April 15 2017 Yanga wanacheza mchezo wa marudiano wa kuwania kucheza hatua ya makundi ya Kombe la shirikisho dhidi ya MC Alger nchini Algeria.
Dakika ya 15 sasa hivi
Algiers 1-0 Yanga
April 15...
Chelsea Ni Demu Mmoja Wa Kishua Sana Na Anaringa Sana. Siku Moja Jamaa Anaitwa Liverpool Alienda Nyumbani Kwa Kina Chelsea Akamkuta Mtoto Amekaa Kihasarahasara Akamuomba Mambo Jamaa Akapewa Penzi...
Haya sasa...
Wale wapenzi wa ligi bora duniani,
Ligi yenye miamba mikubwa ya soka duniani Fc Barcelona, Real madrid na Sevila..
Ligi yenye wachezaji bora kabisa kuwahi kutokea duniani CR7 na La...
This unification battle for the world title under the titles WBA, IBF, WBO junior welterweight (up to 63.5 kg), was held in Glasgow (Scotland) from 15 to 16 April 2017. In the ring there were: WBA...
Kuelekea Mechi ya Algiers na Yanga ,wiki iliyopita namba zilisema yanga angeshinda na kutoruhusu bao na kweli alishinda hebu tuangalie Leo namba zinasemaje.
siku ya jumamosi hutawaliwa na sayari...
Baada ya mechi ya Mc Alger na Yanga kumalizika ,nimejiuliza maswali mengi sana.Kweli kwa aina ya wachezaji wa Kitanzania hata karne tatu zijazo hatuwezi kuchukua kombe lolote la Afrika.Cha kufanya...
Simba imeshindwa kuifunga Toto African uwanja wa CCM Kirumba kwa miaka 7 sasa, wamelazimishwa sare tasa (0-0)
KIKOSI CHA SIMBA VS TOTO AFRICAN, LEO.
1.Daniel Agyei
2.J Bukungu
3.Mohammed...
Kipa wa Mbao FC, Erick Ngwengwe amesimamishwa kuitumikia timu hiyo ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za kuhujumu timu katika mechi yao dhidi ya Simba.
Mechi hiyo ilichezwa juzi Jumatatu kwenye...
Badala ya kulilia point ambazo haziwahusu , zile point halali walizopewa wenzenu wa SIMBA SPORTS CLUB (Mnyama mkali ), chezeni mpira na akili yenu iwe kwenye game yenu tu .
Hilo si eneo zuri kwa...
Nachukua nafasi hii kuwashauri viongozi wa Yanga wajitahidi kusoma Sheria za Soka Na pia itoe elimu Kwa Wenyeviti wa matawi ya Yanga Juu ya Sheria za Kuna MTU anaitwa Mkemi Kwa jaziba anakimbilia...
Taarifa hizi nimezikia kupitia kipindi cha kipenga cha EA Radio 20:57.
=====
Kamati ya saa 72 ya TFF imeipatia Klabu ya Simba SC pointi tatu na magoli matatu baada ya mchezaji Fakhi wa Kagera...
Japo kuwa Simba sc leo imeambulia point moja lakini kuna uwezekano wa kuipoteza baada ya kuvunja sheria hii
MBUMBUMBU KATIKA UBORA WETU!
Kikosi cha simba wachezaji 6 wa kigeni wameanza first...
Wakuu,
Nimeguswa na tukio la Kagera sukari kunyanganywa points 3, baada ya kumchezesha mchezaji wao aliekuwa na kadi tatu za njano, ninacho taka kujua mimi ni kama kwenye vilabu vya nchi za...
Licha ya ushindi wa leo wa kununua baadhi ya wachezaji wa mbao, mechi yenu dhidi ya Toto Africans wana kishamapanda hamtochomoka kwani nina uhakika mtalala kwa mabao 2-0.
Siku hiyo hamtopata hata...
Katika hali isiyo ya kawaida mashabiki wa yanga ambao wako watano kwa pamoja wameamua kuingilia mchezo wa toto Africa dhidi ya simba utakaofanyika Leo pale uwanja wa ccm kirumba, mashabiki hao...
Ndiyo na haya ndio maisha yetu ya soka, hayatofautiani sana yale ya kisiasa. Zipo au ipo timu iliwahi kunufaika na ofa hiyo kubwa ya kujichagulia mechi za kutumikia adhabu.
Sishangai na wala...