MWENYEKITI wa Kamati ya Sheria kamaliza kila kitu.
Anasema ripoti za refa na kamisaa zinapishana mpaka ktk matokeo ya mechi ya Kagera vs Lyon.
Mmoja anasema iliisha 2-0, mwingine anasema iliisha...
Maandamano ya Simba ni ya kisaniii tuu.
Maandamano yaliyoitishwa na Uongozi wa Simba ni ya kisaniii hayana tofauti na yale ya Bongo Movie.
Miaka miwili imepita Uongozi wa Aveva haujatwaa...
Siku zote nyani haoni kundule hivi hawa Yanga wanacho kilalamikia hata sikioni maana wamejawa lawama kama wao ndiyo timu pekee hapa nchini yenye nguvu kuliko timu zozote,wao wanalalamika kuwa...
KWANZA niwapongeze Simba SC. Kutoka nyuma 2-0 hadi dakika nane kabla ya kumalizika kwa mchezo, kisha kushinda 3-2 baada ya dakika 90 ni jambo la kujivunia kama timu. Hasa ukizingatia walikuwa...
Kama mlizoea n huko kwenu
Tunaomba msiwatenge kabisa wanasoka na wapenda soka kwa ukabila.. kama mlijitekenya na masaa 72 subirini mcheke na sioo kuanza kumtukana raisi wetu wa tff jamal malinzi...
Klabu ya Simba Sc yenye makao yake makuu mtaa
wa Msimbazi, Kariakoo jijini Dar es salaam
inatarajiwa kufanya maandamano ya amani siku ya
jumanne.
Katika barua iliyoandikwa na Rais wa klabu hiyo...
Katika maisha ya kupenda na kushabikia soka,sijawahi kuhuzunika kuwa familia ya Madrid na tim Cristiano Ronaldo.
Napata kile shabiki napaswa kukipata na kwa wakati. Asante Madrid na asante sana...
*KAZI IPO, TFF YAMFUNGULIA MASHITAKA HAJI MANARA*
Shirikisho la Soka Tanzania au TFF, limefungua mashitaka kwa madai ya kutoheshimu na tayari atafikishwa kwenye kamati ya Maadili.
Kwa...
Kwa mujibu wa Katiba ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kila mwanafamilia wa mpira wa miguu Tanzania analazimika kuheshimu na kufuata kanuni za maadili za shirikisho kama...
Kampuni ya SportsPesa kutoka Kenya wanatarajia kuingia mkataba wa miaka mitano na Yanga wenye thamani ya Billion 4.5 ambao kwa mwaka utakuwa na thamani ya TSh. milioni 900.
Uongozi wa Yanga...
Droo hii inafanyika leo Ijumaa tarehe 21/04/2017 moja kwa moja kutoka Nyon nchini Uswizi yalipo makao makuu ya UEFA.
Itaanza droo ya Uefa Champions League ( UCL ) kisha kufuatiwa na droo ya Uefa...
Wadau wa mpira asa wazee wamikeka naomba msaada kunijurisha wapi ofisi za hao jamaa zilipo asa hapa Mwanza au DSM. Nimeamua kuwafuata by face maana simu hawapokei kabisa...Kuna mechi nilibet sita...
Serena Williams: World number two appears to confirm pregnancy
4 hours ago
From the sectionTennis
Serena Williams beat her sister Venus in the final to win the Australian Open in January
World...
Leo ni draw ya kombe la UEFA Champions league na UEFA Europa league hatua ya robo fainali. Draw inafanyika mchana huu saa nane mchana (2:00pm)
Ratiba ya UEFA mechi zijazo ni kama ifuatavyo...
Bingwa mtetezi Real Madrid anaenda kuvuliwa ubingwa wake na Bayern Munich usiku wa leo pale dimbani Santiago Bernabeu.
Kurudi dimbani kwa Roberto Lewandowski ni dalili njema kuwa Bayern Munich...