Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ulichokanusha kimeletwa vilevile officially na TFF
0 Reactions
1 Replies
721 Views
Nimemsikia mtangazaji wa Clouds FM wa Michezo Ndg Edger Kibwana akifanya mahojiano na mwandishi wa habari za michezo wa Uganda kiukweli bado sana ktk mahojiano ya kiingereza kwa watangazaji...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Mechi imeanza na ni dakika ya 3 Crystal Palace 0-0 Leicester City
1 Reactions
162 Replies
4K Views
Nachukua wasaa huu kuipongeza Wakimataifa Yanga Kwa uamuzi wao wa kulipeleka Soka Mahakamani.Naamini Yanga wanaijua vizuri FIFA hivyo wajiandae kuachana Na Soka badala yake wapageuze pale Jangwani...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Yanga, Mwesigwa Celestine ambaye sasa ni katibu mkuu wa TFF, ameitisha kikao cha kamati ya Kamati ya Sheria, Katiba na Hadhi za Waehezaji ambacho kinaelezwa kimepewa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Sisi wanayanga hatuna imani na tff katika kuisimamia haki tena. Hivyo tunaomba muingilie kati maana timu zinatumia raslimali nyingi kujiendesha. Mechi ya mbao ilishangaza wengi wenye akili...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hatimaye ile timu mbovu na yenye mwenendo wa kuaibisha Arsenal , imepata maono mapya na taratibu imeanza kulivua limbwata ililopewa na kocha aliyechoka Arsene Wenger. Vyombo mbalimbali vya...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Wadau, Hakuna tv yoyote itaonyesha mtanange YANGA VS WAALGERIA TZ. Je kuna link yoyote ya kustream mechi hii kupitia PC watu wa ICT. Naomba msaada tafadhali
0 Reactions
2 Replies
836 Views
Nimeona huyu SALUM MKEMI ATAKUWA KAMA JERRY MURRO porojo nyingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Leo hii yuko wap bila shaka huyu atakuwa kama jerry muro... Simba na Kagera walicheza tarh 2/4,Simba wakaja...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Baada ya kamati ya saa 72 kuipa simba pointi tatu baada ya game na kagera kuonekana kagera walimchezesha mchezaji mwenye kadi tatu.Hatimaye Yanga wameibuka na kudai mbona tufaa yao ni ya siku...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Shirikisho la soka duniani, FIFA na lile la Afrika, CAF kwa pamoja wameupitisha uwanja wa CCM Kirumba uliopo jijini Mwanza, kutumika kwenye mechi za kimataifa. Hatua hiyo imetangazwa Ijumaa hii...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Simba SC wamepewa point tatu na kamati ya TFF na sasa Simba inaongoza kwa point 61. Je Yanga FC wakienda mahakamani ligi itasimama kama ilivyosimama Zanzibar kwa miezi sita? My take: Yanga FC...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Baada ya kamati ya saa 72 kuipa simba pointi tatu baada ya game na kagera kuonekana kagera walimchezesha mchezaji mwenye kadi tatu. Hatimaye Yanga wameibuka na kudai mbona tufaa yao ni ya siku...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Obrey Chirwa amegoma kukabidhi pasipoti yake, hivyo hatokwenda ALGERIA- SG Mkwasa.... Hii ni dalili mbaya klabuni kwetu, Yanga inashindwa kujiendesha kitaasisi, na haya tuliyapigia sana kelele...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
ni mpenzi wa soka ...kuna maswali huwa najiuliza na majibu sipati..Leo kuna baadhi nimeyakumbuka ningependa wajuzi wa soka mnisaidie.. ...kwa nn timu ya juve wengi hupenda kuiita kibibi kizee cha...
1 Reactions
28 Replies
7K Views
KADI TATU ZA NJANO ALIZOPATA FAKHI MCHEZAJI WA KAGERA SUGAR 1. Mchezo namba 122 uliopigwa Sokoine tarehe 17 December dhidi ya Mbeya City. 2. Mchezo namba 165 uwanja wa Kaitaba mchezo dhidi ya...
6 Reactions
93 Replies
20K Views
Harry Kane and Romelu Lukaku have been nominated for both the Professional Footballers' Association player of the year and young player awards. They join Zlatan Ibrahimovic, Alexis Sanchez, Eden...
0 Reactions
1 Replies
901 Views
Hello Gentlemen and Ladies. Naomba mtu ambaye anayo links ya hii Mobdro anitumie please .Nimejaribu ku download imekataa kwenye simu yangu .nilikuwa nataka kuangalia mpira wa chelesea vs...
0 Reactions
19 Replies
8K Views
Mpaka sasa Simba anaongoza ligi kwa points 58 huku watani zao wana points 56 wakiwa na kiporo cha mechi moja, simba Leo wamedhihirisha wazi kwamba nyota yao itangara Mwaka Huu has a pale...
2 Reactions
15 Replies
8K Views
Poleni Mashabiki wa Borrusia Dortmund naona Monaco huko wanachapa tu dk 80 Borrusia 1 Monaco 3 hawa Monaco hawa sio Wazuri aisee ni Wazee wa Kimya kimya naona Monaco ya Jan Koller Inarudi Sasa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…