Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Jamani team ya huyu mtanzania mwenyetu imekuwa ya ngapi kwenye msimamo?je kunatim zimeonyesha nia ya kumnyakua huyu jamaa kutoka krc?
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Salaam wanajamvi, nina haja sana na mawasiliano na ndugu Jamali Malinzi. Nikiipata nitashukuru sana, ikishindikana hata e mail itanifaa. Si kwania mbaya wapendwa mwenye kunisaidia nitashukuru.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ujue tunawavumilia sana lakini amtaki kutuonea huruma hata kidogo,kwanza tuna uchungu sana kukosa ubingwa msimu huu na bado munatudanganya 1. Maamuzi ya kamati ya hadhi na Sheria yalipotoka...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani, hawa watu ndo walienda mahakamani kupinga kampuni ya Yanga Yetu iliyokuwa chini ya Manji! Inawezekana kuna baadhi ya vipengele vya katiba vilikiukwa ila lilikuwa suala la kuufuata uongozi...
2 Reactions
6 Replies
900 Views
Kumekua na tabia ya kukumbilia kufuta taarifa haraka bila kufanya uchunguzi humu Sasa mumefuta na ni kweli manji kujiuzulu tunaomba mrejeshe taarifa hiyo humu
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wadau wa jukwaa pendwa la Sports, naomba kujuzwa sheria za kubeti, nikimaanisha (namba moja inamaanisha nini, mbili na kuendelea.. na huwa zinatumika kwa aina gan ya Betting.
1 Reactions
1 Replies
3K Views
0 Reactions
3 Replies
788 Views
au soma hiii Reporter: Coach, what do you think about Augusto Lima going away in the midst of a series to attend the birth of his child? Jasikevicius: What do I think about it? I allowed him to...
0 Reactions
1 Replies
492 Views
Maswali yenyewe ni 1. Kwanini mlitangulia mbelw kwa pointi 8 kisha mkapitwa tena? 2. Kwanini mlifungwa na Kagera sugar? Maana mchezaji kuwa na kadi 3 haiwezi kuwa sababu ya kupoteza mechi. 3...
0 Reactions
0 Replies
659 Views
Ninaona kuwa huenda real madrid msimu huu isichukue chochote na ikitokea hivo naona zidane akitimuliwa
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Bila shaka mmethibitisha nyie ni timu bora kusini mwa jangwa la sahara. Ni makosa madogo tu, yametugharimu. Tumekuwa na wadosi njaa wanaojifanya wanapenda mochezo kumbe wachumia tumbo tu. Mmoja...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwanza poleni kwa kutolewa japo sijaumia. Tunaomba TFF mtupe mapato na matumizi ya michango mbalimbali ya wadau 1. Jumla tulikusanya kiasi gani? 2. Tumetumia kiasi gani? 3. Kimebaki kiasi gani...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu wanabodi. I salute Niende moja kwa moja kwenye hoja kubwa hapo juu...mimi ni mshabiki wa timu flan flan si yanga wala simba. Ninamapenzi na timu yetu ya TAIFA hata jana niliumia ana...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nilitahadharisha humu mapema sana lakini matokeo yake....... Nikatukanwa Nikadhikiwa Nikaonekana sijui kitu Nikaambiwa siyo Mzalendo Nikaambiwa Mimi Mkimbizi Nikaambiwa nitaumbuka Nikaambiwa...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Karibuni tu ' mtiririke ' na ' mserereke ' kwani kuna Mtu mmoja hapo juu ( kwa hao Watajwa ) tokea jana baada ya ' Ushindi ' ule wa Serengeti Boys kule Gabon namsikia sasa ' anatamba ' na '...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Serengeti Boys timu iliobebwa kwa mpondo kufikia mashindano ya U17 kama Yanga bado inawafurahisha wa Tanganyika kiasi cha kujisahau kuwa hao wanaowashangilia ni kichwa cha mwendawazimu...
6 Reactions
102 Replies
9K Views
Kitendo cha kumpiga kumbo refa hadi anaanguka chini ni kitendo kisichovumilika kabisa.Na mkiendekeza ujinga kama huu kwa vile ninyi ni wapenzi wa Yanga mtafanya soka lizidi kudidimia hapa...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Leo Mei 19, 2017 kocha wa Taifa Stars Salum Mayanga ametanga kikosi cha wachezaji watakaoingia kambini kwa ajaili ya mechi ya Juni 10, 2017 dhidi ya Lethoto kuwania kufuzu kucheza fainali za...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Baada ya kuunguruma kwa takribani miezi tisa (August -May),hatimaye leo tunaelekea kwenye mwisho wa msimu wa Ligi kuu ya soka Tanzania Bara (VPL) Leo hii viwanja 8 vitawaka moto,lakini macho na...
12 Reactions
498 Replies
59K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…