Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

ivi mmamuelewa uyu jamaaa wadau au ndo kiki
3 Reactions
39 Replies
5K Views
Niko nje ya nchi siko eneo lenye king'amuzu je nawezaje angalia mpira kupitia simu yangu ya mkononi?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nikiwa mshabiki wa Klabu ya Simba nilikuwa na wazo la kuwepo kwa rangi mbadala katika mavazi na jezi za klabu yetu tofauti na rangi zetu za asili ambazo ni nyekundu(home) na njeupe (away). Rangi...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Jamani, hii gemu ya Serengeti boys dhidi ya Niger imekwisha, tumefungwa 2-1, Mimi nilijua tutafungwa hasa baada ya kumsikiliza kocha Mkuu Bakari Shime mipango yake juu ya hii mechi. Alisema kwamba...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Taarifa zinaonyesha kwamba ni timu iliyoanzishwa mwaka 2009 , imeingia ligi kuu kwa mara ya kwanza msimu huu , inafundishwa na raia wa nchi kawaida kisoka ya Austria aitwaye RALPH HASENHUTTI ...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Wachezaji wa Simba wagoma kuvaa medali za ushindi wa pili Ligi Kuu Tanzania kwa madai kuwa bado rufaa yao ya Fifa haijatolewa majibu.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya kutafakari sana nimeamua kuwashauri ndugu zangu wa msimbazi watembelee kijiji chenye mvuto wapekee, kijiji kilichotajwa mara nyingi zaidi mtandaoni kuliko kijiji chochote kile nchini...
1 Reactions
2 Replies
756 Views
Mpaka sasa mapumziko Arsenal 2 Everton 0 na Liverpool 1 Mid o. wote wanaitafuta nafasi nne. Matokeo ya mwisho yatatupa jawabu mwakani nani atacheza jummane na jumatano na yule wa Alhamisi.
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Mimi si mfuatiliaji sana wa michezo ila hili la mechi ya simba na kagera kuleta hii sintofahamu linanishangaza sana kwasababu kila kinachofanyika uwanjani kinashuhudiwa na maelefu ya wapenzi wa...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Wanajamvi wasalaam: Baada ya salamu,nitoe pongezi zangu za dhati kwa wanajangwani kuchukua tena kombe la ligi ya vodacom Tanzania kwa Mara ya tatu mfululizo..kongole kwenu... Ila dukuduku langu...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Qatar imekamilisha ujenzi wa uwanja wa kwanza ukiwa na viyoyozi miaka mitano kabla ya kufanyika kwa Kombe la Dunia 2022. Uwanja wa kimataifa wa Khalifa unauwezo wa kuchukua mashabiki 40,000...
3 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari wadau, Kama heading inavyojieleza hapo juu, nilikua napitia pitia ratiba za mechi za ligi kuu vpl zilizobaki kati ya simba na yanga nimekuja kugundua simba ana ratiba ngumu ikimsubiri...
11 Reactions
178 Replies
25K Views
Yaani leo unataka kombe liwepo Kirumba na Taifa? Namaanisha ile ndoo yenyewe? Yaani Taifa unaweka replica eti simba nayo ina chansi ya kuchukua? Hii sasa ni dharau unataka kutuletea Simba. Peleka...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
HII NDIYO SIMBA SPORTS CLUB HAKIKA IMETUFURAHISHA MASHABIKI WENU 2016 / 2017 Simba wanachukua Kombe la FA kama Ambavyo Yanga Wamechukua Kombe La Ligi, Simba Itawakilisha Tanzania Michuano ya...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Hawa jamaa wanatakiwa kubalansi habari za michezo sababu kimahesabu bado wanaowafuatia wana uwezo wa kuwa kubadilisha matokeo ingawa kiuhalisia inaweza kuwa na changamoto. Chombo kikubwa cha...
3 Reactions
73 Replies
9K Views
Kwa mara ya kwanza ktk historia ya club yetu pendwa @kagerasugar kushika nafasi ya juu kama hii ya 3 katika ligi kuu ya Tanzania bara. Haikuwa kazi rahisi, sisi KAGERA SUGAR F.C FANHOOD tulitoa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1. Kuna timu inayofananishwa na mwanamume anayetumia nguvu nyingi kutafuta hela mchana, alafu ikifika usiku anazimwaga kiulaini kwa malaya. Hii timu ilitumia nguvu nyingi kuwafunga zile big 5 huku...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
PAIN IN THE BARCA Barcelona launch complaint to La Liga in cheat row after Malaga owner and boss suggest they will let Real Madrid win title Malaga have provoked the ire of the Catalan giants...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…