Kuelekea Mechi ya Yanga na Algiers
siku ya jumamosi hutawaliwa na sayari ya zohar na nyota yake ni ya mbuzi na kondoo.Sayari hii ni nyeusi na inahusika na mambo mabaya kama kuvunjika kwa...
Timbwili la Juve linaweza kuwakuta wote watatu,Barca robo fainali,Atletico na Real mmojawapo nusu fainali na mwingine fainali.
Wa kuzuia kimbunga hiki ni Barca tu,akipigwa yeye leo basi huenda...
Binafsi hizo point za Lyon hata sizitaki!
Kwani kuzichukua point za Lyon ambazo ni haki yetu,tunakiwa kupewa point zetu ambazo zipo kwa mujibu wa kanuni za uendeshaji wa mpira duniani na sio...
Katibu Mkuu wa TFF, Mwesigwa Celestine, amesema kamati hiyo itakaa tena na kuna shahidi wengine wataitwa kuhojiwa.
Kikao hicho kimefanyika kuanzia leo asubuhi katika hoteli ya Protea jijini Dar es...
kuna wachezaji wa mpira wa miguu wao dk 90 zote wamechomekea jezi zao kama vile mwanafunzi mtiifu anavyochomekea shati lake akiwa shuleni
Sio mbaya leo tukiwakumbuka wa zamani nawa Sasa...
Mechi ya Kagera Sugar na African Lyon ndiyo inayoleta utata kwa sababu ndiyo inayo mhukumu mchezaji huka kwamba ndiyo ilikuwa mechi ya tatu mfululizo anaoneshwa kadi ya njano.
Mechi hiyo hiyo...
They way no one expected that leicester could win the premier leage last season.. The same way no one will believe this. But time will talk.. Lets wait, but keep this in your mind Leicester is...
Wanamichezo leo ni wasaa wa kusubri wanavyoharibiwa uwanjani kwao BARCA na wazee wa TURIN naamin mwenye macho haambiwi tazama game ya leo mtu analala kwake 2 kwa moja macho yetu 2145 wasaa wa game...
Bora tuzingatie masuala ya sanaa maana huku katika mpira wa miguu watu wamefungwa bao 4 wakaanza kupoteana uwanjani,namuuliza mh.waziri hana majibu
-spika Ndugai
WATCH LIVE MATCH | Real Madrid vs Bayern Munich
(English Premier League) 18.4.2017 |
WATCH FULL MATCH FREE HERE WATCH LIVE MATCH | Real Madrid vs Bayern Munich (English Premier League)...
Mheshimiwa ; Waziri wa michezo Mwakyembe ; TFF wameingia mkataba na AZAM Media , ambao Yanga waliugomea mpaka leo. Mkataba huo ni kuonyesha mechi za Ligi kuu na ku sponsor kwa kutoa Pesa; Cha...
Juventus goal keeper Gianluig Buffon , has named Leicester city as the only team he want to avoid in Champios League quarter finals after the premier league champions knocked out sevilla .
Source...
Yanga imepata pigo lingine nchini Algeria baada ya wachezaji wake kuchelewa ndege kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Houari Boumediene, jijini Algers.
Wachezaji hao walikuwa wasafiri na...
Liverpool wanamkumbuka vizuri mzee Mourinho a.k.a the self appointed Special One. Now Conte watamjua kwani kipigo hichi cha Leo kinaweza kikawa mwanzo wa kuanguka kwa Chelsea katika mbio za...
Jana nimeshuhudia Man u wakinichezea mpira flan hivi hadi nkaona raha.. Paka sikutamani muda uishe.
Sjui alichokuwa anafeli morinyo ni nini kama alikuwa anajua Herera anaeza mweka kifuan hazard...