana naona mnayatumia magazeti kwa kupamba usajiri wa Niyonzima.Siye tungependa mtupe na mrejesho wa rufaa yetu bhana acheni kutuona watoto wadogo sisi kwa kutudanganyishia pipi ili tulale!!
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Uongozi wa Simba tunaomba majibu kuhusu rufaa yetu kule FIFA, updates zipoje?
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Hili swali nimekuwa najiuliza mara zote tangu sakata la uchaguzi wa TFF Limalizike, maana haiingii akilini kabisa kwamba alipokuwa anaomba umakamu wa Rais alikuwa raia safi , bali kwenye urais...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimeshanga na habari kuwa huyu bwana ni Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Mvomero. Nawasilisha
3 Reactions
45 Replies
14K Views
Nianze kwa Kumshukuru Baba Conte kwa kutuuzia chombo kikiwa kimesoma mita chache Matic asante kwa mzima Mitambo huyu. Nasaha zangu kwa Conte game ya kwanza tayari Chali Halafu ijayo na Totenham...
14 Reactions
72 Replies
5K Views
Oi oi leo uwanja wa kine si kutakuwa na fainal ya michuano ya ndondo cup kati ya timu zifuatazo MISOSI VS GOMS UNITED Hii itakuwa mechi ya kukata na shoka mm karata yangu ipo kwa MISOSI FC Naomba...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…