Inasemekana kwamba mashabiki wa......
Liverpool FC ni wapambanaji, majasiri sana na wamebarikiwa mno maishani.
Manchester United ni wapenda maendeleo, mashujaa na ni Washirikina wazuri tu...
Shirikisho la Soka Afrika(CAF) limemteua Mtanzania, Leodegar Tenga kuwa Makamu Rais wa Kamati ya Ufundi na Maendeleo ya Shirikisho hilo.
Tenga aliwahi kuwa Rais wa Shirikisho la Soka...
IN ENGLISH
Simba is the union of Mohammed Dewji, Azam FC and Mtibwa Sugar in the fight against champions' Yanga.
ELABORATION
After Yanga won three consecutive Premier League Title, Azam decided...
habar za muda huu wana jamii forum kutokana na zanzibar kufuriwa uwakilishi katika caf ni vyema kukawepo na ligi moja Tanzania tofauti na hivi sasa ambapo kunachezwa ligi mbili katika nchi moja...
Wakuu nimekua mfuatiliaji wa mchezo wa mpira wa miguu hapa nchi na mdau wa michezo kwa ujumla wake!
Watanzania wengi tumekuwa tukihitaji kuona soka la vilabu vyetu pendwa likikua kufikia level za...
DOGO ALIYEMKUMBATIA ROONEY AFUNGUKA…..SITASAHAU SAA 24 NILIZOKAA MAHABUSU
KAMA bado ulikuwa unapata shida kuielewa maana ya neno ‘jasiri’, basi likumbuke tukio la shabiki aliyeingia uwanjani na...
Mabingwa wa kihistoria Tanzania wametajwa katika orodha ya timu bora 50 kwa mwaka 2017. Yanga wameshika nafasi ya 43.
Viongozi wetu mnapoingia mikataba na makapuni msifananishwe na wale wengine...
Timu ya Taifa Stars imeyaaga mashindano ya CHAN jioni hii baada ya kutoka suluhu ya magoli 0-0 na Timu ya Taifa ya Rwanda(Amavubi Stars).
Kikosi cha Taifa Stars kilichoanza leo dhidi ya Amavubi...
Shirikisho la soka Afrika (CAF) limeivua uanachama Zanzibar miezi minne tu baada ya kupewa.
Rais wa CAF, Ahmad amesema kuwa Zanzibar, ambayo ni sehemu ya Tanzania haikutakiwa kukubaliwa kama...
Katika kuonyesha kuwa hakufurahishwa ' totally ' na ' kufurumushwa ' Kwake katika Cheo chake alichojitungia mwenyewe cha Ukurugenzi wa Habari na Mawasiliano ( ambacho hata katika Katiba ya Yanga...
Mtanzania mbwana samatta anategemea kuongoza mashambulizi katika club yake ya genk dhidi ya everton
tutagemea makubwa kutoka kwa samatta kwani kwa sasa ndiye mshambuliaji tegemeo la timu ya...
========
Zanzibar is new Caf member
Zanzibar FA has been admitted as the newest member of Caf, supersport.com can report.
The new development will see Zanzibar as the 55th member of Caf after...
Wadau, leo ni hukumu ya kikosi cha Taifa Stars dhidi ya Amavubi a.k.a. Nyigu kutoka Kigali. Ni mchezo wa pili baada ya kukutana wiki iliyopita na kushuhudia timu hizi zikigawana pointi kwa kutoka...
MPANGO WA KUENDELEZA MICHEZO TANZANIA
1.UTANGULIZI
Tangu kupata uhuru nchi ya Tanzania mnamo mwaka 1961,kumekuwa na sintofamu kubwa kwenye maendeleo ya sekta michezo na burudani.Hakukuwahi kuwapo...
Aliyekuwa msemaji wa klabu ya Yanga, Jerry Muro
Aliyekuwa msemaji wa klabu ya Yanga, Jerry Muro amesema kuwa ilikufanikiwa katika utendaji ndani ya uongozi wa mabingwa hao wa kihistoria ni lazima...
Baada ya kukwama jijini Dar es Salaam, hatimaye Msuva ameondoka kwenda Rwanda kuungana na kikosi cha Taifa Stars.
Stars iko jijini Kigali kuivaa Rwanda keshokutwa katika mechi ya kuwania kucheza...