Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Klabu ya Simba SC imetoa taarifa kuwa imemteua Dr Arnold Kashembe kuwa Katibu Mkuu mpya wa klabu hiyo, isome taarifa ya Simba hapa chini. Kamati ya utendaji ya klabu ya Simba iiliyokutana jana...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
BRADLEY Lowery ni jina ambalo limemea kwenye fikra za wapenda soka kote duniani. Kijana huyu mdogo, umri wa miaka SITA (6) alifariki dunia juma lililopita tarehe 07/07/2017 kwa maradhi ya Saratani...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tokea wenye dhamana ya kuendesha mpira wa miguu wa Tanzania walipomteua Salum Mayanga kuwa kocha wa team ya Taifa nilipoteza imani kabisa na team hii pendwa na Watanzania wote bila kujali mapenzi...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Kama wewe ni mfuatiliaji wa soka na unafuatilia mechi za Arsenal hivi karibuni , basi bila shaka utakumbana na tabia za Kishamba kabisa zinazoonyeshwa na Sanchez . Ni mchezaji anayejiona ni bora...
6 Reactions
92 Replies
7K Views
Timu anayoichezea mchezaji wa timu ya Taifa Tanzania, Thomas ulimwengu inabuluza mkia ikiwa na point nane (7)tu katia 34 za timu inayoongoza ligi hiyo huku ikiwa imecheza michezo 15 na kubatika...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
-Kijana anayejulikana kwa jina la Hassan maarufu kama Hans Jr kunako dakika ya ishirini kwenye mchezo wa everton vs gor mahia alivamia uwanja na kwenda kumkumbatia Wayne Rooney mchezaji wa...
2 Reactions
187 Replies
26K Views
Hatimaye yule mchezaji mwenye mapafu ya Mbwa na mbwembwe nyingi amesaini katika timu bora kabisa ya Chelsea kwa Mkataba mnono wa Miaka Mitano.
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Navutiwa na mtu humu uwanjani kiasi cha kutamani Wadosi wetu wamsajiri Please Bin Kleb Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kila zama zina mwisho wake, na kila mbabe ana mbabe wake. Nani anafaa kuwa Rais mpya? nani msafi? tufanye makosa au turudie makosa? New Episodes to drop soon... The Returning of The Superman...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nilianza kuishabikia mwaka 2005 kwa ushabiki wangu kwa Ronaldinho Gaucho! Ni club ambayo hata kama nina stress inaweza kunifurahisha na kuniondolea stress zangu.....Katika vitu vitatu Muhimu...
9 Reactions
23 Replies
3K Views
KATIBU Mkuu wa Yanga SC, Charles Boniface Mkwasa leo amemtambulisha Dissmas Ten kuwa Ofisa wa Habari wa nne wa klabu hiyo tangu mwaka 2010, akichukua nafasi ya Jerry Muro anayeondoka baada ya...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Ndugu zangu ninayo mengi ya kusema juu ya ujio wa timu ya Everton inayoshiriki ligi kuu ya England. Timu zetu zijifunze kuwa hakuna kudharau mashindani ya aina yeyote. Kichuya msuva na wengine...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Azam media official sponsor wa uganda premier league kwa mwaka anatoa 6Billion kama kiasi alicho invest kwenye hiyo sponsorship yake. mchezaj bora wa mashindano anachukua gari mpya,ambapo kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Duniani kote hata nchi zilizoendelea matukio kama yale yapo. Rooney ni mchezaji mkubwa sana duniani hivyo tukio lile la mahaba na upendo kwa Rooney limetangazwa kwenye luninga duniani kote. Pia...
7 Reactions
45 Replies
5K Views
Ndugu zangu weekend inaendaje..?? Kama kichwa cha habari kinavojieleza kama umemiss match yeyote ya soka kutoka Vpl La liga Premier league Bundasliga Serie A League 1...
0 Reactions
2 Replies
568 Views
Potelea mbali lazima niseme tu! Mimi ni miongoni wa watu nisioamini katika namna wachezaji wanavyoitwa timu ya taifa, kwa mwendo huu sijui ni ubaguzi au fitina nini? Kocha anamuita Boko eti kwa...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
TUNATEST MITAMBO.. Tukutane EPL
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni muda sasa umepita toka taarifa za kikosi cha kwanza cha Everton kutua Dar tayari kukipiga na Gor Mahiya kutoka Kenya kwenye Mechi ya kirafiki itakayofanyika kesho alhamisi tarehe 13/07/2017...
0 Reactions
152 Replies
24K Views
Leo nimeona vitu vya aibu sana uwanja wa Taiga wakati wa kuingia aibu tupu. Askari Polisi ni kupiga watu,mistari mirefu ya kuingia na watu wanaingia kama vile wanaaga Maiti. Mageti ya kuingia ni...
4 Reactions
38 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…